Sunday, January 19, 2014

Agnostiki ni nini?


Agnostiki ni mtazamo kuwa uwepo wa Mungu si kitu kisichoweza kujulikana au kuthibitishwa. Neno “agnostiki” kimsingi lamaanisha “bila elimu/maarifa.” Uagnostiki ni mtindo wa ukanaji Mungu. Ukanaji Mungu kuwa Mungu haishi- msimamo ambao hauwezi kuthibitishwa. Ukanaji Mungu wapinga kwamba uwepo wa Mungu hauwezi thibitishwa au siothibitishwa, kuwa kamwe hauwezi kujua kuwa kuna Mungu au hayupo. Katika hali hii, ukanaji Mungu huu uu kweli. Uwepo wa Mungu hauwezi kuthibitishwa au kukanwa kwa kubahatisha.

Bibilia inatuambia ya kwamba lazima tukubali kwa imani kuwa Mungu yupo. Waebrania 11:6 yasema bila imani “Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendaza; kwa maana mtu amwendeaye Mungu lazima aamini kwamba yeye yuko, na kwamba huwapa thawabu wale wamfuatao.” Mungu ni roho (Yohana 4:24 kwa hivyo hawezi oonekana au kuguzika. Ila tu Mungu aamue kujidhihirisha Yeye mwenyewe, katika hisia zetu hawezi kuonekana (Warumi 1: 20). Bibilia yatangaza kwamba uwepo wa Mungu unaweza oonekana vizuri sana katika ulimwengu (Zaburi 19:1-4), inayohisika katika masingira (Warumi 1:18-22), na umethibitishwa katika mioyo yetu (Mhubiri 3:11).

Waagnostiki/wamkanao Mungu hawako tayari kufanya uamuzi kukubali kuwa Mungu yupo au hayupo. Ni upeo wa msimamo wa “kufanya mwanya katika ua.” Wasiomwamini Mungu pia wanaamini kuwa Mungu anaishi. Wasiomwamini Mungu wanaamini kuwa Mungu haishi. Waagnostiki wanaamini kwamba tusiamini au tukose kuamini kuwepo kwake Mungu, kwa sababu ni vigumu mno kutambua kama Mungu yupo au hayupo.

Kwa ajili ya pingamizi, hebu tuweze kuleta wazi ushaidi usioweza kukanwa wa uwepo wake Mungu. Ikiwa tutauweka msimamo wa wamkanao Mungu na waagnostiki katika kiwango sawa, ambao waleta “maana” sana kuamini kuambatana na uwezekano wa maisha baada ya kifo? Kuma kuna Mungu, wasiomwamini Mungu na waagnostiki wote sawa wataisha kuwepo wakati wamekufa. Kama kuna Mungu, wote wasiomwamini Mungu na waagnostiki watakuwa na mtu wa kuwajibikia pindi tu wanapokufa. Kutoka kwa mtazamo huu, ni wazi kuwa afadhali kuwa asiyemwamini Mungu kuliko kuwa agnostiki. Kama msimamo wowote unaweza thibitishwa au usiweze, yaonekana busara kuwa kufanya juhudi zote kuunguza msimamo ambao hauna mwisho na milele yote matunda yake ni ya kuthamanika

Ni kawaida kuwa na shuku. Kuna vitu vingi katika dunia hii ambavyo hatuvielewi. Kila mara, watu wanashuku kuwepo kwa Mungu kwa sababu hawaelewi au kukubaliana na mambo ayafanyayo na kuyaruhusu. Ingawa, kama mwanadamu tuliye na hatima, tusitarajie kuweza kumfahamu Mungu asiye na mwisho. Warumi 11: 33-34 yasema, “Jinsi silivyo kuu utajiri na hekima na maarifa ya Mungu! Hukumu zake: hazichunguziki, wala njia zake hazitafutikani! Maana ni nani aliyeijua nia ya Mwana? Au ni nani aliyekuwa mshauri wake?” lazima tumwamini Mungu na kumtumainia katika imani. Mungu ako karibu na tayari kujidhihirisha kwa njia za kustaajabisha kwa wale watakao mwamini. Kumbukumbu La Torati 4:29 yasema, “Lakini huko, kama mkimtafuta BWANA, Mungu wako utampta, ukimtafuta kwa moyo wako wote, na roho yako yote.”

