Tuesday, January 15, 2013

Who Is The Holy Spirit?


Think about the last time you went to a sporting event. After the game did you say, “Wow, the lighting in the arena was really great!” Of course not. The light was there in the background allowing you to clearly see the players. In the same way the Holy Spirit acts as a light that allows us to see Christ clearly.
The Holy Spirit points us towards Christ by testifying of Him in John 15:26 and convicting the world of sin, righteousness, and judgment” in John 16:8.
Because His role is to point us towards Christ instead of Himself many people misunderstand who the Holy Spirit is. Cults, for example, present Him as merely a force or power and as a result deny the Trinity. It’s critical that Christians understand who the Holy Spirit is and are able to see from Scripture why we believe what we do about Him. So we’re going to take some time and, from the Bible, establish two points:
1) The Holy Spirit Is A Person
2) The Holy Spirit Is God
While this won’t be an exhaustive list of proof texts it’ll be enough to give you a flavor of what the Bible teaches.
1) THE HOLY SPIRIT IS A PERSON
By “Person” I mean the Holy Spirit is not an inanimate force, like many cults teach, but a being with intelligence, emotion and will. The Holy Spirit is not an “it” but a “he”.
In Scripture we see the Holy Spirit exhibiting attributes of a person.
For example He displays His will in 1 Cor 12:11 distributing gifts to “each one individually as He wills.” And in Acts 13:2, “As they ministered to the Lord and fasted, the Holy Spirit said, ‘Now separate to Me Barnabas and Saul for the work to which I have called them.’” And again in Acts 16:6 where Paul and Timothy, “were forbidden by the Holy Spirit to preach the word in Asia.”
He teaches in 1 Cor 2:13, “These things we also speak, not in words which man’s wisdom teaches but which the Holy Spirit teaches.”
And He shows emotion in Eph 4:30, “do not grieve the Holy Spirit of God, by whom you were sealed for the day of redemption.”
Will, intelligence and emotion are all attributes of a person.

Wednesday, January 9, 2013

MBINU ZINAZOTUMIKA NA WAISLAMU ILI KUHARIBU IMANI YA KIKRISTO KATIKA KARNE YA 20-21 (21st CENTURY ISLAMIC STRATERGIES TO ELIMINATE/CORRUPT CHRISTIANITY IN AFRICA)


Utangulizi:

Leo hii, ukitembea sehemu mbalimbali hapa duniani utakutana na waislamu wengi. Waislamu wameenea kila Bara kama vile Ulaya, Afrika, Asia, na America. Inaaminika kuwa kwa kila watu watano hapa duniani, mmoja kati yao ni mwislamu. Tunashuhudia baadhi ya wakristo wakiacha imani yao na kukumbatia uislamu. Katika Bara la Afrika, uislamu umeenea kwa kasi ya ajabu. Je, ni nini kinachofanya uislamu uenee hivyo? Je, ni mbinu gani zinazotumika ili kueneza uislamu? Fuatilia somo hili ili uweze kujua hayo yote.

1. Maana ya neno "lslam"
Neno 'Islam' Asili yake ni lugha ya 'kiarabu' lenye maana ya 'utii' au 'amani'.

2. Mwanzo wa Dini ya Kiislamu
Neno "Islam" ni tofauti na "Dini ya Kiislamu". Hii ni kwa sababu neno "Islam" lilitumika na waarabu hata kabla ya kuanza kwa dini ya kiislamu. Kwa hivyo "Dini ya kiislamu", maana yake ni "kujisalimisha chini ya amri za Allah" au "Amani chini ya sheria za Allah".

i. Muhammad aliambiwa na Allah asema: -
Quran 39: 12 Suratul Zumar (Makundi / Vikosi)
"Na pia nimeamrishwa niwe wa kwanza wa (viumbe) wanaojisalimisha (kwa mwenyezi Mungu)"

Quran 6: 14 Suratul Al- An'am (Wanyama)
Sema "je nifanye mola (wangu) asiyekuwa Mwenyezi Mungu, (Ambaye ndiye) muumba wa mbingu na ardhi" naye hulisha wala halishwi" sema hakika mimi nimeamrishwa niwe wa kwanza katika wenye kusilimu na (nikaambiwa). usiwe miongoni mwa wanaomshirikisha (Mwenyezi Mungu).

