Sunday, January 10, 2016

WAISLAM WANADAI KUWA HII AYA INAPINGA UUNGU WA YESU - YOHANA 17:3

NA UZIMA WA MILELE NDIO HUU, WAKUJUE WEWE ULIYE MUNGU WA PEKEE, WA KWELI NA YESU KRISTO ULIYE MTUMA -YOHANA 17:3

Ndugu wasomaji,
Leo nitaielezea aya ya Yohana 17: 3 ambayo Waislam wamekuwa wakiitumia mara nyingi sana kudai kuwa eti, Yesu amekana kuwa yeye ni Mungu. Waislam kwa kupitia mihadhara ya kidini na kwa kutumia vijarida mbali mbali wanatishia Umma wa Wakristo kuwa, Yesu ameukana Uungu. Je, hayo madai ya Waislam ni kweli? Je, hiyo aya ina la zaidi la kujifunza?

Ili uielewe Biblia vizuri, nilazima usome aya kadhaa ili upate kuelewa nini hasa Mungu anasema kupitia Neno lake. Hivyo basi, nimeweka aya ya 4 na ya 5 ili kufafanua nini hasa Yesu alikuwa anasema katika Yohana 17.

Ngoja niziweke aya zote hapa:Yohana 17: 3 Nao uzima wa milele ndio huu, wakujue Wewe uliye Mungu wa pekee, wa kweli na Yesu Kristo uliyemtuma.4 Nimekutukuza Wewe duniani kwa kuitimizaile kazi uliyonipa niifanye. 5 Hivyo sasa, Baba, unitukuze mbele Zako kwa ule utukufu niliokuwa nao pamoja na Wewe kabla ulimwengu haujakuwako.

Yesu katika aya ya 5 [Hivyo sasa, Baba, unitukuze mbele Zako kwa ule utukufu niliokuwa nao pamoja na Wewe kabla ulimwengu haujakuwako]

==> YESU anasema kuwa
1. Yeye aliishi kabla ya Ulimwengu kuwepo! Hapo panaanza kukupa mwanga halisi, wa nini Yesu alikuwa anasema na Yesu ni nani. Imani zote zinakiri kuwa aliye kuwepo kabla ya vitu vyote ni Mungu. Lakini katika aya ya 5, Yesu nae anadai kuwepo kabla ya uumbaji.

2. Yesu anaendelea kusema katika aya hiyo hiyo kuwa, yeye alikuwa na adhama ya Mungu -"UTUKUFU". Yesu anamwambia Mungu Baba kuwa, AMTUKUZE YESU KWA UTUKUFU ALIOKUWA NAO KABLA YA ULIMWENGU HAUJAKUWAKO. Sasa, kama Yesu, sio Mungu na alikuwa Binadamu wa kawaida, kwanini basi amwambie BABA YAKE AMTUKUZE? Yesu anatumia mamlaka gani hayo kudai Utukufu ambao sio wake bali ni wa Mungu pekee?

3. Kama Yesu sio Mungu. Je, alipo dai atukuzwe na Mungu Baba, huoni kuwa alikuwa anakufuru? Lakini Hatusomi kuwa YESU aliwai tenda dhambi yeyote ile. Hata dini ya Waislam, inakiri kuwa, Katika Binadamu wote ambao waliishi Duniani, ni Yesu pekee aliweza kuishi bila ya kutenda dhambi na kuwa na dhambi.

Ndugu wasomaji, madai ya Waislam kuwa Yohana 17:3 INAPINGA UUNGU WA YESU ni Batili kabisa, maana, leo tumejifunza katika Yohana hiyo hiyo kuwa Yesu aliishi kabla ya Ulimwengu kuwepo na Yesu anautukufu wa Mungu.

Aya ya 5 NUKUU: Hivyo sasa, Baba, unitukuze mbele Zako kwa ule utukufu niliokuwa nao pamoja na Wewe kabla ulimwengu haujakuwako.

HOJA:1. Yesu anadai kuwa aliishi kabla ya ulimwengu kuumbwa.
2. Yesu anadai kuwa anautukufu kama wa Baba yake.

SASA BASI:1. Yesu ni nani mpaka adai utukufu kama wa Mungu tena kutoka kwa Mungu Baba?
2. Yesu ni nani mpaka aseme kuwa aliishi hata kabla ya kuumbwa kwa ulimwengu, tena namwambia Mungu Baba?

Ndugu zanguni,
Mada imekamilika na kujibu maswali ya Waislam kuwa Yesu aliukana uungu wake katika aya 3 ya Yohana 17.

Nawakaribisha wote Kwa Yesu Kristo aliye hai. Yeye ndie njia kweli na uziama. Njooni kwake ili mpate maisha ya milele na yenye uzima tele.

Katika Huduma yake,
Max Shimba.
Kwa Max Shimba Ministries

MTUME MUHAMMAD ALITUMIA NDUMBA

1. Mtume Muhammad alitumia Ndumba
2. Mtume Muhammad adai eti Nywele zake zinatibu jicho ovu.
3. Wapi katika Biblia tunasoma kuwa Manabii na Mitume wa Biblia walitumia Ndumba?
Ndugu Msomaji,

Leo ningependa tusome kuhusu Muhammad na Utumiaji wa NDUMBA katika Uislam,

MTUME MUHAMMAD ANATUMIA NDUMBAMuhammad alitumia ndumba [nguvu za kimazingaombwe] dhidi ya jicho ovu na wanyama jamii ya mjusi wenye sumu Ibn-i-Majah juzuu ya 5 na.3525 uk.48.
Hivi wapi tunasoma katika Taurat au Zaburi au Injir kuwa Mitume na Manabii wa kwenye Biblia walitumia NDUMBA?
Hivi Allah hana uwezo wa kutibu jicho ovu au Sumu mpaka atumie NDUMBA?