UDHAIFU WA ALLAH NA SABABU ZINAZO MFANYA ALLAH KUTO KUWA AKBAR.


Ndugu Wasomaji,

Katika somo letu la leo, ningependa tusoma mambo kadhaa ambayo Allah wa Uislam hana uwezo na mamlaka juu yake. 

Waislam wanatuambia kuwa Uislam ni dini ya Allah ambaye hana uwezo wa kufanya yafuatayo:

Allah hana uwezo wa kuishi ndani ya binadamu.

Allah hana uwezo wa kuzungumza na kusikia lugha yeyote ile zaidi ya Kiarabu.
Allah hasikii na hajibu maombi ambayo hayakuombwa Kiarabu.

Allah hawezi kusikia maombi ambayo yanaombwa bila ya kuangalia Makkah.

Allah hana uwezo wa kumzuia Shetani kuishi ndani ya Pua yako wakati umelala.

Allah hana uwezo wa kumkataza Shetani asikojoe kwenye masikio yako unapo pitiwa na usingizi.

Allah hana uwezo wa kutetea vitabu vyake, ingawa alidai anaweza.

Allah hawezi kusikia maombi yako kama kuna Mwanamke au Mbwa au Punda karibu na sehemu unayo fanyia maombi.

Allah hawezi kutetea dini yake ya Kiislam na anahitaji msaada wa Waislam kuua na kutesa wale wote ambao wanaukataa Uislam. Allah sio Akbar kama anavyo dai.

Allah hapendi watu isipokuwa wale ambao ni Watumwa wake.

Allah hana uwezo wa kutetea Mitume wake kutoka kwa Wanawake Wajane wa Kiyahudi.

Allah hana uwezo wa kuwatetea na kuwalinda Waislam kutoka kwa Mtume mwenye Nguvu kama Paulo ambaye Waislam wanadai kuwa, Ndie Mwanzilishi wa Imani ya Kikristo ambayo ni kubwa kuliko Uislamu.

Allah hana uwezo wa kuwaokoa wanawake kutoka Jehannam, kwasababu eti wao ni viumbe dhaifu.

Allah hana uwezo wa kufanya miujiza kupitia waonyaji kama Muhammad ambaye alidai katumwa na Mwenyezi Mungu, jambo ambalo lingesaidia kutupa uhakikisho kuwa Muhammad alitumwa na Allah, kwasababu ya maovu mengi aliyo fanya ambayo ni kinyume na mambo yaliyo fanywa na Mitume walio kuja kabla yake.

Ndugu zanguni, listi ya mambo ambayo Allah hana uwezo wa kufanya ni mengi sana kiasi cha kujaza karatasi nyingi, leo nimeona niweke haya machahe kuhusu huyu Allah wa Uislam.

Allah hana uwezo wa kuwa na Mwana bila ya kuwa na Mke.

Sasa ngoja niulize?

Kuna sababu gani hapa duniani Mtu amwamini huyu Allah aliyejaa mapungufu na udhaifu, na kuacha kumwamimi Yahaweh aliyejaa hekima na mamlaka yote?

Mimi nitamfuata Yesu, Mungu Mtukufu YHWH, kwasabau katika Yesu hakuna lisilo wezekana (Luka 1:37)

Katika huduma yake,

Max Shimba Ministries 2014

KUTAJWA KWA YESU KRISTO NI MUNGU KATIKA MAANDIKO.


Ningependa leo tujifunze na au tuangalie, ni wapi katika Biblia Yesu Kristo katajwa kuwa yeye ni Mungu. Karibu na Mungu akubariki sana. 

