Thursday, December 14, 2017

MMILIKI WA YERUSALEM NI ISRAEL NA SIO PALESTINA

Image may contain: one or more people and text
Israeli ni jina la watu au taifa walioitwa taifa teule katika Tanakh au Biblia ya Kiebrania (kwa hiyo pia katika Agano la Kale lililo sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo.
Kihistoria waliishi katika nchi iliyoitwa Kanaani, halafu Israeli kuanzia mnamo 1200 KK hadi mnamo mwaka 70 BK Waroma wa Kale walipovamia na kuharibu Yerusalemu, ambao tena mwaka 135 waliwafukuza wote kutoka nchi yao.
Wenyeji walijiita mwanzoni Wanaisraeli na baadaye pia Wayahudi.
Historia ya Israeli ya Kale inaanza tangu kupatikana kwa taifa hilo katika nchi yake inayoitwa Israeli. Kufuatana na Torat kwenye Agano la Kale taifa la Israeli lilianzishwa na Wanaisraeli waliotoka Misri chini ya uongozi wa Musa na kuvamia Kanaani mnamo mwaka 1200 KK chini ya Yoshua.
Muungano huo wa vikundi na makabila ukawa taifa na kuunda ufalme wa kwanza wa Israeli wakati wa mfalme Sauli aliyefuatwa na Daudi na mwanae Suleimani.
Baada ya kifo cha Suleimani likatokea farakano na jina la "Israeli" likatumiwa na ufalme wa kaskazini, wakati mji mkuu wa kale Yerusalemu ukaendelea kama mji mkuu wa ufalme wa Yuda.
Wakati wa Agano Jipya, mji wa Yerusalemu, pamoja na nchi ya Israeli, vilikuwa chini ya Dola la Roma, ambalo lilitawala maeneo yote yanayozunguka bahari ya Mediteranea. Mkuu wa Dola alikuwa na cheo cha "Kaisari" akikaa mjini Roma (Italia).
Waroma walidai utiifu na kodi za mataifa na makabila yote yaliyokuwa chini yao. Lakini hawakuwa na neno juu ya utamaduni na dini za nchi hizo.
Utawala wa Kiroma ulirahisisha biashara na uchumi pamoja na mawasiliano katika maeneo haya yote. Waroma hawakuwa na mitambo ya injini lakini walikuwa wataalamu wa uhandisi. Walikuwa hodari sana kujenga barabara na nyumba za ghorofa. Majengo kadhaa waliyoyajenga husimama mpaka leo. Magofu ya miji yao yanaonekana leo hii kuanzia Misri na Algeria hadi Ujerumani na Asia. Wasanii wao walichonga sanamu za mawe za kudumu.
Israeli ilikuwa na serikali yake ya Kiyahudi lakini pia na liwali au gavana wa Kiroma. Waroma walizima kwa ukali majaribio yote ya kupindua utawala wao. Wayahudi katika Israeli walijaribu mara mbili kuwafukuza Waroma nchini: miaka 66-73 na 135 BK. Kila safari Waroma walilipiza kisasi, wakichoma moto miji na vijiji na kuwafanya wananchi kuwa watumwa au kuwaua kabisa.
ALLAH ANASEMA KWA WAYAHUDI KUWA ARDHI YA ISRAEL IMETAKASWA NA IMEANDALIWA KWA AJILI YAO:
Allah (s.w.t.) amesema: Enyi watu wangu! Ingieni katika hiyo ardhi iliyotakaswa ambayo Allah amekuandikieni. Wala msirudi nyuma, msije mkawa wenye kukhasirika.(5:21)
Katika aya hapo juu, Allah anawaita Wayahudi kupitia Musa "WATU WANGU" zaidi ya hapo anawaambia kuwa Waende Israel kwenye ARDHI ILIYOTAKASWA, kumbe ata Allah anafahamu kuwa ardhi ya Israeli si ya Wapalestina.
Sources:
Biblical History The Jewish History Resource Center - Project of the Dinur Center for Research in Jewish History, The Hebrew University of Jerusalem
Catholic Encyclopedia: Jerusalem (Before A.D. 71)
Holy land Maps
Shalom
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu.

KUTA ZA YERUSALEM ZILIJENGWA NA WAISRAEL

Image may contain: night, sky and outdoor
ANGALIA kazi inayofanywa hapa. Waisraeli wanajenga kuta za Yerusalemu. Mfalme Nebukadreza alipoharibu Yerusalemu miaka 152 iliyopita, aliangusha kuta na kuchoma malango ya mji.
Unamjua Nehemia?
Nehemia ni Mwisraeli kutoka mji wa Shu′shani, wanaokaa Mordekai na Esta. Nehemia alifanya kazi katika jumba la mfalme. Labda alikuwa rafiki mzuri wa Mordekai na Malkia Esta. Lakini Biblia haisemi Nehemia alimtumikia Mfalme A·has·u·e′ro, mume wa Esta. Alimtumikia Mfalme Ar·ta·ksase, aliyefuata.
Kumbuka, Ar·ta·ksase ni mfalme yule mzuri aliyempa Ezra fedha apeleke Yerusalemu kwenda kutengeneza hekalu la Yehova. Lakini Ezra hakujenga kuta za mji zilizobomoka. Na tuone ilivyokuwa hata Nehemia akafanya kazi hiyo.
Imekuwa miaka 13 tangu Ar·ta·ksase alipompa Ezra fedha za kutengeneza hekalu. Nehemia sasa ni mnyweshaji wa Mfalme Ar·ta·ksase. Maana yake anamnywesha mfalme divai, na kuona kwamba hakuna mtu anayejaribu kumpa mfalme sumu. Hiyo ni kazi ya maana sana.
Basi, siku moja Hanani ndugu ya Nehemia na watu wengine kutoka nchi ya Israeli wanakuja kumtembelea Nehemia. Wanamwambia habari ya kutaabika kwa Waisraeli, na namna kuta za Yerusalemu zingali zimebomoka. Nehemia anahuzunika sana, naye amwomba Yehova juu ya hilo.
Siku moja mfalme anaona kwamba Nehemia ana huzuni, anauliza: ‘Sababu gani una huzuni?’ Nehemia anasema Yerusalemu umeharibika sana na kuta zimebomoka. ‘Wataka nini?’ mfalme auliza.
Nehemia akisimamia kazi ya ujenzi
‘Unipe ruhusa niende Yerusalemu,’ Nehemia asema, ‘nikajenge upya kuta hizo.’ Mfalme Ar·ta·ksase ni mwema sana. Akubali Nehemia aende, kisha amsaidia kupata mbao za kujengea. Mara Nehemia akiisha kufika Yerusalemu, anawaambia watu mipango yake. Wanapenda wazo hilo, na kusema: ‘Na tuanze kujenga.’