MUHAMMAD SASA AMPA MKE WAKE AISHA NDUMBAMuhammad alimpa ‘Aisha ndumba ili kutibu jicho ovu. Sahih Muslim juzuu ya 3 kitabu cha 24 na. 5445,5447-5450 uk.1196.
Hivi Ndumba ina tofauti gani na UCHAWI? Sasa hapo juu tumesoma kuwa Muhammad ametoa NDUMBA kwa mke wake kipenzi.
Wapi tunasoma kuwa Manabii wa Biblia walitumia NDUMBA?
Muhammad aliamini katika jicho ovu, na kulikuwa na hirizi dhidi yake al-Tabari juzuu ya 39 uk.134.
Sura mbili za mwisho (113 and 114) ziliandika juu ya ubaya wa jicho ovu kufuatana na Ibn-i-Majah juzuu ya 5 na.3517 uk.41.
Hata hivyo, sura za 113 na 114 hazimo katika toleo la Ibin Mas’ud katika Korani (The Fihrist uk.57). Kuondolewa huko hakukuwa kwa bahati mbaya. Ilitaarifiwa kuwa Ibn Mas’ud alisema, "Hirizi mbili-Sura za [113, 114] si Kitabu cha Mungu."
Ibn Mas’ud alikuwa katibu muhtasi wa Muhammad. Muhammad aliwaambia watu wengine wajifunze kutoka kwa Ibn Mas’ud na wengine watatu. (Bukhari juzuu ys 6 kitabu cha 60 sehemu ya 8 na.521 uk.486-487).

MUHAMMAD ASEMA NDUMBA NANGAE HUTIBU JICHO OVUNdumba hutibu jicho ovu. Ibn-i-Majah juzuu ya 5 na.3510, 3511 uk.41; juzuu ya 5 na.3512 uk.42.
ALBADIRI NI NDUMBA
Albadiri inaruhusiwa dhidi ya jicho ovu na inge Ibn-i-Majah juzuu ya 5 na.3513-3518 uk. 42-44.
Jicho ovu ni hali halisi. Bukhari juzuu ya 7 kitabu cha 71 sehemu ya 36 na.636 uk.427, juzuu ya 7 kitabu cha 71 sehemu ya 86 na.827 uk.538. Soma pia Bukhari juzuu ya 4 kitabu cha 55 sehemu ya 9 na.590 uk.386.
Jicho ovu ni kweli. Ibn-i-Majah juzuu ya 5 na.3506, 3507 uk.39.
"…Ushawishi wa jicho ovu ni hali halisi." Sahih Muslim juzuu ya 3 kitabu cha 24 na.5426 uk.1192. Soma pia Sahih Muslim juzuu ya 3 kitabu cha 24 na.5424-5427 uk.1192.
Amir bin Rabia alisemekana kuwa alitoa jicho ovu kwa mtu fulani. Ibn-i-Majah juzuu ya 5 na.3508 uk.40.
Hata hivyo nywele za Muhammadi zilikuwa tiba ya jicho ovu. Bukhari juzuu ya 7 kitabu cha 72 sehemu ya 65 na.784 uk.518.
Wakati Muhammadi aliponyolewa nywele zake, wafuasi wake walitaka kudaka kila kipande cha unywele wake kwa ajili ya kukitunza. Muhammadi kwa ukarimu alisambaza nywele zake kwa watu. Sahih Muslim juzuu ya 2 kitabu cha 7 na.2991-2994 uk.656-657.

ETI MKIJUMUIKA TAREHE 17, 19, 21 YA KILA MWEZI NI TIBA. HII NAYO NI NDUMBA YA AINA YAKEMuhammad alisema pia kuwa ikiwa watu watajiumika tarehe ya 17, 19 au 21 ya mwezi itakuwa ni tiba kwa kila ugonjwa. Abu Dawud juzuu ya 3 na.3852 uk.1084.
Kama Muhammad alikuwa Mtume wa Mungu, kwanini alifanya
NDUMBA?
Kama Allah ni Mungu, kwanini anaruhusu kufanya NDUMBA?
Kama Uislam unatoka kwa Mungu, kwanini unaruhusu NDUMBA nangae?
Karibu kwa Yesu aliye hai na Mungu Mkuu,
Mungu awabariki sana,
Katika Huduma Yake,
Max Shimba Ministries Org.
MAX SHIMBA MINISTRIES ORG ©2015. ALL RIGHTS RESERVED
Everyone is permitted to copy and distribute verbatim copies of this license document, but changing it is not allowed.

JE, HIZI SIFA ZA AJABU ZA MUHAMMAD NI ZA KITUME?

1. Muhammad alizini na kijakazi
2. Muhammad alikuwa na changu doa
3. Muhammad alinyonya ulimi wa mwenzake
4. Muhammad alikuwa Mlevi
5. Muhammad alikuwa amerogwa

Wengi wenu labda hakuwa mnazifahamu hizi siri ambazo Waislam wanazificha kila siku. Naam, naziita siri kwasababu huwa hawasemi huu ukweli wa Muhammad Mtume wa Allah.

MTUME MUHAMMAD ALIFUMANIWA NA KIJAKAZI WA MKEWESiku moja mtume (s.a.w) Alikuwa Nyumbani kwa Mkewe Hafsa bint Umar, Hafsa akaenda kwa Baba yake kumjulia hali, Mtume (s.a.w) alimwita Mjakazi wake bibi Mariya Alqbitiyya, akawa nae Chumbani, Aliporudi Hafsa Akasema Maneno makali kwa Mtume juu ya tendo hilo (s.a.w) Mtume akasema nakuhakikishia Kuwa: Kuanzia Leo Sitamwingilia tena, mjakazi wako.
(Tafsir Ibn Kathir J. 6 Uk. 367)
Je, huku kufumaniwa ndio sifa za kitume?

