Sunday, August 1, 2021

SABABU ZA MUHAMMAD KUTAKA KUMUUA ABDULLAH BIN SAD BIN ABI SARH ALIYEKUWA MWANDISHI WA QURAN ZAMANI

Hadith hizi hapa chini zipo wazi kuhusu hazima ya Muhammad kutaka kumuua Swahaba  huyu Abdullah bin Sad  bin Abi As Sarh. HUYU alikuwa katibu, mwandishi miongoni mwa waandishi wa Quran. Basi siku miongoni mwa siku akawa Muhammad anaelezea kwenye Quran Wahyi jinsi Allah alivyomuumba mwanadamu na huku Abdallah anaandika chini;  Tangu Kuwa udongo hadi mtoto kwa njia ya Manii 

"Na kwa yakini tumemuumba mtu kutokana na asli ya udongo.


23:13


Kisha tukamjaalia awe tone ya mbegu ya uzazi katika kalio madhubuti.


23:14


Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine."


Basi aliposikia haya na kuzangaa kwa uumbaji wa ajabu wa Mwenyezi Mungu,  Abdallah akamaka kwa mshangao; 


*Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji.*


Muhammad akamwambia , Yaa Abdullah na hayo meneno yako pia yajumulishe kwenye Aya😃!!!


Basi Abdullah aliposikia hayo akashtuka na tangu hapo uislamu ukamtoka moyoni..akaondoka Madina akarejea Nyumbani Makka na akawa anamsema Muhammad na kudai kwamba hiyo Quran sio ufunuo kwani ingekuwa ufunuo basi na yeye je atakuwa Mtume!!!

Basi Muhammad akawa na haswa hasira  na ghadhabu kuu juu ya Huyu Abdallah bin Sad  ibn Abi Sarh.

Siku mtume Muhammad alipoiteka Makka mwaka ule wa 630 B.K akiwa na jeshi la Wana vita 10,000 watu wa Makka ikawabidi kujisalimisha kwani hawakuwa Tena na nguvu za kivita kuweza kupigana na hapo kwenye Fatti Makka watu wote wakatangazwa kuwa wamesilimu. Ama wengi wa watu Hawa ambao zamani waliupinga uisilamu sasa wakawa hawana budi wafanye nini. Kwa nje wakajiunyesha kuwa waislamu ila wengi wao nyoyoni wakabaki na unafiki na matendo Yao hayakuonyesha uislamu wowote. Historia,  Tarekh ya Banu Abbas na Banu Ummayya inadhihirisha Hilo wazi. 

Mfano mzuri ni Huyu Bana Abdullah ibn Sad ibn Abi Sarh. JAPO mtume Muhammad kwa kumuhesimu Uthman bin Affan ambaye alikuwa ndugu yake na Abdallah wa Kunyonya alikubali kwa nje Bayi yake , toba yake lakini kama hadith hizi zinavyoonyesha Moyoni alitamani japo swahaba mmoja angenyoka na kumuua Abdallah kwani Mara Tatu hakukubali baia   yake. 

Ama ushahidi kwamba Abdallah hakurejea kwa uislamu tunaupata pale tunaposoma kwamba Uthman bin Affan alipomfanya kuwa Gavana wa Misri, alikuwa Mlevi, mkatiri na aliwadhiki sana Wamisri kiasi kwamba wakatoka  Misri kwenda Madina wakimtaka Uthman amwondoe na badala yake amweke hata Umar bin Abubakar kuwa Gavana. Maovu yake Misri ni miongoni mwa sababu waislamu wa Misri iliwapelekea kwenda Madina na hatimaye kumuua Uthman bin  Affan amir wa Waislamu na Khalifa wa Tatu. 

Jamani hata wewe ukijiuliza tu kama maneno haya ya Abdullah yaani 

  

*"Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji."*

Kwani Waumbaji ni wangapi ili Allah awe Mbora wao?? 


Abdallah kwa mashaka ya tukio ili akaachana na uislamu na hata kama kwenye kutekwa Makka , yaani Fatti Makka ilibidi ajifanye Muislamu  ili kukwepa Mauti na ncha ya upanga ila matendo yake yanadhihilisha hakuwa Muislamu kamwe baada ya kuritadi.