Katika ufafanuzi wa aya ya 19-20, katika Suratul Yusuf 12:20 kuna maneno haya--
Unaona kuuzana kulikuwako zaidi ya miaka 4000 kabla ya kuja dini ya kiislamu aliyokuja nayo nabii Muhammad. Kisha wakausingizia uislamu kuwa ndio uliokuja na kuuza watu.

Kadiri ya aya hizi zote tunaona ya kuwa dini ya kiislamu ilianzishwa rasmi hapa duniani Ramadhan siku ya Jumatatu mwezi 17 sawasawa na Tarehe 27 December mwaka 610 Baada ya Kristo (B.K), na mtu aitwae Muhammad Bin Abdalah Bin Abd-Muttalib Bin Hashim Bin Abd Manafu Bin Kusay. Mama yake aliitwa Amina Bint Wahab.
Ama baada ya kuona mwanzo wa Dini ya uislamu sasa tuanze kuangalia mbinu za waislamu.

3. Mbinu Zinazotumika na Waislamu
Mwanzoni Muhammad, mtume wa waislamu, alitumia mbinu hata za kivita ili kueneza dini yake ya kiislamu. Hata wafuasi wake waliamrishwa kupigana kwa ajili ya dini yao. Qurani inasimulia hivi---

Qurani 5:35 Suratul Al -Maidah (Meza)
Enyi mlioamini mcheni mwenyezi Mungu na tafuteni njia ya kumfikilia (kufikilia pepo yake). Na piganeni kwa ajili ya Dini yake ili mpate kufaulu.
Katika Qurani, kitabu kinachowaongoza waislamu, zipo aya nyingi zinazowaamrisha waislamu
wapigane. Baadhi ya aya hizo ni Qurani 47:4 Suratul Muhammad na Qurani 9:123 Suratul At - Tawba. Muhammad mwenyewe alisema hivi katika kitabu cha hadithi zinazoaminiwa na waislamu wote:-

Sahih Al-Bukhari Vol. 4 Hadith na 196, Ukurasa wa 124:
Imesimuliwa na Abu- Huraira: Mtume wa Allah akasema, Nimeamrishwa kupigana na watu hadi watakaposema hakuna apasaye kuabudiwa ila Allah; Na yule atakayesema kwamba hakuna apasaye kuabudiwa ila Allah, maisha yake na mali yake yataokolewa nami…

Tafsiri ya Kiingereza:
Narreted Abu-Huraira Allah's Apostle said, I have been orderedt fight with the people till they say, none has the right to be worshipped but Allah ; his life and property will be saved by me…

Hivi ndivyo alivyosema mtume wa waislamu Muhammad,aliye mfano mwema wa waislamu wote (Qurani 33:21 Suratul Al-Ahzab). Muislamu ni lazima atekeleze kama alivyoamurishwa Muhammad na Allah. Tena tunajua kwamba, watu wote hawawezi kusema "hakuna apasaye kuubudiwa ila Allah". Hao wasiosema hivyo, kadiri ya Hadith hii, wanatakiwa kupingwa na kuawawa mara moja. Kadiri ya Qurani, miongoni mwa watu wanaotakiwa kuangamizwa ni "Wayahudi na Wakristo" (Qurani 9:30 sSuratul At-tawba). Katika kufanikisha uendelezaji wa uislamu hivi sasa, waislamu wamebuni na kutumia mbinu mbalimbali.

I. Kuunda Jumuiya na Taasisi Mbalimbali za Waislamu
Hatua ya kwanza iliyotumika na waislamu ni kuunda jumuiya. Waislamu wana jumuiya nyingi hivi sasa na taasisi nyingi Lakini nitazieleza baadhi yake.

i.Jumuiya ya Organization of Islamic Conference (O. I. C.)
Jumuiya hiyo ilianzishwa baada ya kumalizika vita kati ya Israeli na mataifa kumi na tatu (13) ya kiarabu. Vita hivyo vilipiganwa kwa siku sita na vikamalizika tarehe 5/6/1967. Katika vita hivyo waisraeli waliyashinda mataifa yote 13 ya kiarabu. Ina aminika kuwa wakati huo waisraeli walikuwa ni watu wachache wapata watu 400,000 tu. Baada ya kushindwa huko ndipo mataifa hayo 13 ya kiarabu yakafanya kikao cha kutathimini vita hivyo. Mkutano huo ulifanyika mjini Rabat nchini Morocco chini ya mfalme Hassani. Kikao hicho kilifanyika tarehe 25/9/1969 (kalenda ya kiislamu ni mwezi 12 Rajabu 1389), ndipo mataifa hayo yakaanzisha rasmi jumuiya hiyo ya Organization of Islamic Conference (O.I.C.). Hadi kufikia mwaka wa 2001, jumuiya hiyo imeweza kuwa na wanachama mataifa 56 duniani. Na juhudi zinafanyika ili kupata wanachama zaidi. Jumuiya hiyo ndiyo inayopanga na kutekeleza mbinu ya kuendeleza uislamu duniani.