Adui za Waisraeli wanapoona ukuta unafika juu, wanasema: ‘Tutakwenda kuwaua, na kuzuia ujenzi.’ Lakini Nehemia anasikia habari hiyo, kisha awapa wafanya kazi panga na mikuki. Ndipo awaamgia hivi: ‘Msiogope adui zenu. Piganieni ndugu zenu, watoto wenu, wake zenu, na nyumba zenu.’
Watu wanakuwa hodari sana. Wanaziweka silaha zao tayari mchana na usiku, wanaendelea kujenga. Basi kwa muda wa siku 52 tu kuta zinamalizika. Sasa watu wanajisikia salama ndani ya mji. Nehemia na Ezra wawafundisha watu sheria ya Mungu, ana watu wafurahi.
Lakini mambo hayako namna yalivyokuwa kabla Waisraeli hawajapelekwa Babeli wakiwa wafungwa. Watu wanatawalwa na mfalme wa Ajemi na yawapasa wamtumikie. Lakini Yehova Mungu Mkuu ameahidi kutuma mfalme mpya, na mfalme huyo ataletea watu amani. Ni mfalme gani huyo? Ataletea dunia amani namna gani? Miaka 450 yapita kabla ya kupata habari zaidi. Halafu mtoto wa maana sana azaliwa. Lakini hiyo ni hadithi nyingine.
Nehemia sura za 1 mpaka 6.
USIKOSE SOMA LA MILANGO KUMI YA KUTA ZA YERUSALEM
Shalom
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo

MALANGO KUMI YA UKUTA WA YERUSALEMU


Nehemia 1: 3, "Wakaniambia, watu wa uhamisho, waliosalia huko katika wilaya ile, wamo katika hali ya dhiki nyingi na mashutumu; tena ukuta wa Yerusalemu umebomolewa, na malango yake yameteketezwa kwa moto.

Kuonyesha namna Nehemia aliporudi Yerusalemu alivyowaandaa watu kujenga tena kuta zake na milango. Mungu hakuwasahau watu wake kamwe. Hata ingawaje wana wa Israeli mara nyingi walimsahau yeye, bali Mungu kamwe hakusahau Israeli, kwamba ni wakati walikupotwaliwa mateka katika nchi ya mbali; au wapo katika kona nne za dunia walikotawanyikia kama ilivyo leo. 

Kama ilivyo katika miili yetu tunayo milango 5 macho, masikio, ngozi, pua, tunapaswa kuyawekea ulinzi katika maisha yetu.kanisa nalo linayo milango yake ambayo pia tunapaswa kuuilinda kwa ajiri ya utumishi wetu kama ilivyo kuwa kwenye kuta zilizojengwa na nehemia wakati wake. Akaweka malango kumi katika ukuta wa Yerusalemu.ambayo huzungumzia injiri/mpango wa Mungu/kazi ya Yesu ya wokovu kwa ajiri ya waamini.

Nehemia 6:. 15-16, "Basi huo ukuta ukamalizika siku ya ishirini na tano ya mwezi wa Eluli, katika muda wa siku hamsini na mbili. Ikawa adui zetu wote waliposikia, ndipo makafiri wote waliotuzunguka wakaogopa, nao wakakata tama sana machoni pao wenyewe; maana waliitambua kazi hiyo ilivyotendwa na Mungu wetu. 


1) Lango la Kondoo. ( Nehemia 3:1-2)

Lango hili lilikuwa kwa ajiri ya kupitisha kondoo au wanyama kwa ajiri ya sadaka au dhabihu. lango hili hudhihirisha hali halisi ya kujitoa kuwa sadaka ya dhambi za watu wote ulimwenguni. Leo nilazima sisi tulio okoka, viongozi na makuhani kusimama kama kielelezo cha vitendo kwa kazi ya Bwana. Tuwavute watu wengi weze kuingia kwenye ufalme huu. Wakati mtu anaokoka hupitia lango hili. Yohana14:6,;10:7 na Matendo 4:12


2) Lango la Samaki. (Nehemia 3:3-5)

Lango hili lili tumika kupitishia samaki ndani ya mji kutoka Bahari kuu na kutoka kwenye mto Yordani. Hili hutufundisha jisi ya kufanyika kuwa wavuvi wa watu kwa kila mteule. Hutupa shauku ya jinsi ya kumtumikia Mungu kwa kumzalia matunda kwa uaminifu. Tusilale uvuvi upona unaendelea. Mathayo 4:19


3) Lango la kale (Nehemia 3:6-12).

Hili ndilo lango la kwanza kujengwa tangu zamani. Ni vyema kuzirejea njia na mapityo ya zamani ya imani na nguvu za Mungu.Mwanzoni tulipo anza tusiwe na enzi zetu.watu hawana tofauti hawawezi kupima. Yeremia 6:16,Yuda 1:3 na Mathayo 11:28-30.


4) Lango la Bondeni (Nehemia 3:13) 

Ni lango ambalo watu walipitia kwenda kwenye bonde la wana wa Hinomu. Bonde kwa maana ya kushuka chini.Lango hili huzungumzia unyenyekevu. Filipi 2:5-8.