Katika ( 1YOHANA. 5:20 ) “Nasi twajua kuwa Mwana wa Mungu amekwisha kuja,naye ametupa akili kwamba tumjue yeye aliye wa kweli,nasi tumo ndani yake yeye aliye wa kweli.,yaani ndani ya Mwana wake Yesu Kristo. Huyu ndiye MUNGU WA KWELI NAUZIMA WA MILELE”.. Pia katika ( YOHANA 20:26-29 ) “basi,baada ya siku nane,wanafunzi wake walikuwamo ndani tena,na Tomaso pamoja nao.Akaja Yesu na milango ilikuwa imefungwa,akasimama katikati,akasema,Amani iwe kwenu.Kisha akamwambia Tomasolete hapa kidole chako;uitazame mikono yangu;ulete na mkono wako uutie ubavuni mwangu;wala usiwe asiyeamini;bali aaminiye.Tomaso akajibu akamwambia,BWANA WANGU NA MUNGU WANGU..Yesu akamwambia,wewe kwa kuwa umeniona umesadiki;wa heri wale wasioona wakasadiki”.

YESU KRISTO MUNGU MKUU, ( 1TITO 2:13 ) “Tukilitazamia tumaini lenye mafunuo ya KRISTO YESU MUNGU MKUU NA MWOKOZI WETU”.. YESU NI MUNGU aliyejifunua katika mwili ( WARUMI 9:5 ) “Na katika hao alitoka KRISTO KWA NJIA YA MWILI,NDIYE ALIYE JUU YA MAMBO YOTE,MUNGU,MWENYE KUHIMIDIWA MILELE.AMINA..Mhalifu msalabani alimwita YESU Mungu na kumuomba YESU atakapokuwa katika ufalme wake amkumbuke mharifu huyo”. ( LUKA 23:39-43 ).Yesu hakukataa kuwa SI MUNGU bali alisema,Amini nakuambia leo hivi,utakuwa pamoja nami peponi.

YESU NI MUNGU ALIYEKUJA DUNIANI .( WAFILIPI 2:5-6 ) “Ambaye yeye mwanzo alikuwan yuna namna ya Mungu,naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho,bali alijifanya kuwa hana utukufu,akatwaa namna ya mtumwa,akawa ana mfano wa wanadamu”.YESU alijita-mbulisha kwao kuwa ni MUNGU lakini hawakuelewa ( YOHANA 10:30-33 ) “Yesu akawajibu,kazi njema nyingi niwewaonyesha zitokazo kwa Baba; kwa ajili ya kazi ipi katika hizo mnanipiga kwa mawe? Wayahudi wakamjibu,kwa ajili ya kazi njema hatukupigi kwa mawe;bali kwa kukufuru,na kwasababu wewe uliye.mwanadamu wajifanya kuwa Mungu. Wayahudi walisema anakufuru kwa kusema kuwa yeye ni Mungu.Kimsingi Yesu ndiye Baba mwenyewe ndio maana anasema huwezi kumtenganisha na Baba; ukimwona yeye umemuona Baba. ( YOHANA 14:7-9 )

Katika mstari 8 na 9 Filipo akamwambia,Bwana,utuonyeshe Baba yatutosha. Yesu akamwambia,Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote,wewe usinijue,Filipo?

Ikiwa tu wanafunzi wa Yesu hatupaswi kubabaishwa na watu ambao hawana Roho wa Mungu.Mtu ambaye hana Roho wa Mungu hawezi kusema Yesu ni Mungu..Kwasababu hiyo,wanatumia akili tu.Hawa ni watu wa tabia ya asili ambao hawawezi kuyaelewa mambo ya kiroho ( 1WAKORITHO 2:14 ) “Basi,mwanadamu wa tabia ya asili hawezi kuyapokea mambo ya Roho wa Mungu;maana kwake ni upuuzi;wala hawezi kuyafahamu;kwa kuwa yanatambulikana kwa jinsi ya rohoni”

Yesu Ni Mungu

Max Shimba Ministries Org 2014

SABABU SABA ZA KUTHIBITISHA KUWA YESU NI MUNGU.


1.YESU NI MUUMBAJI.

