Je,
umalaya umeruhusiwa katika Uislam?
Somo
la leo ni la Umalaya kama lilivyo pewa kipaumbele na mungu wa Uislam
ajulikanaye kwa jina la Allah. Uislam unaruhusu Umalaya kwa kutumia sheria ya
Mut'ah.
Mut'ah
ni ndoa AMBAYO inaweza kudumu kwa muda mfupi sana. Ndoa Hii haihitaji
mashahidi, na haina kipindi cha 'iddah. Fidia ya kima cha chini ambayo inaweza
kulipwa kwa mwanamke kwa ajili ya mahusiano ya kingono ni dirham moja (yaani,
chini ya dola senti 25) ". 29 (Dr Ahmad 'Abdullah Salamah, Mashia Dhana ya
Ndoa Muda (Mut'ah)
Katika
Mut'ah, HAKUNA TALAKA ; Pale utakapo mlipa huyo hawara kiasi cha fedha na utakapo
maliza shida zako za kingono, unakuwa huru na hakuna wajibu, hakuna sheria ya
urithi, au mchakato wa talaka. Sheria inayo bakia ni moja tu ambayo inambana
mwanamke kwa siku 45 kabla ya kuingia kwenye ndoa nyingine ya Mut’ah, wakati
huohuo Mwanaume yeye anaweza kuingia Ndoa nyingine ya Mutah mara moja, hata
ikiwa bado ameoa katika Mut'a nyingine. Cha kushangaza, Waislam wanashabikia
hii Ndoa ya kimalaya huku Allah akiwaambia kuwa, kabla ya kuingia Ndoa nyingine
ya Mut’ah lazima watoe talaka, wao wamejipa haki ya kuendelea kutekeleza matakwa
yao ya kingono. Katika Surah 2 aya 228 Allah anasema, Wanawake wangoje peke yao
kwa vipindi vitatu kila mwezi na si halali kwao kuficha kile ambacho Allah
aliviumba katika matumbo yao . Katika Mut'a, mwanamke anaweza kuwa mjamzito na mtoto wa mume wake wa
kwanza wa Mut'a na kuolewa na mume wake wa pili wa Mut'a au kuingia ndoa ya
kudumu.
Ndugu
wasomaji, leo tumejifunza kuhusu umalaya ndani ya dini ya Kiislam. Uislam
umeruhusu Ndoa hii ili kukidhi matakwa ya Wanaume wa Kiislam na kuendelea
kuwashusha hadhi Wanawake wa kiislam ambao katika Uislam wao ni nusu ya Mtu.
Quran
4:11. Mwenyezi Mungu anakuusieni juu ya watoto wenu: Fungu la mwanamume ni
kama fungu la wanawake wawili. Na ikiwa wanawake zaidi ya wawili, basi watapata
thuluthi mbili za alicho kiacha maiti. Lakini akiwa mtoto mwanamke ni mmoja,
basi fungu lake ni nusu. Na wazazi wake wawili, kila mmoja wao apate sudusi ya
alicho kiacha, ikiwa anaye mtoto. Akiwa hana mtoto, na wazazi wake wawili
wamekuwa ndio warithi wake, basi mama yake atapata thuluthi moja. Na akiwa anao
ndugu, basi mama yake atapata sudusi. Haya ni baada ya kutolewa alicho usia au
kulipa deni. Baba zenu na watoto wenu, nyinyi hamjui ni nani baina yao aliye
karibia zaidi kwenu kwa manufaa. Hiyo ni Sharia iliyo toka kwa Mwenyezi Mungu.
Bila ya shaka Mwenyezi Mungu ni Mjuzi na Mwenye hikima.
Katika Uislam, Mwanamke hana thamani yeyote ile, ndio maana Allah alitoa
ahadi ya Wake 72 kwa Wanaume wa Kiislam na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake
wa Kiislam.
Quran 2:228. Na wanaume wana daraja zaidi kuliko wao. Na Allah ni Mwenye
nguvu na Mwenye hikima
Allah anaendelea kusema kuwa Mwanaume wa Kiislam ni wathamani zaidi ya
Mwanamke wa Kiislam. Hapo ndipo tunaelewa kuwa, hata hii Sheria ya ndoa ya MUT’AH
iliwekwa ili kuwakidhi Wanaume ambao wapo juu ya Wanawake.
Ndugu wasomaji.
Mungu wa Biblia anakataza umalaya wa aina yeyote
ile.
Katika Injili kutokana na Mathayo Sura ya 5 aya ya 28 inasema kuwa: lakini mimi
nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye
moyoni mwake.
Neno la Mungu linatuonya kwamba, hata kumwangalia Mwanamke kwa
matamanio ni kutenda dhambi, lakini katika Uislam, unayo ruhusa ya kumtamani
Mwanamke na kuingia kwenye ndoa ya Mut’ah ili kukidhi shida zako za kimwili.
Hii ni tofauti ya Yehovah wa Biblia na Allah wa Koran ambaye anaruhusu umalaya
kupitia Mut’ah wakati Yehovah anasema kufanya hivyo ni kutenda dhambi.
Mungu atusaidia ili tuifahamu kweli iliyo katika Kristo Yesu.
Katika Huduma yake
Max Shimba
Copyright © Max Shimba Ministries 2013
No comments:
Post a Comment