5) Lango la jaa (takataka) Nehemia 3:14

Lango hili watu walilitumia kwenda kutupa takata za mji. Takataka zilipoteketezwa moto wake haukuzimika. Na waharifu walitupwa ndani ya moto usiozimika.Lango hili hutukumbusha juu ya msamaha,kujitakasa,kuvua utu wa kale na kutotenda dhambi tena. 1 Yohana 1:1:9;3:3; na Wafilipi 3:8,9. Tulikuwa kama takataka tukasafishwa kwa moto usiozima.


6) Lango la Chemichemi. (Nehemia 3:15-25)

Lango hili huzungumzia mwamini jinsi anayotakiwa kububujika na kujaa Roho Mtakatifuili kusudi tuishi tuenende na kuongozwa na Roho Mtakatifu. Wagalatia 5:18,25 na Yohana 7:37-39.


7) Lango la maji. (Nehemia 3:26-27)

Lango hili lilitumika kuleta maji ndani ya mji.lango hili huzungumzia Roho mtakatifu na Neno la Mungu lililo hai ambalo ndilo hutusafisha ,linaloponya na kutuokoa. Yohana 3:3- 6, Petro 1:23, Yohana 17:17


8) Lango la Farasi. (Nehemia 3:28)

Farasi ni wanyama waliokuwa wakiendeshwa na maaskari (Zekaria 1:8) Farasi huzungumzia vita au nguvu ya kupigana. Farasi wengi wa kivita walipitia lango hili. Lango hili hutukumbusha vita vya kiroho vinavyolikabili kanisa au wateule. 2 Korintho 10:3-5; Efeso 6:10-18; 2Timothy 2:3


9) Lango la mashariki (Nehemia 3:29-30)

Hili ndilo lango ambalo lilikuwa linafunguliwa asubuhi mapema sana.Kwa sasa lango hili bado limefungwa tangu Yesu alipo paa kwani alipitia katika lango hili. Lango hili linakumbusha mambo mawili. kwamba Yesu atarudi mala ya pili wima huo huo wa mashariki na tujitayarishe. (Zekaria 14:4 na Ezekieli 43:2). Pili ni kutukumbusha jinsi utukufu ulivyo ondoka kwa wayahudi Ezekieli 10:18-19


10) Lango la Gereza (Inspection gate) Nehemia 3:31-32

Lango hili Daudi alilitumia kukagua, kutathini na kujipanga upya maaslari wake walipo kuwa vitani. Pia aliwashukuru maaskari wake kwa utii unyofu na uaminifu wa kipekee. Pale kwenye gate lile kulikuwa na kukaguliwa unachunguzwa kwamba ukikutwa na hatia unafanywa nini unahukumiwa. Lango hili huzungumzia hukumu ya wateule katika kiti cha hukumu cha Kristo. Mbinguni hatutaingia hivihivi lazima kukaguliwa kama tumebeba mambo ya hatari. hivyo tukazane 2 Korinthion 5:10


Mambo yakafanyika kuwa kivuli na mwelekeo wa maisha yetu ya kiroho ili tuwe salama. Kazi kubwa ambayo Mungu alikuwa amemuitia akayafanya kwa uaminifu na hatari na hasara zote zilizokuwepo kabla ya ukuta kumalizika Mungu akawaponya nazo.

Kwa hiyo kwa kupitia habari ya ujenzi wa ukuta wa yerusalemu ambao ulikuwa umevujwa tumejifunza mambo mengi ya msingi yahusuyo injiri, wokovu, mpango wa Mungu na maisha kamili ya mkristo ndani ya wokovu.

Shalom

Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu

Tuesday, December 12, 2017

JE, UISLAM UNAHUSIANA VIPI NA NAMBA 666?



Neno “mpinga-Kristo,” linalotokana na neno ya Kigiriki linalomaanisha “dhidi ya (au badala ya) Kristo,” linafafanua mtu yeyote anayefanya mambo yafuatayo:

Anakataa kwamba Yesu ndiye Kristo (Masihi) au anakataa kwamba yeye ni Mwana wa Mungu.—1 Yohana 2:22.

Anampinga Kristo, Mtiwa-Mafuta wa Mungu.—Zaburi 2:1, 2; Luka 11:23.

Anajifanya kuwa Kristo.—Mathayo 24:24.

Anawatesa wafuasi wa Kristo, kwa kuwa Yesu huona mambo wanayotendewa kana kwamba ni yeye anayetendewa.—Matendo 9:5.

Anadai kwa uwongo kuwa Mkristo huku akitenda matendo ya uasi-sheria au ya udanganyifu.—Mathayo 7:22, 23; 2 Wakorintho 11:13.

Wamebadili jina la Yesu Kristo na kumuita Isa bin Maryam. Jina ambalo sio tafsir ya Yesu kwa Kiarabu. Yesu kwa Kiarabu ni Yasu.

Jinsi ya kuwatambua wapinga-Kristo:

Wanaeneza mawazo ya uwongo kumhusu Yesu. (Mathayo 24:9, 11)

Wanasema kwamba Yesu ni Bwana wao, lakini hawatii amri zake, kutia ndani amri ya kuhubiri habari njema ya Ufalme.—Mathayo 28:19, 20; Luka 6:46; Matendo 10:42.


SASA TUUANGALIE UISLAM:

Uislam umejengeka kupitia kitabu change kiongozi ambacho ni qruani. Kitabu hiki kina jumla ya sura 114 na maneno 6666! Kumbuka hesabu ya mpinga kristo ni 666! Sasa hapa ili shetani asijidhihishe wazi kwa Kuwa aliona Yesu amefunua siri hii kwa ulimwengu. Akaamua kuongeza sita moja nyuma ya mia sita sitini na sita.