MTUME MUHAMAMD ALIKUWA NA CHANGU DOASunan Abu-Dawud, Kitabu 38, Namba 4458: Amehadithia Ali ibn AbuTalib: "Mtumwa wa Kisichana ambaye alikuwa mali ya nyumba ya Mtume wa Allah aligawa Uroda kwa Rafiki ya Muhammad. Basi Nabii wa Allah akasema kwa Ali: Nenda na ukampe adhabu Muasherati wangu kwa kufanya Ngono bila ya ruhusa yangu. Ali akaharakisha kwenda alipo yule Mtumwa wa Kisichana wa Muhammad na kuona damu ilikuwa inatiririka kutoka kwake, na bila kuacha. Hivyo Muhammad alikwenda kwake na akasema: Mwache damu iendelee kutiririka mpaka itakopo simama; kisha mpe adhabu kwa mujibu wa dhambi yake".
Hakika Muhammad alikuwa ni Nabii wa Shetani anaye fuga Watumwa na kuedekeza uzinzi.

MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSANHadith Idadi 16,245: "maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan": "Nilimwona Nabii wa Allah(saw) - akimnyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al-Hassan Mwana wa Ali, Mwenyezi Mungu amrehemu, maana hakuna mtu atakaye teswa kwa Moto wa Jehannam baada ya kunyonywa ulimi na kulambwa midomo na Nabii wa Allah.
Mnaona tabia chafu ya Nabii wa Allah? Eti akikula denda na kukulamba midomo basi wewe huto kwenda Jehannam. Pia alisema, "Siku baadaye tuliomba muuguzi kwa ajili yake (Ali) lakini alikataa, basi tukamwita Nabii Muhammad - SAW -.ambaye alimnyonya ulimi "Ali" kwa kinywa chahe mpaka akalala. Hivi ndivyo Allah alivyo taka Ali afanyiwe na Nabii wake

MTUME MUHAMMAD ALIKUWA MLEVISahihi Muslim 3753:'' Sisi tulikuwa pamoja na Mtume wa Allah, na Yeye Mtume wa Allah alikuwa na kiu na mtu mmoja akasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, Je, UNATAKA KUNYWA MVINYO? Mtume Muhammad akasema: NDIO. Basi yule Mtu alikwenda kuleta mvinyo. Mtume wa Allah akamwambia: Lete MVINYO ULIO MKALI ILI NINYWE; Basi Mtume wa Allah alipo kunywa ule MVINYO MKALI ALILEWA

MTUME MUHAMMAD ALIKUWA AMEROGWAPia, kwa mujibu wa Sahih Bukhari juzuu ya 4, Kitabu cha 54, Hadithi namba 490 na Sahih Bukhari, juzuu ya 7, kitabu cha 71, hadithi namba 658; Muhammad alirogwa na akazurika na uchawi. Kisa cha mtume kurogwa na kuzurika na uchawi pia kinasimuliwa katika quran Tafsiri ya Sheikh Abdullah Saleh Al-Farsy ukurasa wa 977 na 978.

MASWALI: (a) Ikiwa uchawi ni ukafiri, Kuna uhusiano gani kati ya Allah na ukafiri mpaka atelemshe uchawi?
(b)Mtume Muhammad alirogwa na wachawi wa kiislam au wachawi wengine?
(c) Mtume Muhammad alirogwa na uchawi ulioteremshwa na malaika wa Allah au uchawi mwingine?
(d) Mtume au nabii gani mwingine alirogwa na akaathirika na uchawi?

Kama Muhamamd alikuwa Mtume wa Mungu, mbona tabia zake ni za kisheitwain?
Hakina huyu Muhammad ahakuwa Mtume wa Mungu bali Allah ambaye ni Mpinga Mungu.
Karibu kwa Yesu aliye hai na Mungu Mkuu,
Mungu awabariki sana,
Katika Huduma Yake,
Max Shimba Ministries Org.
MAX SHIMBA MINISTRIES ORG ©2015. ALL RIGHTS RESERVED
Everyone is permitted to copy and distribute verbatim copies of this license document, but changing it is not allowed.