Sifa ya kuumba niya Mungu peke yake ( YOHANA 1:3,14 ) “vyote vilifanyika kwa huyo;wala pasipo yeye hakukufanyika chochote kilichofanyika.Naye Neno alifanyika mwili;nasi tukauona utukufu wake kama utukufu wa Mwana pekee atokaye kwa Baba,amejaa neema na kweli”.Yesu aitwa Neno la Mungu (UFUNUO 19:13) “Kwahiyo Neno ni Mungu “(YOHANA 1:1).. na huyo ndiye aliyevifanya kuwako vitu vyote.Aliyeshuka kutoka juu na kufanyika mwili ni Yesu pekee aliyezaliwa na bikira Mariamu bila mbegu ya kiume kama inavyotokea kwa wanadamu wengine..Katika yeye vtu vyote viliumbwa (WAKOLOSAI 1:13-16) vinavyoonekana na visivyoonekana;vya mbinguni na vya duniani.Maandiko yako wazi kabisa kwa mtu mwenye Roho wa Mungu anaelewa kwa urahisi.

2.YESU ALIKUWEPO KABLA YA VITU VYOTE KUWEPO DUNIANI.

( WAKOLOSAI 1:17 ) “Naye amekuwako kabla ya vitu vyote;na vitu vyote hushikamana katika yeye”.( MIKA 5:2 ) “Basi,wewe Bethlehemu,Efrata,uliyemdogo kuwa miongoni mwa maelfu za Yuda;kutoka kwako wewe atanitokea mmoja atakayekuwa mtawala katika Israeli;ambaye matokeo yake yamekuwa tangu zamani za kale;tangu milele“.

Yesu Kristo alikuwako kabla ya Nabii Ibrahimu kuwako(YOHANA 8:52-58). Watu walioambiwa maneno hayo n a Yesu mwenyewe wliokota mawe ili kumpiga Yesu wakisema kuwa anakufuru.Hawa ni watu wa tabia ya mwilini wanaotumia akili kupambanua mambo ya Mungu (mambo ya kiroho huwezi kuyatambua kwa akili maana Mungu ni Roho,( YOHANA 4:24)..YOHANA 17:5,24.WAEBRANIA 7:3 ). Imasema “hana baba,hana nana,hana wazazi,hana mwanzo wa siku zake,wala mwisho wa uhai wake,bali amefananishwa na Mwana wa Mungu;huyo adumu kuhani milele”.YESU ni alfa na omega ,wakwanza nawa mwisho kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu yeye alikuwako (UFUNUO 22:13).Bali kwa damu ya thamani,kama ya mwana-kondoo asiye na ila,asiye na waa,yaani ya Kristo.Naye amejulikana kweli tangu zamani,kabla haijawekwa misingi ya dunia,lakini alifunuliwa mwisho wa zamani kwa ajili yetu ( 1PETRO 1:19-20 ).

YESU ALIPOKUWA DUNIANI ALIKUWA EMANUELI (MUNGU PAMOJA NA WANADAMU).

( MATHAYO 1:23-25 ) “Tazama; bikra atachukua mimba; naye atazaa mwana;nao watamwita jina lake Emanueli; yaani ,Mungu pamoja nasi”.Tabia ya Yesu inaonyesha kuwa kama mwanadamu,kuzaliwa kwake kwa uwezo wa Roho mtakatifu.Hapa tunaona jinsi alivyo na uwezo wa tofauti na wanadamu akiwa anafahamu mambo yote kabla akiwa duniani..Yeye pia ajua yote yaliyomo ndani ya moyo wa mwanadamu (YOHANA 6:64,YOHANA 13:1,YOHANA 13:11,YOHANA 18:4,YOHANA 19:28).Tena Yesu alitabiri kabla jambo kutokea,pia alijitabiria mwenyewe yatakayomtokea mbele (MARKO 8:31,LUKA 9:22,LUKA 12:50,LUKA 22:37,LIKA 24:7-26,YOHANA 3:14,YOHANA 10:17-18,YOHANA 7:33,YOHANA 13:33,YOHANA 14:28,YOHANA 17:11,YOHANA 16:5,10,16,18 ).

Yesu aliabudiwa na kusujudiwa akiwa hapa duniani,Sifa ya kuabudiwa na kusujudiwa ni ya Mungu pekee hivyo Yesu ni Mungu.(MATHAYO 4:10).

Hata malaika wote wanamsujudia Yesu (UFUNUO 22:8-9,WAEBRANIA 1;6).
Ndiyo maana Yesu alisujudiwa akiwa mtoto mchanga alipozaliwa (MATHAYO 2:11,MATHAYO 14:33<LUKA 24;52).
Hata pepo wachafu walimsujudia Yesu (MARKO 5:2,6).