Kwa nini Bwana Yesu anatoa onyo lifuatalo? Na mwingine, malaika wa tatu, akafuata, akisema kwa sauti kuu, Mtu awaye yote akimsujudu huyo mnyama na sanamu yake, na kuipokea chapa katika kipaji cha uso wake, au katika mkono wake, yeye naye atakunywa katika mvinyo ya ghadhabu ya Mungu iliyotengenezwa pasipo kuchanganywa na maji, katika kikombe cha hasira yake; naye atateswa kwa moto na kiberiti mbele ya malaika watakatifu, na mbele za Mwana- Kondoo. (Ufunuo 14:9-10).

Lakini hii haitoshi, moja ya dalili kubwa kabisa za mpinga kristo ni kuwaua na kuwafunga gerezani wafuasi wa YESU.

Qruan imeagiza kwamba kama mtu ni mwislam kisha akaamua kuuacha Islam, mtu huyo auawe maana amekuwa kafiri!

Tumeona mara kwa mara waislamu wakitekeleza mauaji na uharibifu wa mali za wakristo, wakichoma moto mahekalu. Mfano:Tumeona wakichoma moto makanisa hapa kwetu dar es salaam na sehem zingine.

Kwa sura hii moja kwa moja uislamu ndiye mpinga kristo.!

Hivi umewahi kujiuliza ni kwanini hawachomi moto nyumba za waganga wa kienyeji, lakini wanashughulika na wakristo tu! Ni kwa sababu misheni ya mpinga kristo sio kuwasumbua watu ambao wako chin ya shetani, Bali ni kuwataabisha wafuasi wa YESU na kuhakikisha hawaendelei kuwepo duniani.

Rafiki, tuko katika dunia ya shida. Na hizi ni nyakati za mwisho, kaza mwendo ukimtazama Bwana maana siku zetu hazikawii kuisha. Mungu akupe nguvu za kuweza kushindana siku ya uovu kwa Jina la YESU.

Shalom

Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu

Friday, December 8, 2017

MUHAMMAD ALIFIA KIFUANI KWA AISHA

Mwana Historia ibn Ishaq - aliyefariki mwaka 767/773 BK, 145/151 BH

"Yahya b. Abbad b. Abdullah b. al-Zubayr kutoka kwa baba yake aliniambia kuwa alimsikia Aisha akisema: "Mtume alifia kifuani pangu wakati wa zamu yangu: Sijamkosea mtu yoyote yule kuhusiana naye. Ilikuwa ni kwa sababu ya kutokujua kwangu na udogo uliozidi kiasi hata Mtume akanifia mikononi mwangu."

(Guillaume, A., The Life of Muhammad, tafsiri ya Ibn Ishaq's Sirat Rasul Allah, Oxford University Press, Karachi, Pakistan, uk. 682). A'isha alisema kuwa alikuwa kijana sana wakati Muhammad anakufa.
Image may contain: 2 people, text

HUYU NI BINTI MDOGO SANA KAZALIWASHWA KWA KUFUATA SHERIA ZA ALLAH


SOMA:

1. Sahih al-Bukhari 810-870 BK, 256 BH

1a. "Alisimulia baba wa Hisham: Khadija alkufa miaka mitatu kabla ya Nabii kuondoka Madina. Alikaa huko miaka miwili au zaidi kisha akamuoa 'Aisha alipokuwa msichana mwenye umri wa miaka sita, na Muhammad aliikamilisha ndoa yao kwa tendo la unyumba wakati 'Aisha alipokuwa na umri wa miaka tisa." Bukhari juzuu ya 5 kitabu cha 58 sura ya 43 na.236, uk.153.
1b. Habari hizo zipo pia kwenye Bukhari juzuu ya 5 kitabu cha 58 sura ya 43 na.234, uk.152.
1c. "Alisimulia 'Urwa: Nabii aliandika (mkataba wa ndoa) na 'Aisha wakati msichana alipokuwa na umri wa miaka sita na aliikamilisha ndoa yake nay eye kwa tendo la unyumba wakati akiwa na miaka tisa na 'Aisha aliendelea kuwa naye kwa miaka tisa (yaani mpaka kifo cha Nabii). Bukhari juzuu ya 7 kitabu cha 62 sura ya 60 na.88, uk.65.
1d. Alisimulia 'Aisha: Nabii alikuwa akinisitiri kwa Rida (vazi lenye kukinga sehemu ya juu ya mwili) yake nilipokuwa nawaangalia Waethiopia waliokuwa wanacheza kwenye ua wa nyuma wa msikiti. (Niliendelea kuangalia) hadi nilipotosheka. Hivyo unaweza kuelewa ni jinsi gani binti mdogo (ambaye hajafikia umri wa kuvunja ungo) ambaye ana hamu ya kufurahia burudani alivyofanyiwa mambo ya namna hii. Bukhari juzuu ya7 kitabu cha 62 sura ya 115 na.163, uk.119.
2. Ibn-i-Majah 824-886/887 BK, 273 BH

2a. A'isha aliolewa alipokuwa na miaka sita, na tisa alipokwenda kwenye nyumba ya Muhammad. Ibn-i-Majah juzuu ya 3 kitabu cha 9 sura ya 13 na.1876, uk.133.
2b. A'isha aliolewa akiwa na miaka saba, alikwenda kwenye nyumba ya Muhammad akiwa na miaka tisa, na alikuwa na miaka 18 wakati Muhammad alipokufa. Kwa mujibu wa al-Zawa'id, isnad zake ni sahihi kwa mujibu wa Bukhari. Hata hivyo Abu 'Ubaida hakusikia kwa baba yake, kwa hiyo ni munqata (ina pengo) Ibn-i-Majah juzuu ya 3 kitabu 9 sura ya 13 na.1877, uk.134.

3. Mwana Historia ibn Ishaq - aliyefariki mwaka 767/773 BK, 145/151 BH

3a. "Yahya b. Abbad b. Abdullah b. al-Zubayr kutoka kwa baba yake aliniambia kuwa alimsikia Aisha akisema: "Mtume alifia kifuani pangu wakati wa zamu yangu: Sijamkosea mtu yoyote yule kuhusiana naye. Ilikuwa ni kwa sababu ya kutokujua kwangu na udogo uliozidi kiasi hata Mtume akanifia mikononi mwangu."

