Mambo ya Walawi Mlango 26:1 Msifanye sanamu yo yote, wala msijisimamishie sanamu ya kuchonga, wala mnara, wala msiweke jiwe lo lote lililochorwa katika nchi yenu ili kulisujudia; kwa kuwa mimi ndimi Bwana, Mungu wenu.
Kutoka Mlango 20:4 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
5 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
6 nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
Kuabundu sanamu nikuomba kitu kilicho umbwa badala ya muumbaji. Imeandikwa, Warumi 1:22-23 "Wakijinena kuwa wenyehekima walipumbazika; wakaubadili utukufu wa Mungu asiye na uharibifu kwa mfano wa sura ya binadamu aliye na uharibifu na ya ndege na ya wanyama na ya vitambaavyo."
Amri kumi zina kanusha kuwana miungu mingine. Imeandikwa, Kutoka 20:3-4 "Usewe na miungu mingine ila mimi Usijifanyie sanamu ya kuchonga wa wala mfano wakitu chochote kilicho juu mbinguni wala kilicho chini duniani wala kilicho majini chini ya dunia, Usivisujudie wala kuvutumikia kwa kuwa mimi ni Bwana Mungu wako ni Mungu mwenye wivu nawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao nami na warehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu."
1 Yohana Mlango 5:21 Watoto wadogo, jilindeni nafsi zenu na sanamu.
Waislam wanapo abudu, wanaangalia Makka "Kibla" kule kwenye Jiwe Jeusi lilitengenezwa kwa mikono ya binadamu na halina uhai. Hulibusu na kulisujudia maana hilo Jiwe ndio Allah wao.
“Na popote unapoanza (kwa Swalah), geuza uso wako kuelekea Masjidul-Haraam, na popote mutakapo kuwa elekezeni nyuso zenu huko (Makkah mutakapo kuwa mnaswali)… ” (2: 150).
“Bila shaka! Tumekuona ukielekeza uso wako mbinguni. Kwa hakika, Tutakubadilishia Qiblah ambacho kitakuridhisha, kwa hivyo geuza uso wako kuelekea Masjidul-Haraam (Msikiti Mtukufu wa Makkah). Na popote watu wako watakapokuwa, geuzeni nyuso zenu huko. Bila shaka, watu waliopewa Vitabu (Mayahudi na Manasara) wanajua vizuri kuwa huu ndio ukweli kutoka kwa Mola wao. Na Allaah hajaghafilika na wanayoyafanya” (2: 144).
Ndugu zanguni, Uislam ni dini ya kuabudu Sanamu na hakika hawata iona Mbingu maana kuabudu sanamu mwisho wake ni Jehannam.
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu. Tito 2:13
No comments:
Post a Comment