Saturday, January 9, 2016

WAISLAM WANASEMA YESU SIO MUNGU KWASABABU ALIKANA KUWA YEYE SI MWEMA

JE, YESU NI MWEMA KAMA MUNGU?
Leo nitajibu HOJA ya Waislam ya Mungu Ndiye Mwema.
Waumini wa dini ya Kiislam katika Mihadhara mbalimbali ya kidini wamekuwa na tabia ya kutumia aya 18-19 iliyopo katika Luka Sura ya 18, inayo sema Mungu Ndiye Mwema. Waislam wanadai kuwa, katika aya hii, Yesu amekana kuwa yeye si "MWEMA" na kuwa Mungu Pekee ni Mwema, hivyobasi, kukana kwa Yesu kuwa yeye si Mwema kunapinga Madai ya Wakristo kuwa Yesu ni Mungu.
Kwa hivyo utaona kuwa wahadhiri hao wa Dini ya Uislamu hufundisha jamii kwa kutumia Qurani na Biblia na kusema kuwa eti Yesu amekana kuwa yeye si MWEMA. Fundisho hili la "MUNGU PEKEE NDIYE MWEMA" wanalieneza kwa kupitia Mitandao mbalimbali kama ya Radio, Vijarida, Mihadhara, vitabu na Kanda (cassettes) za Video na Audio. Na hivyo kuwafanya baadhi ya Wakristo kuacha Imani yao na kuingia katika Dini ya Uislamu. Na baadhi ya Wakristo wengine ingawa hawajabadili dini wanaamini hivyo.
Swali la muhimu la kujiuliza kwa kila Mkristo, je, ni kweli Yesu alikana kuwa yeye si MWEMA? Nakusihi fuatilia somo hili kwa makini ili kujua ukweli wa aya hii:
Luka 18.18-19 "Tena mtu mkubwa mmoja alimuuliza Yesu, akisema, Mwalimu Mwema, nifanye nini ili kuuruthi uzima wa milele? Yesu akamwambia mbona unaniita Mwema? Hakuna aliye mwema ila mmoja, Naye ndiye Mungu".
Ukitazama kwa haraka haraka namna wahadhiri hao wa Dini ya Uislamu wanavyoifunda hii aya ya Biblia unaweza ukashawishika kuamini hicho wanachokifundisha, lakini ni vyema tukajifundisha kwa undani kadiri majibu ya Yesu kuwa "Mungu Pekee Ndiye Mwema" kisha tuone kama kuna ukweli juu ya hayo mafundisho yao, ya kusema kuwa Yesu kakataa kuwa yeye si Mwema na hivyo kunamfanya kuwa yeye si Mungu.
Haya tuanze utafiti wetu.
Katika hii aya hapo juu, je, Yesu katoa jibu au kauliza swali? Hapa tunaona aya zinatufundisha waziwazi kuwa Yesu aliuliza swali na si kukana kuwa yeye si Mwema.
NUKUU: Yesu akamwambia Mbona waniita Mwema? Hapa Yesu kamuuliza swali, Yule mtu aliye muita “MWALIMU MWEMA” na si kukana kuwa yeye si “MWEMA" kama wanavyo fundisha Wahadhiri wa dini ya Kiislam katika Mihadhara yao ya kidini.
Baada ya Yule mtu kushindwa kujibu kwanini alimwita Yesu "Mwalimu Mwema". Yesu akasema yafuatayo:
Hakuna aliye Mwema ila mmoja, Naye ni Mungu. Je, Yesu alipo sema haya maneno alikana kuwa yeye si Mungu?
WAISLAM WANAKUBALI KUWA ALIYE MWEMA NI MUNGU TU.
Je, kuna sehemu yeyote ile katika Biblia ambayo Yesu anajiita yeye Mwema. Sasa tumsome Yesu katika Injili ya Yohana 10:14
Yesu anasema yafuatayo:
"14 Mimi ni Mchungaji MWEMA: ninawafahamu Kondoo wangu nao wananifahamu"
KATIKA YOHANA YESU ANAJIITA MWEMA.
Sasa basi, kufuatana na Waislam kukubali kwao kuwa "MUNGU PEKEE NDIE MWEMA" na Yesu kujiita Mwema katika Injili ya Yohana 10:14. Leo hii Yesu amewajibu Wahadhiri wa dini ya Kiislamu kuwa yeye ni Mwema na hivyo hii adhama ya Mwema inamfaya kuwa yeye ni Mungu, kutokana na Luka 18: 18-19. "Mungu Pekee ni Mwema".
Ni matumaini yangu kuwa leo hii umeweza kujua kwa undani maana ya "Mungu Pekee Ndiye Mwema" na Yesu alipo sema hayo alikuwa anamfahamisha yule kijana kuwa yeye ni Mungu na yule kijana hakukosea alipo muita MWALIMU MWEMA.
Copyright © Max Shimba Ministries 2013
MAX SHIMBA MINISTRIES ORG ©2013. ALL RIGHTS RESERVED
Everyone is permitted to copy and distribute verbatim copies of this license document, but changing it is not allowed

Friday, January 8, 2016

ALLAH ANAKIRI KATIKA QURAN KUWA BIBLIA YOTE NI MANENO YA MUNGU

KAMA KUNA MUISLAM ANABISHA, ANILETEE AYA KUTOKA QURAN INAYOSEMA KUWA BIBLIA SIO MANENO YA MUNGU.


Ndugu msomaji,

Bila ya kupoteza muda, tutaanza moja kwa moja kwa kusoma Surat Al Maida aya ya 46 iliyo teremka Madina. Na hii ni katika Sura zilizo shuka karibu na mwisho. Humu umebainishwa waajibu wa kutimiza maagano, sawa yakiwa baina ya mja na Mola wake Mlezi, au baina ya watu wenyewe kwa wenyewe.


ALLAH ANATEREMSHA AYA NA KUSEMA KUWA INJIL NI NURU NA INASADIKISHA TAURAT.
Surat Al Maida 46. Na tukawafuatishia hao Isa bin Maryamu kuyahakikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Taurati, na tukampa Injili iliyomo ndani yake uwongofu, na NURU NA INAYO SADIKISHA yaliyo kuwa kabla yake katika Taurati, na uwongofu na mawaidha kwa wachamungu.47. Na wahukumu Watu wa Injili kwa yale aliyo teremsha Mwenyezi Mungu ndani yake. Na wasio hukumu kwa yale aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu basi hao ndio wapotofu. Maelezo

Katika aya hapo juu, tunajifunza kuwa Injili ni NURU, na Biblia inasema kuwa YESU NI NURU YA ULIMWENGU. Allah anakiri kwa mdomo wake kuwa Injili ni Nuru na HAKUWAI SEMA KUWA Quran ni Nuru. ALLAH AMESHA ANZA KUKIRI KUWA BIBLIA NI NURU na haina shaka ndani yake.

KAMA KUNA MUISLAM ANABISHA, ANILETEE AYA KUTOKA QURAN INAYOSEMA KUWA BIBLIA SIO MANENO YA MUNGU.