(Guillaume, A., The Life of Muhammad, tafsiri ya Ibn Ishaq's Sirat Rasul Allah, Oxford University Press, Karachi, Pakistan, uk. 682). A'isha alisema kuwa alikuwa kijana sana wakati Muhammad anakufa.
Njooni kwa Yesu kwenye uzima wa milele.

Shalom,

JE, UNAYAJUA MAJINA NA SIFA ZA YESU KRISTO MUNGU MKUU?


Kuna Majina zaidi ya 200 ya Yesu Kristo yanayopatikana katika Biblia. Yafuatayo ni baadhi ya hayo majina yenye umaarufu zaidi, yaliyopangwa katika sehemu tatu zinazohusiana na majina yanayoonyesha asili ya Kristo, nafasi yake katika Utatu wa Mungu, na kazi Yake duniani kwa niaba yetu.
Asili ya Kristo
Jiwe la msingi kuu: (Waefeso 2:20) – Yesu ni jiwe la msingi la jengo la kanisa lake. Yeye huunganisha Myahudi na Mataifa, wanaume na wanawake-watakatifu wote kutoka umri wote na maeneo katika muundo mmoja uliojengwa juu ya imani ndani yake ambayo imegawaywa na wote.
Mzaliwa wa kwanza juu ya viumbe vyote: (Wakolosai 1:15) — Sio jambo la kwanza Mungu aliloumba, kama wengine wanavyodai kwa uongo, kwa sababu mstari wa 16 inasema vitu vyote viliumbwa kupitia na kwa ajili ya Kristo. Badala yake, maana yake ni kwamba Kristo anaweka cheo na ustawi wa kwanza wa mzaliwa wa kwanza juu ya vitu vyote, kwamba anamiliki cheo cha juu zaidi katika ulimwengu; Yeye ni mzuri zaidi kuliko wengine wote; Yeye ni mkuu wa vitu vyote.
Kichwa cha Kanisa: (Waefeso 1:22, 4:15, 5:23) — Yesu Kristo, si mfalme au papa, ndiye pekee ni mkuu zaidi, mtawala huru wa Kanisa-wale alikufa kwa ajili yao na ambao wameweka imani yao ndani yake pekee kwa ajili ya wokovu.
Mtakatifu: (Matendo 3:14; Zaburi 16:10) — Kristo ni mtakatifu, katika hali yake ya kimungu na ya kibinadamu, na chemchemi ya utakatifu kwa watu wake. Kwa kifo chake, tunaitwa takatifu na safi mbele za Mungu.
Jaji: (Matendo 10:42; 2 Timotheo 4: 8) — Bwana Yesu alichaguliwa na Mungu kuhukumu ulimwengu na kugawa thawabu za milele.
Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana: (1 Timotheo 6:15, Ufunuo 19:16) — Yesu ana mamlaka juu ya mamlaka yote duniani, juu ya wafalme na watawala wote, na hakuna mtu anayeweza kumzuia kukamilisha malengo yake. Anawaongoza kama anavyotaka.
Mwanga wa Dunia: (Yohana 8:12) — Yesu alikuja kwa mwengu ulio na giza a dhambi na kumwaga mwanga wa uzima na ukweli kupitia kazi yake na maneno yake. Wale wanaomtegemea Yeye macho yao yatafunguliwa na Yeye na kutembea katika nuru.
Mfalme wa amani: (Isaya 9: 6) — Yesu hakuja kuleta amani kwa ulimwengu kama ukosefu wa vita, lakini amani kati ya Mungu na mwanadamu aliyejitenga na dhambi. Alikufa ili kuunganisha wenye dhambi kwa Mungu mtakatifu.
Mwana wa Mungu: (Luka 1:35; Yohana 1:49) — Yesu ni "pekee wa Baba" (Yohana 1:14). Imetumika mara 42 katika Agano Jipya, "Mwana wa Mungu" inathibitisha uungu wa Kristo.
Mwana wa Adamu: (Yohana 5:27) — Kutumiwa kama tofauti na "Mwana wa Mungu" maneno haya yanathibitisha ubinadamu wa Kristo ambao upo pamoja na Uungu wake.
Neno: (Yohana 1: 1; 1 Yohana 5: 7-8) — Neno ni Mtu wa pili wa Mungu wa utatu, ambaye alisema na kufanyika, ambaye alizungumza kila kitu bila kitu katika uumbaji wa kwanza, ambaye alikuwa mwanzoni na Mungu Baba, na alikuwa Mungu, na ambaye vitu vyote viliumbwa na yeye.
Neno la Mungu: (Ufunuo 19: 12-13) — Hii ni jina ambalo limetolewa kwa Kristo ambayo haijulikani kwa wote bali Yeye mwenyewe. Inaashiria siri ya mtu wake wa kimungu.
Neno la Uzima: (1 Yohana 1: 1) — Yesu sio tu aliongea maneno yaliyoongoza kwa uzima wa milele, lakini kwa mujibu wa aya hii Yeye ndiye maneno ya uhai, akimaanisha uzima wa milele wa furaha na utimilifu ambayo Yeye hutoa.
Nafasi yake katika utatu
Alfa na Omega: (Ufunuo 1: 8; 22:13) — Yesu alijitangaza mwenyewe kuwa mwanzo na mwisho wa vitu vyote, hairejelewi na mtu ila Mungu wa kweli. Taarifa hii ya milele inaweza husishwa tu na Mungu.
Imanueli: (Isaya 9: 6; Mathayo 1:23) — Kwa kweli "Mungu pamoja nasi." Wote Isaya na Mathayo wanathibitisha kuwa Kristo ambaye angezaliwa Bethlehemu angekuwa Mungu mwenyewe ambaye alikuja duniani kwa namna ya mtu kuishi kati ya watu wake.