YESU ALIKUWA MWANADAMU ALIPOKUWA DUNIANI

A: Alizaliwa na bikira Mariamu(mwanadamu) ( LUKA 2:3-7 ).

B: Aliongezeka kimo ( LUKA 2:40-42-52)

C: Aliona njaa kama watu wengine ( LUKA 4:2)

D: Alilala usingizi kama binadamu wengine( LUKA 8:23)

E: Alikuwa na viungo kama binadamu( LUKA 24:36-40)

F: Alikula chakula ( LUKA 24:41-43)

G: Alichoka kama mwanadamu ( LUKA 4:6; WAEBRANIA 4:15 : 2:16-18

Msalabani alikufa kama mwanadamu hakufa kama Mungu ila alitupatanisha 1TIMOTHEO 2:5
Tunaona mama yake mariamu asema mimi ni mjakazi wa BWANA YESU ( LUKA 1:38-46-47)
Tunaona pia hapa wakati wamekusanyika kwa ajili ya maombi akiwemo na Mariamu waliomba kwa jina la BWANA wala si kwa jina la mariamu(MATENDO 1:13-15,1 YOHANA 4:1-2.

YESU MWALIMU WA MFANO

Yesu Kristo, Mwalimu wetu, katika mstari huu, anawauliza wanafunzi wake, “Wala hakuna mmoja wenu aniulizaye, Unakwenda wapi?“. Siyo kwamba wanafunzi wake walikuwa hawajauliza kabisa swali hili. Petro aliuliza swali hili katika YOHANA 13:36, na Tomaso aliuliza swali lililokuwa na maana hiyo katika YOHANA 14:5. Hata hivyo, baada ya wanafunzi hawa kuuliza swali hili mara mbili, hawakumwuliza tena. 

Yesu alitaka wazidi kumwuliza, maana aliwaona bado hawajaelewa. Hapa, Yesu anatoa mfano kwa Walimu wote wa biblia. Furaha ya Mwalimu yeyote wa Biblia anayefuata mfano wa Yesu, ni kuona wanafunzi wake wanaelewa, na kuyatendea kazi yale wanayofundishwa. Mwalimu wa Biblia, hataridhika kuona anafundisha tu wakati wanafunzi wake hawamwelewi. Furaha yake itakuwa kuona wanafunzi wake wanauliza maswali tena na tena ili wapewe ufafanuzi kwa njia iliyo rahisi zaidi mapaka waelewe. 

Mwalimu wa Biblia anayefuata mfano wa Yesu, hatachoshwa na maswali au kuyachukia, ikiwa wanafunzi hao watakuwa wanauliza maswali hayo kwa lengo la kutafuta kuelewa. Sisi nasi kama wanafunzi wa Yesu, tunakumbushwa kuwa na bidii kuuliza maswali tena na tena, mpaka tuelewe, na kuishindania imani. Wanafunzi wengi wa yesu, huona aibu kuuliza maswali na kuogopa kuonekana kuwa hawajui. Kufanya hivyo kunatuweka katika hatari ya kuiacha imani kutokana na kutokuelewa, na kupata hasara ya milele. Petro alikuwa mwulizaji mkubwa wa maswali. Kutokana na maswali yake, tunapata mafundisho mengi ambayo tusingeyapata. Kwa mfano, Petro bila aibu, anamwuliza Yesu katika MATHAYO 18:21 “Bwana, ndugu yangu anikose mara ngapi nimsamehe? Hata mara saba?“ Kutokana na swali hili, wote tunapata mafundisho kuhusu kusamehe.