Ni Nani anaweza mlaumu Abdallah kwa kuukana Uislamu wakati Allah au sijui Muhammad ameiba maneno yake  

 

*Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji.*


Na Leo ni Sehemu ya Qurani!!!🙏


Sunan Abi Dawud 4359


Narrated Sa'd ibn AbuWaqqas:


On the day of the conquest of Mecca, Abdullah ibn Sa'd ibn AbuSarh hid himself with Uthman ibn Affan.

He brought him and made him stand before the Prophet (ﷺ), and said: Accept the allegiance of Abdullah, Messenger of Allah! He raised his head and looked at him three times, refusing him each time, but accepted his allegiance after the third time.

Then turning to his companions, he said: Was not there a wise man among you who would stand up to him when he saw that I had withheld my hand from accepting his allegiance, and kill him?

They said: We did not know what you had in your heart, Messenger of Allah! Why did you not give us a signal with your eye?

He said: It is not advisable for a Prophet to play deceptive tricks with the eyes.


حَدَّثَنَا عُثْمَانُ بْنُ أَبِي شَيْبَةَ، حَدَّثَنَا أَحْمَدُ بْنُ الْمُفَضَّلِ، حَدَّثَنَا أَسْبَاطُ بْنُ نَصْرٍ، قَالَ زَعَمَ السُّدِّيُّ عَنْ مُصْعَبِ بْنِ سَعْدٍ، عَنْ سَعْدٍ، قَالَ لَمَّا كَانَ يَوْمُ فَتْحِ مَكَّةَ اخْتَبَأَ عَبْدُ اللَّهِ بْنُ سَعْدِ بْنِ أَبِي سَرْحٍ عِنْدَ عُثْمَانَ بْنِ عَفَّانَ فَجَاءَ بِهِ حَتَّى أَوْقَفَهُ عَلَى النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم فَقَالَ يَا رَسُولَ اللَّهِ بَايِعْ عَبْدَ اللَّهِ ‏.‏ فَرَفَعَ رَأْسَهُ فَنَظَرَ إِلَيْهِ ثَلاَثًا كُلُّ ذَلِكَ يَأْبَى فَبَايَعَهُ بَعْدَ ثَلاَثٍ ثُمَّ أَقْبَلَ عَلَى أَصْحَابِهِ فَقَالَ ‏"‏ أَمَا كَانَ فِيكُمْ رَجُلٌ رَشِيدٌ يَقُومُ إِلَى هَذَا حَيْثُ رَآنِي كَفَفْتُ يَدِي عَنْ بَيْعَتِهِ فَيَقْتُلَهُ ‏"‏ ‏.‏ فَقَالُوا مَا نَدْرِي يَا رَسُولَ اللَّهِ مَا فِي نَفْسِكَ أَلاَّ أَوْمَأْتَ إِلَيْنَا بِعَيْنِكَ قَالَ ‏"‏ إِنَّهُ لاَ يَنْبَغِي لِنَبِيٍّ أَنْ تَكُونَ لَهُ خَائِنَةُ الأَعْيُنِ ‏"‏ ‏.‏


Grade: Sahih (Al-Albani)  صحيح   (الألباني)حكم   :


Reference : Sunan Abi Dawud 4359In-book reference : Book 40, Hadith 9

English translation : Book 39, Hadith 4346


Sunan an-Nasa'i 4067


It was narrated from Mus'ab bin Sa'd that his father said:


