Sunday, September 10, 2017

SHETANI NI MUISLAM


MUHAMMAD AMSILIMISHA SHETANI
Kitabu Asili ya Majini Ukurasa wa 20 INASEMA: Ni bahati mbaya kwamba Adam na Hawa hawakufanya jitihada za kumwezesha Shetani na wanawe kuomba Msamaha kwa Mwenyezi Mungu, NI MTUME MUHAMMAD TU NDIE ALIYE MSILIMISHA SHETANI AKAWA MUISLAMU.
Haya sio maajabu, maana tumesoma hapo kwenye Quran Surat Al Anaam kuwa Shetani anakaa kwenye NJIA ILIYO NYOOKA YA ALLAH. Na Njia iliyo nyooka ni UISLAMU Quran 6 aya ya 126 Na hii Dini ya Uislam, ndiyo Njia ya Mola wako Mlezi Iliyo nyooka. Tumezipambanua Aya kwa watu wanao kumbuka.
Ndugu zanguni, kwa mara nyingie tumejifuza kuwa Shetani ndie kiongozi wa dini ya Uislam. Shetani ndie yupo kwenye NJIA ILIYO NYOOKA NA AMEKETI HAPO. ZAIDI YA HAPO, SHETANI AMESILIMISHWA NA MUHAMMAD kama tulivyo soma katika Kitabu cha Asili ya Majini Ukurasa wa 20.
SHETANI ANAWAPULIZA WAISLAM MSIKITINI
Kasema Mtume (s.a.w) “Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala, basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi yule mtu inamwijia fikiria ya kuwa umemtoka upepo (kajamba) nae haukumtoka, basi akiona hali hiyo asiondoke kwenye sala mpaka asikie sauti ya kumtoka huo upepo au anuse harufu yake”. (KITABU CHA MKWELI MWAMIU, JUZUU YA 1 -2 HADITHI NA. 74, UK 42)
Muhammad anasema: Shetani anaingia msikitni na kuwachezea Waislam kama ushahidi unavyo sema hapo juu.
Kwanini mfuate dini ambayo inaongozwa na MASHETANI Msikitini?
Kwanini Shetani ana mamlaka ya kuwapuliza Waislam matako yao tena wakiwa Msikitini?
Shalom.
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu na Mwokozi wetu.

No comments:

WHY CHRISTIANITY IS BETTER THAN ISLAM?

Has Islam Improved to Become Better Than Christianity? Does Muhammad fulfill and complete the mission and purpose of Christ? Muhammad emphat...

TRENDING NOW