Mimi Ndimi: (Yohana 8:58, pamoja na Kutoka 3:14) — Wakati Yesu alijitambulisha kwa jina hili, Wayahudi walijaribu kumpiga kwa mawe na kumtukana. Walielewa kwamba alikuwa akijitangaza mwenyewe kuwa Mungu wa milele, Yehova asiyebadilika wa Agano la Kale.
Bwana wa Wote: (Mtendo. 10:36) — Yesu ndiye mtawala mkuu juu ya ulimwengu wote na vitu vyote vilivyo ndani yake, ya mataifa yote ya ulimwengu, na hasa watu wa Mungu anaochagua, Mataifa na Wayahudi.
Mungu wa kweli: (1 Yohana 5:20) — Hii ni moja kwa moja kwamba Yesu, kuwa Mungu wa kweli, sio tu wa Mungu, bali ni Mungu. Kwa kuwa Biblia inafundisha kuna Mungu mmoja tu, hii inaweza tu kuelezea asili Yake kama sehemu ya Mungu wa utatu.
Kazi Yake duniani
Mwandishi na Mtekelezaji wa Imani Yetu: (Waebrania 12: 2) — Wokovu unafanywa kupitia imani ambayo ni zawadi ya Mungu (Waefeso 2: 8-9) na Yesu ndiye mwanzilishi wa imani yetu na mkamilishi wake. Kutoka mwanzo hadi mwisho, Yeye ndiye chanzo na mwenye kudumisha imani ambayo inatuokoa.
Mkate wa Uzima: (Yohana 6:35; 6:48) — Kama vile mkate unavyodumishai maisha kwa maana ya kimwili, Yesu ni Mkate unaompa na kuimarisha uzima wa milele. Mungu alitoa mana jangwani kuwalisha watu wake, na akamtoa Yesu kutupa uzima wa milele kupitia mwili Wake, uliovunjika kwa ajili yetu.
Bwana arusi: (Mathayo 9:15) — Picha ya Kristo kama Bwana arusi na Kanisa kama Bibi arusi wake inaonyesha uhusiano maalum tunao naye. Tunafungwa kwa kila mmoja katika agano la neema ambayo haiwezi kuvunjika.
Mkombozi: (Warumi 11:26) — Kama vile Waisraeli walivyohitaji Mungu kuwaokoa kutoka utumwa wa Misri, kwa hivyo Kristo ndiye Mkombozi wetu kutoka utumwa wa dhambi.
Mchungaji Mzuri: (Yohana 10:11, 14) — Katika nyakati za Biblia, mchungaji mzuri alikuwa tayari kuhatarisha maisha yake mwenyewe ili kulinda kondoo wake kutoka kwa wakulaji. Yesu aliweka maisha yake kwa ajili ya kondoo wake, na Yeye anatulea na kutulisha.
Kuhani Mkuu: (Waebrania 2:17) — Kuhani Mkuu wa Kiyahudi aliingia hekaluni mara moja kwa mwaka ili kufanya upatanisho kwa ajili ya dhambi za watu. Bwana Yesu alifanya kazi hiyo kwa ajili ya watu Wake mara moja kwa wote msalabani.
Mwana Kondoo wa Mungu: (Yohana 1:29) — Sheria ya Mungu ilitafuta dhabihu ya Mwana-Kondoo asiye na doa, asiye na lawama kama upatanisho kwa ajili ya dhambi. Yesu akawa Mwana-Kondoo huyo aliongoza kwa upole kwenye mauaji, akionyesha uvumilivu Wake katika mateso Yake na utayari wake wa kufa kwa ajili yake mwenyewe.
Mpatanishi: (1 Timotheo 2: 5) — Mpatanishi ni mmoja ambaye huenda kati ya vyama viwili ili kuwapatanisha. Kristo ni Mmoja na Mpatanishi pekee aliyewaunganisha wanadamu na Mungu. Kuomba kwa Maria au watakatifu ni ibada ya sanamu kwa sababu inapunguza nafasi hii muhimu zaidi ya Kristo na inaonyesha nafasi ya Mpatanishi kwa mwingine.
Mwamba: (1 Wakorintho 10: 4) — Kama maji yenye uhai yaliyotoka kutoka mwamba Musa alipiga jangwani, Yesu ndiye Mwamba ambao hutiririsha maji yaliyo hai ya uzima wa milele. Yeye ndiye Mwamba ambaye tunajenga nyumba zetu za kiroho, ili hakuna dhoruba inayoweza kutikisa.
Ufufuo na Uzima: (Yohana 11:25) — Imewekwa ndani ya Yesu ni njia za kufufua wenye dhambi kwa uzima wa milele, kama alivyofufuliwa kutoka kaburini. Dhambi yetu imezikwa pamoja Naye, na tunafufuliwa kutembea katika maisha mapya.
Mwokozi: (Mathayo 1:21; Luka 2:11) — Anawaokoa watu wake kwa kufa kuwaokoa, kwa kuwapa Roho Mtakatifu kuwapa upya kwa nguvu zake, kwa kuwawezesha kuondokana na maadui wao wa kiroho, kwa kuwasaidia katika majaribu na katika kifo, na kwa kuwafufua siku ya mwisho.
Mzabibu wa Kweli: (Yohana 15: 1) — Mzabibu wa kweli hutoa kila kitu ambacho matawi (waumini) wanahitaji kuzaa matunda ya Roho — maji yaliyo hai ya wokovu na chakula kutoka kwa Neno.
Njia, Kweli, uzima: (Yohana 14: 6) — Yesu ndiye njia pekee kwa Mungu, Kweli pekee katika ulimwengu wa uongo, na chanzo pekee cha kweli cha uzima wa milele. Anajumuisha yote tatu katika hali ya muda na ya milele.
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu na Mwokozi wetu.

Thursday, December 7, 2017

JE, UNABII KUHUSU MJI MTAKATIFU WA YERUSALEM UNATIMIA BAADA YA RAIS TRUMP KUTANGAZA KUWA YERUSALEM NI MJI MKUU WA ISRAEL?