ii.Kuanzisha kwa Jumuiya ya Islam in Africa Organization (I. A. O.)
Jumuiya hii ya 'Islam in Africa Organization' ilianzishwa chini ya O. I. C. na wawakilishi wa dini ya kiislamu kutoka mataifa 24 walikutana na kuunda jumuiya hiyo. Mkutano uliounda jumuiya hiyo ulifunguliwa na aliyekuwa Raisi wa Nigeria aliyeitwa Ibrahim Babangida.
Jumuiya hiyo ndiyo inayohusika kupanga na kutekeleza namna ya kuendeleza uislamu katika bara la Afrika. Jumuiya hiyo ilianzishwa tarehe 28/11/1989 kule Abuja Nigeria chini ya usimamizi wa O.I.C.

iii.Taasisi za Fedha (Tafakari kuhusu Sharia Banking System)
Ili kuendeleza dini ya kiislamu, mataifa ya kiarabu ambayo yana utajiri mkubwa unaotokana na mafuta yamezipatia nchi hizo mtaji usiotazamiwa kumalizika. Utajiri wao unatumika kueneza uislamu kwa kuishambulia imani yetu wakristo. Taasisi za fedha zilizoundwa chini ya jumuiya ya O.I.C. na I.A.O. ni hizi: -
Islamic Development Bank
Islamic Development Fund
Jukumu la taasisi hizo za fedha ni kuhakikisha kuwa wanatoa fedha za kuendeleza shughuli za kukuza na kusaidia nchi wanachama katika kuendeleza miradi ya uchumi, viwanda, biashara, hospitali, visima vya maji, barabara na mashule. Vile vile, taasisi hizo zinatoa fedha ili kuwashawishi hata viongozi wa mataifa mbalimbali ili wajiunge na jumuiya za O. I. C. na I. A. O. Kwa mfano, taifa ambalo lilipewa fedha nyingi mara baada ya kujiunga na jumuiya hizo za kiislamu ni Nigeria ambayo ilipewa dola za kimerikani US $ 21 BILLION. Kwa ajili ya maendeleo ya waislamu. Hata aliyekuwa Raisi wa nchi hiyo, Ibrahimu Babangida, alipokubali nchi yake iwe mwanachama wa O. I. C. na I. A. O., November 1989 kule Abuja Nigeria, Account yake iliyokuwa katika Bank inayoitwa Arab-African lnternational Bank, ilionyesha alikuwa na dola za kimarekani US $ 57.48 Billion. Aidha mawaziri wawili na mkuu wa jeshi, Account zao zilikuwa na fedha nyingi nazo zilionyesha fedha hizi:-
Mmoja alikuwa na US $ 15.2 Billion
Mwingine alikuwa na US $ 17.8 Billion
Mwingine account yake ilikuwa na US $ 24.9 Billion
Na hii ilikuwa ni motisha kwao. Jambo hili linatishia kuangamizwa kwa imani yetu sisi wakristo.

Je, Unafahamu Kuwa Majini ni Ndugu za Waislamu?