Endelea kusoma


ALLAH ANATHIBITISHA KUWA BIBLIA HAINA SHAKA NA NI NENO LA MUNGU.
Surat Al Maida 48. Na tumekuteremshia wewe, kwa haki, Kitabu hichi kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Vitabu na kuyalinda. Basi hukumu baina yao kwa aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, wala usifuate matamanio yao ukaacha Haki iliyo kujia. Kila mmoja katika nyinyi tumemwekea sharia yake na njia yake. Na lau kuwa Mwenyezi Mungu angeli taka ange kufanyeni nyote umma mmoja, lakini ni kukujaribuni kwa aliyo kupeni. Basi shindaneni kwa mambo ya kheri. Kwa Mwenyezi Mungu ndio marejeo yenu nyote, na atakuja kuwaambieni yale mliyo kuwa mkikhitalifiana.

ALLAH katika Surat Al Maida aya ya 48 anaendelea kukiri kuwa KITABU-BIBLIA ni maneno ya Mungu na haina shaka ndani yake.


ALLAH ANAMWAMBIA MUHAMMAD katika Surat Yunus 94 KUWA, KAMA ANA SHAKA NAYE KUWA BIBLIA SIO MANENO YA MUNGU, BASI AWAULIZE WAKRISTO AMBAO WANASOMA "KITABU-BIBLIA".

HAPA ALLAH ANAHAKIKISHA NA KUTHIBITISHA KWA MUHAMMAD KUWA BIBLIA NI MANENO YA MUNGU.

Surat Yunus 94. Na ikiwa unayo shaka katika tuliyo kuteremshia, basi waulize wasomao Kitabu kabla yako. Kwa yakini imekwisha kujia Haki kutoka kwa Mola wako Mlezi. Basi usiwe miongoni mwa wenye shaka

Ndugu msomaji, unaona jinsi Allah anavyo KIRI KUWA BIBLIA NI MANENO YA MUNGU? Sasa kwanini Waislam wanabishana na Allah wao na Mtume wake kipenzi Muhammad kuwa Biblia sio maneo ya Mungu?

KAMA KUNA MUISLAM ANABISHA, ANILETEE AYA KUTOKA QURAN INAYOSEMA KUWA BIBLIA SIO MANENO YA MUNGU.


MTUME MUHAMMAD SASA ANAKIRI KUWA BIBLIA NI MANENO YA MUNGU NA ANAIAMINI.
Surat Ash Shuura 15. Basi kwa haya waite! Nawe simama sawa sawa kama ulivyo amrishwa, wala usiyafuate matamanio yao. Na sema: NAAMINI ALIYO TEREMSHA MWENYEZI MUNGU KATIKA VITABU. Na nimeamrishwa nifanye uadilifu baina yenu. Mwenyezi Mungu ni Mola wetu Mlezi, na Mola wenu Mlezi. Sisi tuna jukumu kwa vitendo vyetu, na nyinyi mna jukumu kwa vitendo vyenu. Hapana kuhojiana baina yetu na nyinyi. Na Mwenyezi Mungu atatukusanya pamoja, na marejeo ni kwake

Mtume Muhammad sasa anasadiki katika Biblia iliyo kuwepo kabla ya Quran na ansema hivi, nukuu: NAAMINI ALIYO TEREMSHA MWENYEZI MUNGU KATIKA VITABU

MASWALI:
1. Sasa kama Muhammad anaiamini Biblia, wewe Muislam, ni nani aliye kuroga na kusema kuwa Biblia imetiwa Mkono na sio maneno ya Mungu?

2. Kama Biblia imetiwa mkono, basi, NILETEE NAKALA YA BIBLIA ambayo haikutiwa MKONO ILI NA MIMI NISADIKI KAMA MUHAMMAD?


ALLAH NA MUHAMMAD WANAKIRI KUWA INJIL NI UWONGOFU NA NI NURU NA INAYO SADIKISHA
Surat Al Maida 46. Na tukawafuatishia hao Isa bin Maryamu kuyahakikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Taurati, na tukampa Injili iliyomo ndani yake uwongofu, na nuru na inayo sadikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Taurati, na uwongofu na mawaidha kwa wachamngu.

Waislam wengi wanadai kuwa Injil iliyo ndani ya Biblia imetiwa Mkono, INGAWA AHAWANA aya kusaidia hayo maneno zaidi ya hadith dhaif dhaif ambazo sio maneno ya Allah.

SASA BASI, kama kweli Injili ilitiwa MKONO, naomba mnijibu maswali yafuatayo.

1. Nileteeni Injili ambayo haijatiwa mkono iliyo teremshwa kabla ya Quran. Kumbuka mimi sina muda na aya za Quran kwasababu Quran sio BIBLIA - Mkusanyiko wa vitabu. Ipo wapi Injili iliyo teremshwa kabla ya Quran na inayo thibitisha Taurat?

2. Nileteeni Taurat ambayo haijatiwa mkono iliyo teremshwa kabla ya Quran. Kumbuka mimi sina muda na aya za Quran kwasababu Quran sio BIBLIA - Mkusanyiko wa vitabu. Ipo wapi Taurat iliyo teremshwa kabla ya Quran na inayo thibitishwa na Injili?

3. Nileteeni Zaburi ambayo haijatiwa mkono iliyo teremshwa kabla ya Quran. Kumbuka mimi sina muda na aya za Quran kwasababu Quran sio BIBLIA - Mkusanyiko wa vitabu. Ipo wapi Zaburi iliyo teremshwa kabla ya Quran na inayo thibitishwa na Injili?

WAISLAM, MKISHINDWA KUNIONYESHA WAPI ZILIPO INJILI, ZABURI, NA TAURAT zilizo teremshwa kabla ya Quran, basi kushindwa kwenu ni jibu tosha kuwa BIBLIA NI MANENO YA MUNGU NA IMEKAMILKA NA UWONGOFU KWA WALIO ONGOKA.

