Monday, July 20, 2015

KUMBE MUHAMMAD ALIKUWA MZUNGUNdugu Msomaji,

Waislam mara nyingi hupenda kusema kuwa, eti Yesu alikuwa Mzungu na yule mcheza Sineama anaye muigiza Yesu eti ndio Yesu Mwenyewe. Leo nimeamua tujifunze kidogo kuhusu Nabii wa Allah. Je, alikuwa Mwarabu au Mzungu? Bila ya kupoteza muda, anza kusoma Sahih hadith zake. 

-Sahih Bukhari 1:3:63
Yeye alifanya Ngamia wake apige magoti katika Msikiti, halafu akamfunga Mguu wake kamba na kisha akauliza: "Ni nani kati yenu ni Mtume Muhammad" Wakati huo Mtume alikuwa amekaa miongoni mwetu (wenzake) huku akiwa ameegemea mkono wake. Sisi tukajibu, "Huyu MZUNGU aliye agemea mkono wake ndiye Muhammad." Kisha akasema naye, "O Mwana wa 'Abdul Muttalib." 


Juzuu 4, Kitabu 56, Namba 744: 
Narrated Isma'il bin Abi Khalid:
Nilimsikia Abii Juhaifa akisema: Nimemwona Nabii wa Allah, na Al-Hasan bin "Ali anafanana naye" Nikamwuliza Abu-Juhaifa, hemu niambie yuko, Akanijibu kuwa, Nabii wa Allah ni Mzungu na ndevu zake ni Nyeusi na zina mvi kidogo. Alituahidi kutupa watoto 13 wa kike wa Ngamia, lakini Nabii wa Allah alikufa kabla hajatimiza ahadi yake.

Kumbe Nabii wa Allah alikuwa Mzungu. Kumbe ndio maana Allah hawapendi Waafrika na anawaita Makafiri. 

Volume 2, Book 17, Number 122: 
Narrated 'Abdullah bin Dinar:
Baba yangu akasema, "Nilisikia Ibn 'Umar akisoma mistari ya mashairi ya Abu Talib : Na Mtu Mweupe (yaani Mtume) ambaye tulimwomba aombee Mvua Inyeshe na mwenye huduma ya watoto yatima na ni mlezi wa wajane. "


---
Volume 2, Book 17, Number 141: 
Narrated Anas bin Malik
Mtume kamwe hanyooshi mikono yake kwa ajili ya sala yoyote ile isipokuwa kwa ile ya Istisqa ' na alikuwa ananyoosha sana Mikono yake mpaka Weupe unaonekana kwenye Makwapa yake.  


---
Volume 1, Book 8, Number 367: 
Nabii wa Allah alionyesha Mapaja yake, na nikaona weupe wa Mapaja yake.

Nategemea umesoa hizo hadith za  Muhammad na umejifunza kitu kuhusu ukabila au utaifa wa Nabii wa Allah. Muhammad alikuwa Mzungu na hatusome sehemu yeyote ile akipinga Uzungu wake.

Kwanini Waislam wa Mwanzo walisema kuwa Muhammad alikuwa Mzungu?

Kwanini Muhammad hakupinga madai ya yeye kuwa Mzungu?

KUMBE MUHAMMAD ALIKUWA MZUNGU NA SIO MUARABU

Mungu awabariki sana,

Katika Huduma Yake,

Max Shimba Ministries Org.

MAX SHIMBA MINISTRIES ORG ©2015. ALL RIGHTS RESERVED

Everyone is permitted to copy and distribute verbatim copies of this license document, but changing it is not allowed.

No comments:

FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE

  **URGENT UPDATE**   **FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE** Shimba TV, New York has received distressing news ...

TRENDING NOW