MAJINI [MASHETANI] NI NDUGU ZA WAISLAMU
Na. Mwl. Daniel Mwankemwa
Utangulizi:
Majini ni viumbe visivyoonekana kwa macho ya kawaida ya wanadamu. Hii ni kwa sababu viumbe hivi viko katika asili kutoonekana. Majini huitwa pia Ibilisi, shetani, pepo mchafu au joka la zamani.
ASILI YAO:
Kwa mujibu wa Biblia majini yalikuwa ni malaika kabla ya kuungana na yule muasi mkuu wa Mungu, yaani Lucifer aliyemuasi Mungu mbinguni na kutaka ukubwa wa kufanana na Mungu, na ndipo akatupwa huku duniani yeye pamoja na malaika zake, na huku wakiwa wamenyanganywa utukufu waliokuwa nao hapo awali. Vita hivyo viliongozwa na malaika mkuu wa Mungu wa Mbinguni yaani Yahweh(Yehova) kumtupa chini huyo malaika muasi pamoja na malaika zake. Viumbe hivyo vilivyotupwa ndivyo leo vinaitwa MAJINI au MASHETANI au PEPO WACHAFU au IBILISI au JOKA LA ZAMANI.
Uf. 12:7-12 “Kulikuwa na vita mbinguni, Mikael na malaika zake wakapigana na yule joka, yule joka naye akapigana nao pamoja na malaika zake, nao hawakushinda wala mahala pao hapakuonekana tena mbinguni. Yule joka akatupwa yule mkubwa nyoka wa zamani aitwaye ibilisi na shetani audanganyaye ulimwengu wote, akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye. Nikasikia sauti kuu mbinguni ikisema sasa kumekuwa wokovu na nguvu na ufalme wa Mungu wetu kwa maana ametupwa chini mshitaki wa ndugu zetu yeye awashtakiye mbele za Mungu wetu, mchana na usiku. Nao wakamshinda kwa damu ya mwanakondoo na kwa neno la ushuhuda wao ambao hawakupenda maisha yao hata kufa. Kwa hiyo shangilieni enyi mbingu, nanyi mkaaao humo. Ole wa nchi na bahari! Kwa maana yule ibilisi ameshuka kwenu mwenye ghadhabu nyingi akijua ya kuwa ana wakati mchache tu.”
Hivyo kwa mistari au aya hizo unaanza kupata taswira ya kile tunachojifundiza kuusiana na majini.
Ki-Biblia malaika ni viumbe walio katika hali ya roho ila wanaweza kuonekana kwa umbile la mwanadamu. Mw. 18:1-18, Lk 1:26-28, Kut 3:1-6
Katika Ebr 1:13-14 “Yuko malaika aliyemwambia wakati wowote uketi mkono wangu wa kuume hata nitakapowaweka adui zako chini ya nyayo zako? Je, hao si ROHO watumikao wakitumwa kuwahudumia wale watakaourithi wokovu?”
Biblia inazidi kubainisha namna ya kuubwa kwao
Mw.2:1 “Basi mbingu na nchi zikamalizika na JESHI LAKE LOTE”
Ni katika jeshi hilo ambapo tunapata hawa viumbe vya kiroho.
Na katika Kol 1:1-16 “Kwa kuwa katika yeye vitu vyote viliumbwa vilivyoko mninguni na vilivyo juu ya nchi. Vinavyoonekana na visivyoonekana……….”
Jeshi hilo ni huru linaweza kujiamulia lolote na ndiyo maana 1/3 ya hao hao roho yaani malaika waliasi na kufanya machukizo mbele za Mungu na wakafukuzwa (Uf 12:7-12) na wengine wamefungwa.
Katika Yuda 6 “Na malaika wasiolinda enzi yao wenyewe, lakini wakayaacha makao yao yaliyowahusu amewaweka katika vifungo vya milele chini ya giza kwa hukumu ya siku ile kuu”
Kwa hiyo majini ndiyo mashetani na mashetani ndiyo majini. Katika kitabu cha

Lawi 17:7

“Wala hawatatoa tena sadaka zao Kwa wale MAJINI ambao huwafuata ili wafanye uasherati nao, sheria hii itakuwa sheria hii itakuwa sheria ya milele kwao kizazi baada ya kizazi.”
Kwa sababu majini hayo tangu yalipotupwa toka mbinguni wana wa Israeli hawakuwa na ufahamu kwa kutosha kuyahusu, baadhi yao walijikuta wakiyatolea sadaka huku wakiamini kuwa wanamtolea Mungu sadaka. Na kumbuka kuwa mara nyingi wana wa Israeli walipotoa sadaka zao nyingi zilikuwa za wanyama na hivyo kutakiwa kujinja na kutoa damu ambayo ni sehemu kubwa ya chakula cha majini.
Katika Zaburi 106:34-40.
“ hawakuwaharibu watu wa nchi kama BWANA alivyowaambia, bali walijichanganya na mataifa wakajifunza matendo yao, bwakazitumia sanamu zao nazo zikawa mtego kwao naam walitoa wana wao na binti zao kuwadhabihu kwa MASHETANI wakamwaga damu isiyo na hatia, damu ya wana wao na binti zao walio watoa dhabihu kwa sanamu za kaanani. Nchi ikatiwa unajisi kwa damu.”
Ndivyo walivyotiwa uchafu kwa kazi zao, wakafanya uasharati kwa matendo yao. Hasira ya Bwana ikiwa juu ya watu wake akauchukia urithi wake.
Hivyo kutokokamana na kutokuonekana kwao hayo majini yaliwahujumu wana wa Israel hata yakawasababishia wamwasi Mungu kwa kuyatolea sadaka kinyume cha Mungu wa mbinguni aliyehai.