TABIA NA KAZI ZA ROHO MTAKATIFU

Katika mistari hii, tunajifunza kuhusu tabia na kazi za Roho Mtakatifu. Ingawa Roho Mtakatifu ana tabia na kazi nyingi zaidi kuliko zile zilizoorodheshwa hapa, hata hivyo, katika mistari hii, tunajifunza tabia na kazi zake za msingi. Zifuatazo ni kazi za Roho Mtakatifu zinazotajwa katika mistari hii:-

KUUHAKIKISHIA ULIMWENGU KWA HABARI YA DHAMBI: – 
Watu wote ambao hawamwamini Yesu, wanafanya dhambi (MST. 9). Watu wengi ingawa hawamwamini Yesu, hujihesabia haki kutokana na amtendo yao kama Farisayo yule katika LUKA 18:9-14. Watu wengi hujihesabia haki na kujiona kwamba hawana dhambi, kwa kuwa wanashika taratibu zote za dini zao, kama walivyofundishwa (MATENDO 26:4-5; WAGALATIA 1:14). Kutokana na msingi huu, Sauli alijihesabia haki na kuona kwamba yeyote ambaye alikuwa hafuati taratibu zote za dini yake, ndiye mwenye dhambi na alifaa hata kuuawa. Aliposikia sauti ya Yesu ikisema, Sauli! Sauli! Mbona waniudhi? Alishangaa, maana aliona anatenda haki yote. Tukitoka na kwenda kuwahubiria watu wa jinsi hii ya Farisayo na Sauli, na kutaka waokolewe, bila msaada wa Roho Mtakatifu, hatuwezi kufanikiwa, kwa sababu wao watajiona kuwa hawana dhambi na kutuona sisi ndiyo tuliopotea kwa sababu hatuko katika dini zao! Mtu ambaye havuti sigara, hanywi pombe, haibi, hafanyi ushirikina, haui au hatukani matusi, mtu wa namna hii ni vigumu kumshawishi kwamba ana dhambi, na kumtaka atubu na kuokolewa, kwa kumfundisha tu kwamba, sisi sote tumefanya dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu tangu kuzaliwa (ZABURI 51:5; WARUMI 3:10-12, 23; 1 YOHANA 1:8-10). Sasa basi, ni kazi ya Roho Mtakatifu kumfanya kila mtu wa namna hii, anayejihesabia haki, kushtakiwa na dhamiri yake na kujiona hafai na ni mwenye dhambi (YOHANA 8:3-9). Ndiyo maana, tukitoka kuwahubiri watu na kutegemea ujuzi wetu tu wa maandiko bila msaada wa Roho Mtakatifu, hatuwezi kupata matokeo makubwa. Hatuna budi wakati wote kuitambua kazi hii ya roho Mtakatifu, na kumkaribisha aambatane pamoja nasi kila tunaposimama kuhubiri au kufundisha ili ashuhudie pamoja nasi (YOHANA 15:26-27). Tukifanya hivi, huduma zetu zitakuwa na mafanikio makubwa. Hatuna budi kupokea uwezo utokao juu, Nguvu ya Roho Mtakatifu ili tuwe mashahidi wa Yesu wenye uwezo wa kuwaleta wenye dhambi wengi kwa Yesu (LUKA 24:48-49; MATENDO 1:4,8).

KUUHAKIKISHIA ULIMWENGU KWA HABARI YA HAKI: – Ni kazi ya Roho Mtakatifu kumhakikishia kila tunayemhubiri kwamba Yesu Kristo pekee ndiye mwenye haki na tunahesabiwa haki kwa kumwamini Yeye tu (1 YOHANA 2:1). Roho Mtakatifu akitenda kazi hii humfanya mtu akiri kwamba Yesu ndiye mwenye haki, kama ilivyokuwa kwa akida katika LUKA 23:47. Vivyo hivyo, Roho Mtakatifu huwahakikishia watu tunaowahubiria kwamba maneno yale tunayoyasema ndiyo ya haki, na kweli., kuliko yale waliyojifunza katika dini zao. Tukiwa na Roho Mtakatifu, hatuna haja ya kutumia Misahafu ya dini nyingine kuwahakikishia watu tunavyowahubiri. Kufanya hivyo, ni ubatili, maana ni kuvithibitisha vitabu hivyo kwamba vina ukweli, na hilo haliwezi kuleta matokeo.


KUUHAKIKISHIA ULIMWENGU KWA HABARI YA HUKUMU: – 

Friday, January 17, 2014

Allah is not Akbar

Muslims tell us that Islam is the religion of... Allah cannot.