Image may contain: text
Kwanza tuanze na mwaka wa 1948 ambao Israel ilitanganzwa kuwa taifa. Ukiangalia haraka haraka utagundua kuwa tamko la Rais Trump kuwa Yerusalem ni Mjii mkuu wa Israel laweza kuwa la kinabii, maana limetamkwa siku chache kabla ya kuingia 2018. Ikimaanisa 2017 kutoa 1948 ni miaka 70.
Je, miaka 70 maana yake nini Kibilia?
UNABII WA KWANZA:
“Kwa sababu [Waisraeli] hamkuyatii maneno yangu [Mungu], tazama, ninatuma . . . Nebukadreza mfalme wa Babiloni, . . . , nami nitawaleta wao [Wababiloni] juu ya nchi hii na juu ya wakaaji wake . . . Na nchi hii yote itakuwa mahali palipoharibiwa, kitu cha kushangaza, na mataifa haya yatamtumikia mfalme wa Babiloni miaka 70.”—Yeremia 25:8-11.
UTIMIZO:
Baada ya kulizingira jiji hilo kwa muda mrefu, Nebukadneza alilipora na kuliharibu Yerusalemu katika mwaka 607 K.W.K. Pia aliyashinda majiji mengine ya Yudea, kutia ndani Lakishi na Azeka. (Yeremia 34:6, 7) Aliwahamisha waokokaji wengi na kuwapeleka Babiloni ambako walikaa wakiwa mateka kwa miaka 70.
Historia inafunua nini?
● Biblia inaonyesha kwamba Nebukadneza ndiye aliyekuwa mfalme wa Babiloni karibu na wakati ambapo Yerusalemu liliharibiwa. Vitu vya kale vilivyochimbuliwa vinaunga mkono kile ambacho Biblia inasema kuhusu kuwapo kwake. Jiwe fulani la shohamu lililo na mchongo limewekwa huko Florence, Italia. Sehemu fulani ya maandishi yaliyo juu ya jiwe hilo yanasema hivi: “Kwa heshima ya Merodaki, bwana wake, Nebukadneza, mfalme wa Babiloni, alipokuwa hai aliagiza hili lijengwe.” Nebukadneza alitawala kuanzia mwaka wa 624 hadi 582 K.W.K.
● Kitabu The Bible and Archaeology kinasema kwamba mambo yafuatayo yamethibitishwa baada ya eneo la Lakishi kuchimbuliwa na kufanyiwa uchunguzi: “Uharibifu wa mwisho ulikuwa wenye jeuri, na moto ulioharibu jiji [Lakishi] ulikuwa mkali sana hivi kwamba mawe ya chokaa yaligeuzwa kuwa ungaunga wa chokaa.”
UNABII WA PILI:
“Kupatana na kutimia kwa miaka 70 katika Babiloni [mimi Mungu] nitawakazia ninyi fikira [Wayahudi walio uhamishoni], nami nitawatimizia neno langu jema kwa kuwarudisha tena mahali hapa [nchi ya Yuda].”—Yeremia 29:10.
UTIMIZO:
Baada ya miaka 70 ya uhamisho, kuanzia 607 hadi 537 K.W.K., Mfalme Koreshi wa Uajemi aliwaachilia Wayahudi waliokuwa utekwani na kuwaruhusu warudi nyumbani kwao ili wakajenge upya hekalu huko Yerusalemu.—Ezra 1:2-4.
Historia inafunua nini?
● Je, Waisraeli waliendelea kuwa mateka Babiloni kwa miaka 70 kama Biblia ilivyotabiri? Hebu ona maelezo ya Ephraim Stern, ambaye ni mmoja wa wataalamu wakuu wa wachimbuaji wa vitu vya kale nchini Israel. “Kuanzia mwaka wa 604 K.W.K. hadi 538 K.W.K.—hakuna uthibitisho unaoonyesha kuwa kuna mtu aliyeishi nchini Israeli. Wakati huo, hakuna hata mji mmoja ulioharibiwa na Wababiloni unaoonekana kuwa ulikuwa na watu.” Kipindi hicho ambacho hakukuwa na mtu katika eneo lililoshindwa kinapatana sana na uhamisho wa Waisraeli kupelekwa Babiloni kuanzia 607 hadi 537 K.W.K.—2 Mambo ya Nyakati 36:20, 21.
Baada ya utawala wa Sulemani, taifa la Israeli likagawanyika sehemu mbili. Makabila kumi ya kaskazini waliitwa "Israel," na wao walidumu miaka 200 kabla ya hukumu ya Mungu kwa ajili ya ibada yao. Asiria ikatwaa Israeli kama watumwa karibu 721 BC. Makabila mawili katika kusini yaliitwa "Yuda," na wao walidumu muda mrefu kidogo, lakini hatimaye, pia, wakageuka kutoka kwa Mungu. Babeli aliwachukua mateka 600 BC
Miaka 70 baadaye, Mungu kwa neema aliwaleta mabaki ya wafungwa nyumbani kwa nchi yao wenyewe. Yerusalemu, mji mkuu, ulijengwa upya karibu 444 BC, na Israeli kwa mara nyingine tena ikawa na urahia wa taifa.
Kubomolewa kwa hekalu: Yesu alisema katika Mathayo 24:2, "...amin, amin nawaambieni, halitasalia hapa jiwe ambalo halitabomoshwa". Hii ni baada ya wanafunzi wake kumuonesha mawe ya hekalu na misingi yake ilivyo imara.Hekalu lilikuja kubomolewa miaka 70 AD. Na sasa eneo hilo lilipokuwepo hekalu limejengwa msikiti.
Shalom
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo, Mungu Mkuu.

