Wednesday, August 10, 2016

JE, UNAFAHAMU KUWA SIFA YA KWANZA YA KAFIRI NI KUPINGA UWEPO WA MUNGU AMBAYO NI SHAHADA YA WAISLAM?Ndugu msomaji,
Hakuna ubishi katika hili, kuwa Dini inayo thibitisha kuwa wao ni Makafiri ni ya Uislam.
Ngoja niweke maana ya hiyo SHAHADA neno kwa neno:
Maneno hayo manne "lâ ilâha illâ allâh" yana maanisha hivi:
:
lâ = HAKUNA, no, not, none, neither
ilâha = MUNGU, a god, deity, object of worship
illâ = ISIPOKUWA but, except (illâ is a contraction of in-lâ, literally if not)
allâh = ALLAH, allâh
Kama tulivyo soma hapo juu maana ya hayo maneno Manne. Utangundua kuwa Neno ILAHA maana yake ni MUNGU na Neno ALLAH halina Tafsir na kubakia ALLAH (Thibitisha kupitia Al Tafsir Kitengo cha Tafsir cha Serikali ya Saudi Arabia/ http://www.altafsir.com/).
Huo ndio mtego wenyewe. Kumbuka Allah hana wa kufananishwa na au linganishwa.
Allah Anasema:
لَيْسَ كَمِثْلِهِ شَيْءٌ وَهُوَ السَّمِيعُ البَصِيرُ
"Hapana kitu kama mfano wake. Naye ni Mwenye kusikia Mwenye kuona."
Ash-Shuuraa – 11
Hivyo basi, Allah ni Kafir. Muhammad ni Kafir na Waislam wote ni Makafir maana wote wanapinga Uwepo wa Mungu kwa kusema Shahada.
Hivyo Kumfananisha Allah na Mungu wa Buddah, au Mungu wa Rasta Fari au na Mungu wa Wabantu ni KUKUFUR. Allah yeye kasema hana wa kufananishwa wala linganishwa. Kumbe basi Allah sio Mungu.
Nini Maana ya Kafiri?

Neno Kafir limetoka katika neno "Kafar" likiwa lina maanisha kupinga Mungu, kuficha , kukataa au kufuru . Kwa hiyo, kaafir ni Mtu au Kiumbe au Roho au Malaika au miungu anaye kufuru, anakataa au anakanusha.
USHAHIDI WAKUPINGA MUNGU KATIKA UISLAM
Shahada: LA ILAHA ILLALLAH Muhammadur Rasulullah, Quran 3:18 na soma hapa pia (Sahih Al-Bukhari, Volume 4, Book 56, Number 725)
Hakuna Mungu ila Allah na Muhammad ni Mtume wa Allah. Hii ni Shahada wanayo sema Waislam au mtu anaye taka kuwa Muislam.
Hii Shahada katika Surat Ali Imran inasema kuwa Hakuna Mungu ila Allah. Huu ni mtego ambao Ibilisi anautumia kwa hwa Waislam na wanakanusha kuwepo na au uwepo wa Mungu. Zaidi ya hapo, Waislam wanakanusha na au ficha ukweli kuwa Yesu ni Mungu.
Hivyobasi, kufuatana na ushahid yakinifu hapo juu wa SHAHADA ya LA ILAHA ILLALLAH Muhammadur Rasulullah, leo tumejifunza kuwa Allah wa Waislam na Mtume wake na Waislam wote wanapinga uwepo wa Mungu na kufanikiwa kuwa MAKAFIRI kutokana na maana ya KAFIR katika Uislam.
LAKINI, BIBLIA INASEMA NINI KUHUSU MTU AU KIUMBE KINACHO PINGA UWEPO WA MUNGU?
Tusome Biblia na tuone inasemaje kuhusu mtu anaye sema hakuna Mungu:
Biblia inasema: Zaburi 14: 1; Mpumbavu asema moyoni mwake hakuna Mungu wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo hakuna atendaye mema.
Jibu mmesha pata kuhusu mtu yeyote yule (na/au kiumbe chechote kile) anayesema hakuna Mungu.
Leo tumejifunza kutoka Uislam kuwa, MAKAFIR ni WAISLAM na sio Wakristo wanakubali Mungu.
Mungu awabariki sana,
Karibu kwa Yesu aliye hai na Mungu Mkuu,
Mungu awabariki sana,
Katika Huduma Yake,
Max Shimba Ministries Org.
MAX SHIMBA MINISTRIES ORG ©2015. ALL RIGHTS RESERVED
Everyone is permitted to copy and distribute verbatim copies of this license document, but changing it is not allowed.

No comments:

WAS MUHAMMAD PROPHESIED IN THE BIBLE?

SURAH 61:6 Muslims believe that the coming of Muhammad was foretold in the Bible. For centuries, Muslims have tried to find predictions of t...

TRENDING NOW