"On the day of the Conquest of Makkah, the Messenger of Allah [SAW] granted amnesty to the people, except four men and two women. He said: 'Kill them, even if you find them clinging to the covers of Ka'bah.' (They were) 'Ikrimah bin Abi Jahl, 'Abdullah bin Khatal, Miqyas bin Subabah and 'Abdullah bin Sa'd bin Abi As-Sarh. 'Abdullah bin Khatl was caught while he was clinging to the covers of Ka'bah. Sa'eed bin Huraith and 'Ammar bin Yasir both rushed toward him, but Sa'eed, who was the younger of the two, got there before 'Ammar, and he killed him. Miqyas bin Subabah was caught by the people in the marketplace, and they killed him. 'Ikrimah traveled by sea, and he was caught in a storm. The crew of the ship said: 'Turn sincerely toward Allah, for your (false) gods cannot help you at all in this situation.' 'Ikrimah said: 'By Allah, if nothing came to save me at sea except sincerity toward Allah then nothing else will save me on land. O Allah, I promise You that if You save me from this predicament I will go to Muhammad [SAW] and put my hand in his, and I am sure that I will find him generous and forgiving.' So he came, and accepted Islam. 'Abdullah (bin Sa'd) bin Abi Sarh hid in the house of 'Uthman bin 'Affan, and when the Messenger of Allah [SAW] called the people to give their Oath of Allegiance, he brought him, and made him stand before the Prophet [SAW]. He ('Uthman) said: 'O Messenger of Allah! Accept the allegiance of 'Abdullah.' He raised his head and looked at him three times, refusing his allegiance each time, then he accepted his allegiance after three times. Then he turned to his Companions and said: 'Was there not any sensible man among you who would get up when he saw me refusing to give him my hand and kill him?' They said: 'We did not know, O Messenger of Allah, what was in your heart. Why did you not gesture to us with your eyes?' He said: 'It is not befitting for a Prophet that his eyes be deceitful.'"


أَخْبَرَنَا الْقَاسِمُ بْنُ زَكَرِيَّا بْنِ دِينَارٍ، قَالَ حَدَّثَنِي أَحْمَدُ بْنُ مُفَضَّلٍ، قَالَ حَدَّثَنَا أَسْبَاطُ، قَالَ زَعَمَ السُّدِّيُّ عَنْ مُصْعَبِ بْنِ سَعْدٍ، عَنْ أَبِيهِ، قَالَ لَمَّا كَانَ يَوْمُ فَتْحِ مَكَّةَ أَمَّنَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم النَّاسَ إِلاَّ أَرْبَعَةَ نَفَرٍ وَامْرَأَتَيْنِ وَقَالَ ‏"‏ اقْتُلُوهُمْ وَإِنْ وَجَدْتُمُوهُمْ مُتَعَلِّقِينَ بِأَسْتَارِ الْكَعْبَةِ ‏"‏ ‏.‏ عِكْرِمَةُ بْنُ أَبِي جَهْلٍ وَعَبْدُ اللَّهِ بْنُ خَطَلٍ وَمِقْيَسُ بْنُ صُبَابَةَ وَعَبْدُ اللَّهِ بْنُ سَعْدِ بْنِ أَبِي السَّرْحِ فَأَمَّا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ خَطَلٍ فَأُدْرِكَ وَهُوَ مُتَعَلِّقٌ بِأَسْتَارِ الْكَعْبَةِ فَاسْتَبَقَ إِلَيْهِ سَعِيدُ بْنُ حُرَيْثٍ وَعَمَّارُ بْنُ يَاسِرٍ فَسَبَقَ سَعِيدٌ عَمَّارًا - وَكَانَ أَشَبَّ الرَّجُلَيْنِ - فَقَتَلَهُ وَأَمَّا مِقْيَسُ بْنُ صُبَابَةَ فَأَدْرَكَهُ النَّاسُ فِي السُّوقِ فَقَتَلُوهُ وَأَمَّا عِكْرِمَةُ فَرَكِبَ الْبَحْرَ فَأَصَابَتْهُمْ عَاصِفٌ فَقَالَ أَصْحَابُ السَّفِينَةِ أَخْلِصُوا فَإِنَّ آلِهَتَكُمْ لاَ تُغْنِي عَنْكُمْ شَيْئًا هَا هُنَا ‏.‏ فَقَالَ عِكْرِمَةُ وَاللَّهِ لَئِنْ لَمْ يُنَجِّنِي مِنَ الْبَحْرِ إِلاَّ الإِخْلاَصُ لاَ يُنَجِّينِي فِي الْبَرِّ غَيْرُهُ اللَّهُمَّ إِنَّ لَكَ عَلَىَّ عَهْدًا إِنْ أَنْتَ عَافَيْتَنِي مِمَّا أَنَا فِيهِ أَنْ آتِيَ مُحَمَّدًا صلى الله عليه وسلم حَتَّى أَضَعَ يَدِي فِي يَدِهِ فَلأَجِدَنَّهُ عَفُوًّا كَرِيمًا ‏.‏ فَجَاءَ فَأَسْلَمَ وَأَمَّا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ سَعْدِ بْنِ أَبِي السَّرْحِ فَإِنَّهُ اخْتَبَأَ عِنْدَ عُثْمَانَ بْنِ عَفَّانَ فَلَمَّا دَعَا رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم النَّاسَ إِلَى الْبَيْعَةِ جَاءَ بِهِ حَتَّى أَوْقَفَهُ عَلَى النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم قَالَ يَا رَسُولَ اللَّهِ بَايِعْ عَبْدَ اللَّهِ ‏.‏ قَالَ فَرَفَعَ رَأْسَهُ فَنَظَرَ إِلَيْهِ ثَلاَثًا كُلَّ ذَلِكَ يَأْبَى فَبَايَعَهُ بَعْدَ ثَلاَثٍ ثُمَّ أَقْبَلَ عَلَى أَصْحَابِهِ فَقَالَ ‏"‏ أَمَا كَانَ فِيكُمْ رَجُلٌ رَشِيدٌ يَقُومُ إِلَى هَذَا حَيْثُ رَآنِي كَفَفْتُ يَدِي عَنْ بَيْعَتِهِ فَيَقْتُلَهُ ‏"‏ ‏.‏ فَقَالُوا وَمَا يُدْرِينَا يَا رَسُولَ اللَّهِ مَا فِي نَفْسِكَ هَلاَّ أَوْمَأْتَ إِلَيْنَا بِعَيْنِكَ ‏.‏ قَالَ ‏"‏ إِنَّهُ لاَ يَنْبَغِي لِنَبِيٍّ أَنْ يَكُونَ لَهُ خَائِنَةُ أَعْيُنٍ ‏"‏ ‏.‏