KAMA KUNA MUISLAM ANABISHA, BASI ANILETEE AYA KUTOKA QURAN INAYOSEMA KUWA BIBLIA SIO MANENO YA MUNGU.

Leo tumejifunza kutoka Quran na Allah na Muhammad kuwa BIBLIA NI MANENO YA MUNGU.

Max Shimba Ministries

Thursday, January 7, 2016

MUHAMMAD SIO MTUME KWASABABU HAKUWAI ONGEA NA MUNGU

Leo ningependa tujikumbushe mambo machache ambayo labda hatukuyatilia maanani. Mitume wote na manabii wote wa Biblia waliwai ongea na Mungu. Lakini, Mtume wa Allah "Muhammad" hakuwai ongea na Mungu HATA MARA MOJA. Je, utume wake tutauamini vipi maana hakuwai ongea na aliye mtuma?


Lakini Mitume wote wa Biblia waliongea na Mungu.
1. Musa anoangea na Mungu: Kutoka 3:1-21
2. Elia anaongea na Mungu: 1 Wafalme 19- Soma yote
3. Paulo anaongea na Mungu: Matendo ya Mitume 18:9Wagalatia 1:1 Paulo, mtume, si mtume wa wanadamu aliyetumwa na mwanadamu, bali na Yesu Kristo na Mungu Baba aliyemfufua Yesu kutoka kwa wafu

Biblia ipo wazi kabisaa, kuwa Paulo alitumwa na Mungu, wakati Muhammad alitumwa na Jibril ambaye si Mungu. Koran inakiri kuwa Muhammad alikutana na Jibril na hakuwai kukutana na au ongea na Mungu hata mara moja. Lakini tunasoma katika Biblia kuwa, Paulo alipewa utume na Mungu mwenyewee.

Warumi 1:1 Paulo, mtumishi wa Kristo Yesu, ALIYEITWA KUWA MTUME na kutengwa kwa ajili ya Injili ya Mungu.

Hiyo ni mifano michache kutoka Biblia.

Kama Muhammad alikuwa Mtume wa Mungu, kwanini hakuongea na Mungu aliye Mtuma? Maana ya neno Mtume kwa kifupi: Ni Mtu aliye tumwa.


HEBU TUANGALIE, HUYU MUHAMMAD ALIZALIWAJE?
1.KUZALIWA KWAKE,
Abu Huraira (r.a) amesimulia kuwa "Mtume Muhammad (s.a.w) alikuwa na shetani tangu alipozaliwa, (Fat'hul Baary Juzuu ya 6 Uk. 389).

Je, kuna ushahid wowote ule kuwa Muhammad alitolewa Shetani? Kama upo Basi Waislam, tuleteeni tuuone.

2.BAADA YA KUTOKA PANGONI,
Basi Mtume akafanya khofu, akarejea kwa mkewe, akamhadithia, na pale pale homa kubwa kabisa, ikampanda, akataka afunikwe maguo, akawa anatetemeka kwa ngerema, na kuweweseka, na kusema, "Najikhofia nafsi yangu, kuchezewa na mashetani, na kuniharibu akili yangu na kunizuga"(Kitabu cha maisha ya Nabii Muhamaad s.a,uk.17 kilichoandikwa na Sheiky A.Farsy).

KUFUATANA KITABU CHA MAISHA YA NABII MUHAMMAD, tunajifunza kuwa Muhammad kwa mara ya kwanza kabisa alipata utume wake pangoni baada ya NAFSI YAKE KUCHEZEWA NA MASHETANI.

MASWALI:
(i). Kama Jibril ndie alitumwa na Allah, na huyo Allah ni Mungu, kwanini Muhammad alisema kuwa nafsi yake imechezewa na MASHETANI baada ya kukutana na Jibril?
(ii). Kama Jibril alitoka kwa Allah, kwanini Muhammad alipo toka pangoni alisema kuwa Jibril AMEMZUGA AKILI YAKE?


3.KUROGWA KWAKE,
Amesema Mwanaisha Mkewe Mtume kuwa "Yahudi Mmoja aitwaye Labiid bin Al'answan alimroga Mtume Muhammad, ikawa Mtume baadhi ya Nyakati huchanganyikiwa na kuanza kuita Ovyo ovyo na kupiga makelele. (Sahih Muslim J. 4 uk. 38-39)


MASWALI:
(a) Hivi, kuna Mtume au Nabii yeyote yule ambaye alikiri kurogwa?
(b) Hivi Allah alikuwa wapi wakati Muhammad anarogwa?
(c) Wapi tunasoma kuwa Muhammad aliombewa na kutoa huo uchawi/urogi aliofanyiwa na Labiid bin Al'answan?

YAANI INA MAANA MUNGU ALIKOSA MTU WA KUTUMA MPAKA ATUME MTU ALIYECHEWA NA MASHETANI KAMA HUYU?

Ndugu msomaji,

Muhammad hakuwa Mtume wa Mungu na wala hana sifa za KITUME.
1. Muhammad hakuwai ongea na Allah aliye mtuma.
2. Muhammad alikuwa na Shetani tokea kuzaliwa kwake.
3. Muhammad alikiri kuchezewa na Shetani wakati wa kusimikwa utume wake Pangoni.
4. Muhammad alikiri kuwa Shetani amechezea akili na nafsi yake.
5. Muhammad alikiri kuwa alirogwa na Labiid bin Al'answan.

SASA WAISLAM, NIONYESHENI, wapi kwenye Taurat, au Zaburi au Injili kama kuna Mtume aliye na sifa za ajabu kama za Muhammad.

Karibuni kwa Yesu ambaye ndie Njia Pekee ya Kwenda Mbinguni.

