Monday, November 25, 2013

Mkutano wa Mchungaji Josephat Gwajima umevunja rekodi ya mahudhurio katika mkoa wa Tanga

Mkutano ulioanza jana chini ya kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na mchungaji Josephat Gwajima umevunja rekodi ya mahudhurio katika mkoa wa Tanga baada ya maelfu ya watu kukusanyika katika uwanja wa Tangamano kunakofanyika mkutano huo na kusababisha uwanja huo kuonekana mdogo. Kati ya vitu vilivyovutia macho ya wengi ni mahudhurio ya watu kutoka dini tofauti waliofika katika mkutano huo.
Angalia baadhi ya picha mambo yalivyokuwa hapo jana.
Mchungaji Gwajima akiongea na dada aliyewahi kuwekwa msukule zamani akishuhudia maelfu ya watu wa Tanga.










Mambo ya siku ya kwanza kwenye mkutano jijini Tanga.GK 

No comments:

Mohammad’s Myths vs. Biblical and Scientific Reality: A Scholarly Debate on Laughter, Heart, and Divine Truth

By Dr. Maxwell Shimba, Shimba Theological Institute Introduction In evaluating the truth-claims of any religion, the alignment between i...

TRENDING NOW