Grade: Hasan (Darussalam)


Reference : Sunan an-Nasa'i 4067In-book reference : Book 37, Hadith 102

English translation : Vol. 5, Book 37, Hadith 4072


Sunan Abi Dawud 4358


Narrated Abdullah ibn Abbas:


Abdullah ibn AbuSarh used to write (the revelation) for the Messenger of Allah (ﷺ). Satan made him slip, and he joined the infidels. The Messenger of Allah (ﷺ) commanded to kill him on the day of Conquest (of Mecca). Uthman ibn Affan sought protection for him. The Messenger of Allah (ﷺ) gave him protection.


حَدَّثَنَا أَحْمَدُ بْنُ مُحَمَّدٍ الْمَرْوَزِيُّ، حَدَّثَنَا عَلِيُّ بْنُ الْحُسَيْنِ بْنِ وَاقِدٍ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ يَزِيدَ النَّحْوِيِّ، عَنْ عِكْرِمَةَ، عَنِ ابْنِ عَبَّاسٍ، قَالَ كَانَ عَبْدُ اللَّهِ بْنُ سَعْدِ بْنِ أَبِي سَرْحٍ يَكْتُبُ لِرَسُولِ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم فَأَزَلَّهُ الشَّيْطَانُ فَلَحِقَ بِالْكُفَّارِ فَأَمَرَ بِهِ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم أَنْ يُقْتَلَ يَوْمَ الْفَتْحِ فَاسْتَجَارَ لَهُ عُثْمَانُ بْنُ عَفَّانَ فَأَجَارَهُ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم ‏.‏


Grade: Hasan in chain (Al-Albani)  حسن الإسناد   (الألباني)حكم   :


Reference : Sunan Abi Dawud 4358In-book reference : Book 40, Hadith 8

English translation : Book 39, Hadith 4345


Sunan an-Nasa'i 4069


It was narrated that Ibn 'Abbas said concerning Surat An-Nahl - :