Max Shimba Ministries

Wednesday, January 6, 2016

ALLAH ATEREMSHA AYA NA KUSEMA KUWA MASINAGOGI SIO MISIKITI

Ndugu msomaji,
Leo nataka nimalize NGEBE ZOTE za Waislam ambazo zinalazimisha kuwa eti Masinagogi ni Misikiti.

Katika Suratul Hajj aya ya 40 iliyo teremshwa na Allah huko Madina na kutafsiriwa na Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani ( alie fanya tarjuma).
Andiko hili linataja majina ya majengo mbalimbali ya ibada ikiwemo na Sinagogi kwenye tafsiri ya Qur-an ya Kiswahili ya Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani.
Suratul Hajj 40. Wale ambao wametolewa majumbani mwao pasipo haki, ila kwa kuwa wanasema: Mola wetu Mlezi ni Mwenyezi Mungu! Na lau kuwa Mwenyezi Mungu hawakingi watu kwa watu, basi hapana shaka zingeli vunjwa nyumba za wat'awa, na Makanisa, na MASINAGOGI, na misikiti, ambamo ndani yake jina la Mwenyezi Mungu linatajwa kwa wingi. Na bila ya shaka Mwenyezi Mungu humsaidia yule anaye msaidia Yeye. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu Mtukufu. Maelezo
SASA MADA INAANZIA HAPA:
1. Kama kweli Masinagogi ni Misikiti ya Wayahahudi, kwanini Allah ameyatofautisha hayo majengo kimajina, "Masinagogi na Misikiti" kwenye hii aya?
2. Kama Masinagogi ni Misikiti ya Wayahudi, kwanini Allah asinge sema Nyumba za Watawala za Wayahudi ni Misikiti, LAKINI akaziita Masinagogi.
3. Je Sinagogi laweza kuwa ni Msikiti katika uasili wa lugha?
4. Ikiwa kuingia tu kwenye Sinagogi kulimaanisha Yesu ni Muislam, je Paulo naye kwa tendo hilo lakuingia humo alikuwa Muislam?
5. Je, Paulo kuingia kwenye Sinagogi alikuwa anaingia kwenye Misikiti?
6. Kama Masinagogi ni Misikiti, kwanini kwenye Masinagogi kuna viti na kwenye Misikiti hakuna viti?
7. Kama Masinagogi ni Misikiti, kwanini kwenye Masinagogi hakuna maji ya kutawadha kama kwenye Misikiti?
8. Kama Masinagogi ni Misikiti, kwanini Masinagogi hayaangalii Makka kama Misikiti?

9. Kumbe Misikiti ni Masinagogi ya Waislam.

10. Mwislam ni mtu wa ajabu sana, anakubali kuwa Masinagogi ni Misikiti ya Wayahudi lakini atakataa kuwa Misikiti ni Masinagogi ya Waislam.
Ndugu Waislam, tafadhali jibuni kwa aya. Hoja ujibiwa kwa hoja.
Max Shimba Ministries

Tuesday, January 5, 2016

SINAGOGI SIO MSIKITI


SEHEMU YA KWANZA
Tunazidi kuchambua HOJA ZA MIHADHARA ya Kiislamu
LEO TUANGALIE SINAGOGI!!
Kwa miaka mingi afrika mashariki na kati kunakosemwa kiswahili kumetokea mafundisho ambayo ni mapotofu sana ya kukejeli, na lengo lao hasa ni kuangusha mwili wa Yesu kristo (kanisa) na mafundisho yake. Na kupitia mafundisho hayo wengi wameacha imani iliyo ya kweli nakufuata imani zingine ambazo mwisho wao ni mauti. Na hawa siyo wengine bali ni wahadhiri wakiislamu. Wao hudai kuwa wanafuata mafundisho ya Bwana Yesu. Unukuu aya hii mathayo 11:29-30 pale Yesu alisema jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo nanyi mtapa raha nafsini mwenu; kwa maana nira yangu ni laini na mzigo wangu ni mwepesi.
Pia wanasema Yesu aliingia kwenye sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake siku ya Sabato luka 4:16.kupitia kwa tendo hili la Yesu kwingia kwenye sinagogi , wahadhiri hawa wanadhai jambo ili linamfanya Yesu kuitwa muislamu. Tafadhali ndugu yangu ukitaka kujua ukweli fuatilia somo hili hadi tamati.. hii ni sehemu ya kwanza. Biblia ya Kiswahili katika maneno magumu imetaja kuwa Sinagogi ni msikiti wa Kiyahudu. hapa majamaa wanakesha!!
Historia ya sinagogi:
Ukitaka kujua mtu Fulani ni lazima uangazie mambo kadha wakadha ikiwemo historia yake, pasina historia ni vigumu watu kufahamu mambo yaliyofichika. Hivyo nimeonelea kuwa ni bora sana kuangazia historia ya sinagogi na chanzo chake. Jambo la msingi kwanza ni kujua maana ya sinagogi. Neno hili Sinagogi maana yake ni mahali pa watu kukutania. Sinagogi lilianzia pale wana wa Israeli walipokuwa utumwani kule Babeli kwa miaka sabini kulinga na unabii wa nabii Jeremia,jeremia 25:11-13.
baadaye nitaeleza tofauti ya Sinagogi na Hekalu.
Sababu ya wayahudi kuanzisha sinagogi ni hizi.
• kule utumwani hawengeweza kurudi kule Yerusalemu ambapo palikuwa na hekalu kwa minajili ya mambo ya ibaada. Kwa hivyo Wayahudi walitafuta jinzi ya kuendelesha ibaada na miandamo ya sikukuu zao.
• Kuendelesha utamaduni wao kama vile kutahiri mtoto wa kiume akiwa na siku nane kulingana na amri ya Mungu mwanzo 17:9-12
• Ili kuzingatia sheria za Mungu kufundishana habari za torati na manabii.
Uongozi
Sinagogi lilikuwa likianzishwa na wazee wapatao saba au kumu wa kiyahudi, kila sinagogi lilikuwa na viongozi wapatao wawili au zaidi. Na vyongozi hao huchaguliwa na wazee wa sinagogi. Katika karne ya agano jipya kulikuwepo masinagogi mengi sana yapatao 480 ambazo zilikuwa zikiingiwa na watu wa wamataifa mbalimbali ambao walikubali kufuata taratibu zote za dini ya kiyahudi.
Kazi ya sinagogi:
Malengo makubwa ya sinagogi yalikuwa kujikumbusha sheria na pia kuangalia utamaduni wao. Tusomapo Biblia na kuichunguza tunaona mambo yafuatayo;
Malaki 4:4
Ikumbukeni torati ya Musa, mtumishi wangu, niliomwamuru huko Horebu kwa ajili ya watu wangu Israeli wote naam, amri ya hukumu.
Mathayo 5:17
Yesu alifundisha hivi:- Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii la sikuja kutangua, bali kutimiliza
Hivyo basi kwa habari za torati na manabii wayahudi walikuwa wakifundisha watoto wao kwenye sinagogi. Matendo 15:21. kwa maana tangu zamani za kale Musa anao watu wahubirio mambo yake; katika kila mji husomwa kila sabato katika masinagogi.