Tuesday, January 8, 2013

Bible Commentary Ebooks (PDF)

Commentary Ebooks (PDF)
These lessons are in PDF format and require Adobe Acrobat Reader or Abode Acrobat eBook Reader to view, download, and print. Download Adobe Acrobat Reader and Adobe eBook Reader for free.
For information regarding accessibility for disabled persons, see Adobe accessibility.

Barnes New Testament Notes*

Calvin*
 

Free Books of Mark Copeland: Topical Bible Studies

Mark Copeland: Topical Bible Studies
Bible Class Books (PDF)

Baptism - A Special Study, Topical Sermon Series, thirteen lessons, by Mark Copeland.
Conversions In The Book Of Acts, Topical Sermon Series, ten lessons, by Mark Copeland.
The Church Jesus Built, Topical Sermon Series, eight lessons, by Mark Copeland.
A Closer Walk With God, Topical Sermon Series, fourteen lessons, by Mark Copeland.
Can We Trust The Bible?, Topical Sermon Series, six lessons, by Mark Copeland.
Christian Apologetics, Topical Sermon Series, seven lessons, by Mark Copeland.
Equipping The Saints For Ministry, Topical Sermon Series, fourteen lessons, by Mark Copeland.
Evangelism Made Personal, Topical Sermon Series, eight lessons, by Mark Copeland.
Faith Is The Victory!, Topical Sermon Series, ten lessons, by Mark Copeland.
Fasting - A Special Study, Topical Sermon Series, three lessons, by Mark Copeland.
The Flesh And The Spirit, Topical Sermon Series, seventeen lessons, by Mark Copeland.
Following Jesus Without Denominationalism, Topical Sermon Series, nine lessons, by Mark Copeland.
The Gospel Of Christ & The Problem Of Sin, Topical Sermon Series, seven lessons, by Mark Copeland.
The Gospel Of The Kingdom, Topical Sermon Series, seven lessons, by Mark Copeland.
Growing In The Knowledge Of Jesus Christ, Topical Sermon Series, nine lessons, by Mark Copeland.
A Harmony Of The Life Of Paul, Topical Sermon Series, thirteen lessons, by Mark Copeland.
The Holy Spirit Of God, Topical Sermon Series, thirteen lessons, by Mark Copeland.
Homosexuality - A Christian Perspective, Topical Sermon Series, seven lessons, by Mark Copeland.
Issues Of Distinction, Topical Sermon Series, seven lessons, by Mark Copeland.
Jesus, The Way (revised), Topical Sermon Series, seven lessons, by Mark Copeland.
Life After Death, Topical Sermon Series, twelve lessons, by Mark Copeland.
Ministering Spirits, Topical Sermon Series, six lessons, by Mark Copeland.
Our Life Together, Topical Sermon Series, a nine lesson study in Christians fellowship, by Mark Copeland.
Prayer, A Special Study, a study on various aspect of prayer, eight lessons, by Mark Copeland.
The Problem Of Suffering, Topical Sermon Series, three lessons, by Mark Copeland.
Relationship Evangelism, Topical Sermon Series, six lessons, by Mark Copeland.
The Religion Of Islam, Topical Sermon Series, seven lessons, by Mark Copeland.
Secrets Of The Abundant Life, Topical Sermon Series, five lessons, by Mark Copeland.
Shepherds Of The Flock, Topical Sermon Series, eight lessons, by Mark Copeland.
Shining As Lights In The World, Topical Sermon Series, seven lessons, by Mark Copeland.
The Significance Of Being A Christian, Topical Sermon Series, seven lessons, by Mark Copeland.
Spiritual Growth, Topical Sermon Series, eight lessons, by Mark Copeland.
That You May Believe, Topical Sermon Series, nine lessons, by Mark Copeland.

http://biblestudyguide.org/ebooks-bibleclass/topical-au-copeland.htm

Free Christian PDF books


Table of Contents
Christian PDF Books



Note to All Users: All of these free Christian pdf books are opened with Adobe Reader
®. 
All copyright laws must be adhere to on all the individual materials.


http://ntslibrary.com/Christian-PDF-Books.htm

Monday, November 26, 2012

Lord, we humbly come before You, acknowledging Your glory

Lord, we humbly come before You, acknowledging Your glory; You are worthy to be praised, You alone are worthy to receive honor, glory and praise. There is no one else like, Lord God, who can stand against You? Who is able to stand before You and not tremble at Your sight? 