WAMEBARIKIWA WOTE WANAO IOMBEA AMANI YERUSALEM

Image may contain: 2 people, text
Zaburi 122
1 Nalifurahi waliponiambia, Na twende nyumbani kwa Bwana.
2 Miguu yetu imesimama Ndani ya malango yako, Ee Yerusalemu.
3 Ee Yerusalemu uliyejengwa Kama mji ulioshikamana,
4 Huko ndiko walikopanda kabila, Kabila za Bwana; Ushuhuda kwa Israeli, Walishukuru jina la Bwana.
5 Maana huko viliwekwa viti vya hukumu, Viti vya enzi vya mbari ya Daudi.
6 Utakieni Yerusalemu amani; Na wafanikiwe wakupendao;
7 Amani na ikae ndani ya kuta zako, Na kufanikiwa ndani ya majumba yako.
8 Kwa ajili ya ndugu zangu na rafiki zangu Niseme sasa, Amani ikae nawe.
9 Kwa ajili ya nyumba ya Bwana, Mungu wetu, Nikutafutie mema.
SWALI LA KUJIULIZA, KWANINI WAISLAM WANACHUKI KUBWA NA ISRAEL AMBAYO ALLAH WAKO KASEMA NDIO TAIFA BORA KULIKO YOTE DUNIANI?
ALLAH KASEMA ISRAEL NI TAIFA BORA NA LA NEEMA KULIKO WALIMWENGU WOTE
1. Allah asema Israel ndio taifa la Mungu, Surat Al Baqara 47
2. Allah asema ardhi ya Israel ni ya Waisraeli, Soma Quran Surat Al Maida aya ya 21
3. Palestina yakatwa na haipo kwenye Quran
Ndugu wasomaji,
Huu ni Msiba kwa Waislam wanao pigia debe Wapalestina. Hivi kwanini Allah hakuitaja Palestina kwenye Quran yake? Lakini ameitaja Israel na Waisraeli?
Surat Al Jaathiya 16. Na hakika tuliwapa Wana wa Israili Kitabu na hukumu na Unabii, na tukawaruzuku vitu vizuri vizuri, na tukawafadhilisha kuliko walimwengu wote.
ALLAH ANASEMA KWA WAYAHUDI KUWA ARDHI YA ISRAEL IMETAKASWA NA IMEANDALIWA KWA AJILI YAO:
Allah (s.w.t.) amesema: Enyi watu wangu! Ingieni katika hiyo ardhi iliyotakaswa ambayo Allah amekuandikieni. Wala msirudi nyuma, msije mkawa wenye kukhasirika.(5:21)
Katika aya hapo juu, Allah anawaita Wayahudi kupitia Musa "WATU WANGU" zaidi ya hapo anawaambia kuwa Waende Israel kwenye ARDHI ILIYOTAKASWA, kumbe ata Allah anafahamu kuwa ardhi ya Israeli si ya Wapalestina.
Ndugu msomaji, kwanini Allah anaiita ardhi ya Israel kuwa imetakaswa lakini hakuwai sema hivyo kwa Makka?
Shalom
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu.

KWANINI ALLAH HAKUITAJA PALESTINA KWENYE QURAN YAKE?


Waislam, Allah kasema kwa Waisrel kuwa, WAINGIE KATIKA ARDHI ILIYOTAKASWA, sasa, kwanini nyie mnataka Wapalestina ambao hata Allah hawajui, wavamie ardhi ya Israeli?
Waislam wanawivu mkubwa sana kwa Israel kwasababu Allah amesema kuwa Israel ni ardhi iliyotakasika na hakusema kuwa Uarabuni kumetakasika. Huu ni MSIBA kwa Waislam.
ALLAH ANASEMA:
SURAT AL BAQARA 40. Enyi Wana wa Israili! Kumbukeni neema yangu niliyo kuneemesheni, na timizeni ahadi yangu, na Mimi nitatimiza ahadi yenu, na niogopeni Mimi tu.
Allah anaendelea kusema kuwa Israel wana neema ya Mwenyezi Mungu, lakini hatusomi Palestina ikitajwa hata sekunde moja, wala hatusomi kuwa Waarabu wameneemika.
ALLAH ANASEMA KUWA ISRAEL NI ZAIDI YA WAARABU WOTE
Surat Al Baqara 47. Enyi Wana wa Israili! Kumbukeni zile neema zangu nilizo kuneemesheni, na nikakuteuweni kuliko wote wengineo.
ALLAH ANAKIRI KUWA AMEWATEUWA WAISRAELI KULIKO WATU WENGIENEO, IKIWEPO WAARABU, KUMBE NDIO MAANA WAARABU WANA CHUKI KUBWA KWA WAISRAELI KWASABABU WAO HAWAKUTEULIWA
Kama ulivyo soma hapo juu, Israel ina neema na ni zaidi ya wengine wote, pamoja na Palestina. Kumbe ndio maana Waarabu hawana ubavu kwa Israel.
Leo ningependa muelewe kuwa, Israel ni nchi iliyo barikiwa na hata Waarabu wafanye nini, hata Allah wao amekiri kuwa Waarabu wataendelea kufuata mkia kwa Israel mpaka Kiyama.
ALLAH KAWAPA ISRAEL KITABU, HUKUMU NA UNABII NA KUWAFADHILISHA KULIKO WALIMWENGU WOTE
Surat Al Jaathiya 16. Na hakika tuliwapa Wana wa Israili Kitabu na hukumu na Unabii, na tukawaruzuku vitu vizuri vizuri, na tukawafadhilisha kuliko walimwengu wote.
Kumbe Israel wamepewa Unabii, Kitabu na Hukumu. Hii ndio sababu Waraabu wanaendelea kusaliti amri kwa Israel.
Kwanini Allah hakuitaja Palestina kwenye Quran?
Mungu awabariki sana.
Ni mimi Max Shimba, mtumwa wa Yesu Kristo,
For Max Shimba Ministries Org,
MAX SHIMBA MINISTRIES ORG ©2016. ALL RIGHTS RESERVED
Everyone is permitted to copy and distribute verbatim copies of this license document, but changing it is not allowed.

An Academic Critique of Internal Contradictions in the Quran with Reference to Eschatological Descriptions of Hell’s Sustenance

  Title: An Academic Critique of Internal Contradictions in the Quran with Reference to Eschatological Descriptions of Hell’s Sustenance Au...

TRENDING NOW