SINAGOGI SIO MSIKITI

TUNAZIDI KUCHAMBUA HOJA ZA MIHADHARA ya Kiislamu
LEO TUANGALIE SINAGOGI!! Sehemu ya pili
Kama tulivyosema Neno SInagogi linatokana na Kigiriki συναγωγή sinagoge likimaanisha "mkutano"; ni tafsiri ya Kiebrania בית כנסת beit knesset yaani "nyumba ya mkutano".

Wayahudi hutumia pia neno la Kiyiddish "shul" (=shule) kutajia sinagogi.
Katika lugha ya kiebrania neno “ beit ” linamaana “ nyumba” ndio maana hata ukisoma bethsaida “ Nyumba ya mvuvi” au bethsania-Nyumba ya masikini. Bethlehemu, nyumba ya mkate. (Soma injili imetajwa sana majina haya )

Katika Israeli ya Kale (kabla ya maangamizi ya Yerusalemu mwaka 587 KK) inaonekana hakukuwa na sinagogi: walau halitajwi kabisa katika Agano la Kale.

Inaonekana ya kwamba masinagogi yalianzishwa baada ya hekalu ya Yerusalemu kubomolewa pamoja na kuanza uhamisho wa Wayahudi kwenda nchi mbalimbali.

Tangu kuharibiwa kwa Hekalu la Pili mwaka 70 Wayahudi wana masinagogi tu kufanyia ibada.
Neno hilo limetumiwa katika maana hiyo ya mukutano kwenye Septuajinti, yaani, tafsiri ya Kigiriki ya Maandiko ya Kiebrania. Lakini, baada ya muda neno hilo lilitumiwa kurejelea jengo ambapo watu walikutana kuabudu. Kufikia karne ya kwanza W.K., karibu kila mji ambao Yesu alitembelea ulikuwa na sinagogi; majiji yalikuwa na masinagogi kadhaa; jiji la Yerusalemu lilikuwa na masinagogi mengi.
Ukumbi wa sala huwa na sehemu zifuatazo:

• sanduku la Torati ni kabati au sanduku ambako hati za kuviringisha zenye mwandiko wa Biblia ya Kiebrania hutunzwa;
• taa inayoendelea kuwaka muda wote;
• meza ya msomaji ambako hati za torati hufunguliwa na kusomwa;
• mimbari ya mafundisho;
• kinara cha menorah chenye mishumaa 7 au 9.
Karibu na sanduku hilo, kulikuwa na viti vya mbele vilivyopangwa kuelekea kutaniko, navyo vilikaliwa na maofisa-wasimamizi wa sinagogi pamoja na wageni wowote waheshimiwa. (Mathayo 23:5, 6)
Hii ni tofauti ni Misikiti ya kiislamu isiyokuwa na Viti
Karibu na eneo la katikati la sinagogi palikuwa na jukwaa lililokuwa na kinara na kiti cha msemaji . Kwenye upande wa mbele, wa kushoto, na wa kulia wa jukwaa hilo, kulikuwa na viti vya washiriki wa kutaniko .
• Kwa kawaida, gharama za kuendesha shughuli za sinagogi zililipiwa na kutaniko. Michango ya hiari iliyotolewa na wote, matajiri kwa maskini, ilitumiwa kurekebisha na kudumisha jengo hilo
Bwana Yesu alipenda sana kufundisha kwenye hekalu na katika masinagogi walimokusanyika wayahudi.

“Sikuzote nilifundisha katika sinagogi na katika hekalu, ambapo Wayahudi wote hukusanyika.”—Yohana 18:20.

Hekalu katika Jerusalemu ( hekalu katika Uyahudi )
Kulikuwa na mahekalu mawili yaliyojengwa katika nyakati tofauti tofauti na watu tofauti tofauti ndani ya Yerusalemu.

Hekalu la kwanza lilijengwa na mtoto wa mfalme Daudi,Mfalme Suleimani. Lilijengwa mnamo mwaka 957 KK.

Hekalu hili likabomolewa na mfalme Nebukadreza II mnamo 586 KK.
Hekalu la pili,

An Academic Critique of Internal Contradictions in the Quran with Reference to Eschatological Descriptions of Hell’s Sustenance

  Title: An Academic Critique of Internal Contradictions in the Quran with Reference to Eschatological Descriptions of Hell’s Sustenance Au...

TRENDING NOW