Friday, August 4, 2017

UNAJUA KWANINI WAISLAM WANAOGA MARA MOJA TU, TENA NI SIKU YA IJUMAA?

Image may contain: one or more people and text
Katika Kitabu kiitwacho Mkweli Mwaminifu kilichoandikwa na Sheikh Moosa Mohammed al-Kindy Juzuu ya 1-2 Hadith no 66 uk 41 inasema
“ Ogeni siku ya ijumaa, kwani anaeoga siku ya Ijumaa basi inakuwa kafara kwake (yanafutwa madhambi yake) baina ya Ijumaa mpaka Ijumaa, na nyongeza siku tatu”
HIVI MTU NA AKILI ZAKO, UNAWEZA AMINI HUU UONGO WA ALLAH NA MUHAMMAD, ETI DHAMBI ZAKO ZINAFUTWA UKIOGA SIKU YA IJUMAA?
Lakini tunaposoma Biblia Takatifu Yeremia 2:22 “Maana ujapojiosha kwa magadi na kujipatia sabuni nyingi, lakini uovu wako umeandikwa mbele zangu asema Bwana MUNGU”
Hivi ndivyo mafundisho ya Kiislamu yanavyofundisha kuhusu kuondoa dhambi.
Jambo ambalo ningependa ulijue katika Uislamu , mbali ya kufanya swala mara tano kama walivyoamriwa, bado Muislamu huyu hana uhakika wa Msamaha wake wa dhambi.
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.

No comments:

THE SEVEN PROPOSALS OF MUHAMMAD THAT WERE REJECTED

  1. Why did some women reject Muhammad's proposals? 2. Why did Muhammad continue to propose despite the rejections? Dear reader, Today ...

TRENDING NOW