Allah cannot enter into his creation

Allah cannot speak any language other than Arabic

Allah cannot hear prayers in any other language than Arabic

Allah cannot hear prayers not said facing Mecca 

Allah cannot stop Satan from inhabiting your nose while you're sleeping

Allah cannot stop Satan from peeing in your ear when you oversleep

Allah cannot protect his books, even though he said he would

Allah cannot hear your prayers if a woman, a dog or a donkey is within a few feet of you

Allah's being cannot be too difficult for a Muslim to understand

Allah cannot defend his own religion and needs Muslims to torture and kill those who argue against Islam or criticize it and its prophet who is dead and no longer needs protection

Allah cannot love you unless you are his slave

Allah cannot defend his prophets against defenseless Jewish widows

Allah cannot protect Islam from powerful apostles like Paul, who Muslims say created the world's largest religion, almost double the size of Islam and still growing faster than any other religion today

Allah cannot save most women from hell, because they are deficient in their religion. But women are deficient in their religion because they have courses... which Allah gave them!

Allah cannot do miracles through "warners" like Muhammad to prove that he has been sent by God, which would have been especially important to do since Muhammad radically departed from what the Bible had taught for thousands of years

The list of what Allah cannot do just goes on and on

And so one has to ask...

Why on earth should anyone believe in this Allah who has so many limitations, rather than in the True Sovereign, Almighty, All-Knowing YHWH?

I'm going with Jesus, the Glorious YHWH, because with Him, NOTHING IS IMPOSSIBLE! (Luke 1:37)

Max Shimba Ministries 2014

Monday, January 13, 2014

YESU ANAKIRI KWA MDOMO WAKE KUWA YEYE NI MUNGU.


Ndiguzanguni, leo nawajibu Waislam kwa Mara nyingine tena kuwa, YESU NI MUNGU. Hii aya hapa chini katika kitabu cha Ufunuo ni ya Yesu mwenyewee akiongea na Yohana. Yesu anakiri kuwa yeye ni Mungu. Hebu tuisome kwanza:

Ufunuo 21: 6 Yesu Akaniambia, “Imekwisha kuwa. Mimi ni Alfa na Omega, Mwanzo na Mwisho. Yeye aonaye kiu nitampa kunywa kutoka katika chemchemi ya maji ya uzima bila gharama yo yote. 7 Yeye atakayeshinda atayarithi haya yote, Nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu.

Mara nyingi kumekuwa na mtanashi kutoka Wasialm kuwa eti Yesu hakuwai sema yeye ni Mungu. Mara zote wamekuwa wakidai kuwa, tuwaletee aya ambayo Yesu anasema yeye ni Mungu. Ingawa, Biblia imewajibu kuwa Yesu ni Mungu kutoka sehemu mbalimbali, lakini wamekuwa wabishi na kung'ang'ania waletewe aya, ili wabatizwe na kuwa Wakristo. Kwasababu Biblia imekamilika na haina shaka ndani yake. Leo Biblia inawajibu tena kuwa Yesu ni Mungu.

Aya ya 7 inasema kuwa, NUKUU: [Yeye atakayeshinda atayarithi haya yote, Nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu.]

Yesu amekiri kuwa mtu yeyote yule atakaye urithi ufalme wake, basi ifahamike kuwa. Moja: Yesu atakuwa Mungu wake
Pili: Wewe utakuwa Mwana wake.

Huu ni ushaidi mwingine kuwa Yesu ni Mungu. Waislam, ningependa mfahamu kuwa, Yesu ni Mungu kama ilivyo andikwa kwenye Ufunuo Sura 21 na aya ya 7.

Je, Upo tayari kumfuata Yesu ambaye ni Mungu? Kumbukeni kuwa, Yesu ndie Njia pekee ya kwenda Mbinguni. Dini haita wapeleka popote pale, lakini Yesu Kristo aliye hai ambaye sasa tunasoma kukiri kwake kuwa yeye ni Mungu, ndie njia pekee ya Uzima wa Milele.

Mpokee Yesu leo ili upate uzima wa milele.

Katika Huduma yake,

Max Shimba.

Kwa Max Shimba Ministries Org 2014

WHY CHRISTIANITY IS BETTER THAN ISLAM?

Has Islam Improved to Become Better Than Christianity? Does Muhammad fulfill and complete the mission and purpose of Christ? Muhammad emphat...

TRENDING NOW