Our hearts tremble with the Fear of the Lord, as we draw closer to You. You all powerful, all know; You alone are God, there is none above You, or beside You. Lord God, we cry out from the depths of our hearts for the Fire of God to rain down and consume our entire beings, in Jesus Name. 

Lord, burn away everything that is not of You and remove it far from us, in Jesus Name. Release the Fire of Your holiness to purify our hearts and minds, in Jesus Name. 

Lord, we are thirsty and hungry for a mighty move of God, for the heavens to open up and send Your former and latter rains upon this barren land. We are not just asking for a revival; but, we are calling out for a revolution to uprise within every heart and soul. 

Those who are fearless and their faces are like flint; they are determined and filled with the passion and zeal to go forth with the calling that You have put on their lives. 

It does not matter anymore what people think, do, or say because all they hear is the Lion of Judah roaring. Lord, raise up a generation of people that are consumed with Your Fire and passion and zeal, those that will minister the Fire of God, the Fire of Your holiness to the people. 

Let Your Fire be ablaze within our hearts, flowing through our mouths, and resting upon our minds, in Jesus Name. 

Ignite a renewed passion, zeal, desire, and Fire within Your people; let it be increased, intensify, multiply, magnify, and amplify within us and through us, in Jesus Name. 

Lord, we call everything into the obedience of Jesus Christ right now, in Jesus Name. Stir up our hearts and our souls to be ablaze for You; let us have such compassion for the lost, the wounded, the hurting, and the broken and shattered, in Jesus Name. 

Lord, let Your love be a seal upon our hearts and minds; help us not to be quick to condemn or judge others, let us just love them through Your love. Help us see them through the eyes of love and compassion. 

Father, forgive those that have harmed us with their words and actions; forgive those that have insulted us, persecuted us, belittled us; they don’t know what they are doing. Lord, they are so wounded and lashing out in such misery that they bleed out on others. Lord, have mercy upon them and heal their wounded hearts, mend the broken pieces of their hearts, in Jesus Name. 

Soften the hard hearted and the cold hearted people; let them become pliable in Your hands, in Jesus Name. 

Your word says that You take the things the world deems as foolish and mold them into being powerful vessels for You. Lord, let the Fire of Your holiness surround our entire lives, every area of our hearts and souls, in Jesus Name. 

Let us embrace the Fear of the Lord, that we may not sin against You, let our hearts be filled with such vehement love for You that we don’t want to sin against You, in Jesus Name. 

Help each of us to clean our houses and take out the things that don’t please You, Lord God. Lord, let us lose all desire for the things of this world; let us no longer lust after the world, in Jesus Name. 

 Lord, give us the grace to cleanse ourselves and to take the world out of us. Lord, let us no longer compromise in any way; awaken us from our complacency and apathy. 

Let us be the light in a city on a hill; let the love of God reflected and radiate in every area of our lives, let us become beacons of that light and that Fire for the world to see. 

Let us no longer take Your grace in vain; let us live the life that You have called us to live. 

Father, we ask for Your perfect will to be done in us and through us, in Jesus Name. 

Amen and amen.

Monday, November 5, 2012

Bibles for America--Free Bibles and free Christian books


One of the best ways to go through the Bible is to read it consistently and consecutively. What better time to establish this healthy habit than at the beginning of this new year? Whether you’re already off to a good start or need some help staying on track, we offer a number of free tools that can complement your Bible reading.

https://www.biblesforamerica.org/mvc/products/bible/shipto

FIRST SUNDAY SERVICE (August 5, 2012)

An Academic Critique of Internal Contradictions in the Quran with Reference to Eschatological Descriptions of Hell’s Sustenance

  Title: An Academic Critique of Internal Contradictions in the Quran with Reference to Eschatological Descriptions of Hell’s Sustenance Au...

TRENDING NOW