"Whoever disbelieved in Allah after his belief, except him who is forced thereto and whose heart is at rest with Faith; but such as open their breasts to disbelief, on them is wrath from Allah, and theirs will be a great torment." "This was abrogated, and an exception was made, as Allah said: "Then, verily, your Lord for those who emigrated after they had been put to trials and thereafter strove hard and fought (for the Cause of Allah) and were patient, verily, your Lord afterward is, Oft-Forgiving, Most Merciful." This was 'Abdullah bin Sa'd bin Abi As-Sarh who was the governor of Egypt and used to write to the Messenger of Allah [SAW]. The Shaitan misled him and he went and joined the unbelievers. So he (the Prophet [SAW]) commanded that he be killed on the day of the Conquest of Makkah. Then, 'Uthman bin 'Afan sought protection for him, and the Messenger of Allah [SAW] granted him protection."


أَخْبَرَنَا زَكَرِيَّا بْنُ يَحْيَى، قَالَ حَدَّثَنَا إِسْحَاقُ بْنُ إِبْرَاهِيمَ، قَالَ أَنْبَأَنَا عَلِيُّ بْنُ الْحُسَيْنِ بْنِ وَاقِدٍ، قَالَ أَخْبَرَنِي أَبِي، عَنْ يَزِيدَ النَّحْوِيِّ، عَنْ عِكْرِمَةَ، عَنِ ابْنِ عَبَّاسٍ، قَالَ فِي سُورَةِ النَّحْلِ ‏{‏ مَنْ كَفَرَ بِاللَّهِ مِنْ بَعْدِ إِيمَانِهِ إِلاَّ مَنْ أُكْرِهَ ‏}‏ إِلَى قَوْلِهِ ‏{‏ لَهُمْ عَذَابٌ عَظِيمٌ ‏}‏ فَنُسِخَ وَاسْتَثْنَى مِنْ ذَلِكَ فَقَالَ ‏{‏ ثُمَّ إِنَّ رَبَّكَ لِلَّذِينَ هَاجَرُوا مِنْ بَعْدِ مَا فُتِنُوا ثُمَّ جَاهَدُوا وَصَبَرُوا إِنَّ رَبَّكَ مِنْ بَعْدِهَا لَغَفُورٌ رَحِيمٌ ‏}‏ وَهُوَ عَبْدُ اللَّهِ بْنُ سَعْدِ بْنِ أَبِي سَرْحٍ الَّذِي كَانَ عَلَى مِصْرَ كَانَ يَكْتُبُ لِرَسُولِ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم فَأَزَلَّهُ الشَّيْطَانُ فَلَحِقَ بِالْكُفَّارِ فَأَمَرَ بِهِ أَنْ يُقْتَلَ يَوْمَ الْفَتْحِ فَاسْتَجَارَ لَهُ عُثْمَانُ بْنُ عَفَّانَ فَأَجَارَهُ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم ‏.‏


Grade: Hasan (Darussalam)


Reference : Sunan an-Nasa'i 4069In-book reference : Book 37, Hadith 104

English translation : Vol. 5, Book 37, Hadith 4074


Kwa ushahidi zaidi wa matukio haya rejea hadithi tukizo nukuu pia rejea vitabu kama AR Raheeq al Makhutum kwenye anuani ya kutekwa kwa Makka,

Kutabu cha Maisha ya Uthman cha Sheikh Muhammad Mazrui Uk 46, 47 

Kitabu cha Maswahaba kumi walibashiriwa Pepo

Kitabu cha Maisha ya Mtume Muhammad cha Sheikhy Muhammad Abdallah Riday


Na maelezo ya kina Twabar na Jalaleyen kwenye Surah 23:11-14


Amani ya Mungu Baba iwe nawe.


Mjoli wa Masihi Mwalimu Chaka; *Jitenge mbali na Uislamu*

No comments:

FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE

  **URGENT UPDATE**   **FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE** Shimba TV, New York has received distressing news ...

TRENDING NOW