Friday, January 5, 2018

MBUZI ALIKULA SEHEMU YA QURAN ALIYOSHUSHA NA ALLAH KIUMBE


NANI ANASTAHILI ADHABU YA ALLAH?
MBUZI ALIKULA SEHEMU YA QURAN ALIYOSHUSHA NA ALLAH KIUMBE
Imesimuliwa na Aisha: “Aya ya kupiga kwa mawe na kunyonyesha mtu mzima mara kumi ilishushwa na iliandikwa kwenye karatasi na kuwekwa chini ya mto wa kitanda. Mtume wa Allah alipokufa na tulikuwa tukishughulika na kifo chake, Mbuzi akaingia na kula ile karatasi.” (Sunan Ibn Majah, Hadith 1944)
Kwa kosa alilotenda Mbuzi kwa kutafuna ujumbe wake Allah kwa Waislamu, angefaa adhabu ya Allah. Lakini sivyo, yeye anapendwa sana na huchinjwa na hufanywa kama kitoweo kwenye sherehe mbali mbali za wafuasi wa Mohammad.
Cha kushangaza, Nguruwe asiye na kosa lolote, anachukiwa sana na Waislamu. Lakini njaa kali inapomtafuna Muislamu hadi kukaribia kufa, Allah anamwamuru ale nguruwe kuinusuru nafsi yake na mauti ya njaa QUR'AN (Al-Baqara 2:173). Hivyo nguruwe humfaa Muislamu kwa dhiki! Wakati huo mbuzi aliyekula kuran hayupo!
Sasa niambie; KATI YA NGURUWE NA MBUZI NANI BORA?
KUMBE MUHAMMAD ALIKULA NYAMA YA NGURUWE
Hadith imesimuliwa na Al Tabar na kupokewa na Ibn Ali Bakouri. Nabii wa Allah na Maswahiba wake walikuwa wamechoka na safari ndefu. Wakafika Nyumbani kwa Fatimah rafiki wa Swahiba wake. Nabii wa Allah akauliza je unachakula chochote? Fatimah akajibu ndio. Nabii wa Allah akauliza tena una mawindo yeyote. Fatimah ajibu nina myama ya Nguruwe pori. Basi Nabii wa Allah na Maswahiba wake walikula Ngama ya Nguruwe pori mpaka wakashiba. Al Kitaab Uk wa 136 Hadith ya 41 Toleo la Tatu.
KUMBE MUHAMMAD ALIKULA NYAMA YA NGURUWE PORI.
Shalom,

No comments:

FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE

  **URGENT UPDATE**   **FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE** Shimba TV, New York has received distressing news ...

TRENDING NOW