Sunday, July 31, 2016

SIFA KUBWA YA KAFIRI NI KUPINGA KUWA YESU NI MWANA WA MUNGUKAFIRI SIO TUSI BALI NI JINA TUU LENYE MAANA YA MPINGA IMANI AU DINI AU ANAEENDA KINYUME NA AMRI ZA MWENYEZI MUNGU ZILIZO KUWEPO KABLA YA QURAN.
KUMBE WAISLAM NI MAKAFIRI MAANA WANAPINGA KUWA YESU NI MWANA WA MUNGU.
SHALOM TENA,
Kwa mara nyingine twamshukuru Yehova Mungu kwa kutupa neema hii tena ili tuweze kukufikishia ujumbe huu wa Biblia na kweli zake kuhusu sifa ya Makafir. Watu wengi hawajua Kafiri ni nani na au tabia za Makfiri ni zipi.
Watu wengi huchukia na wengine kupigana kisa kaitwa kafiri.
Wengi hufuata mkumbo tuu bila kujua maana halisi ya neno Kafiri. Baada ya kuangalia katika wikipedia utakuta neno Kaffir ni neno la kiarabu lenye maana “non believer” yaani asiye muumini/mpingaji au mpinzani (protestant) wa dini au imani flani. Zaidi ya hapo, iliisha fafanuliwa katika Qur'an kuwa Kafiri ni mtu anaye kufuru, na au pinga Maneno ya Mwenyezi Mungu.
Biblia iliyo kuwepo miaka 632 kabla ya kuandikwa kwa Quran na kabla ya kuzaliwa kwa Muhammad inatuambia kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu. Hivyo basi, kufuatana na ushahi wa NENO KAFIRI la MPINGAJI WA IMANI AU DINI FULANI, yeyote yule atakae kuja baada ya Hizi aya za Luka 1-30-35 ZINAZOKIRI KUWA YESU NI MWANA WA MUNGUI LAZIMA AWE KAFIR. Maana anapinga maneno ya Yehova Mwenyezi Mungu aliye umba kila kitu aliyoyasema miaka 632 kabla ya Quran.
Allah analifahamu hilo kuwa Yesu aliitwa Mwana wa Mungu na hakusema chochote kile kwa miaka 632. Lakini baada ya kuzaliwa Muhammad Allah anapinga Maneno ya Yehova wa kwenye Biblia kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu. HII TABIA YA KUPINGA KILICHO KUWEPO KABLA NDIO SIFA MOJA WAPO YA KAFIRI. ALLAH NA WAISLAM WAMEFANIKIWA KUINYAKUA HII SIFA YA KAFIRI.
Hebu tuisome kwanza hiyo aya ya Yesu kuitwa Mwana wa Mungu.
YESU KRISTO: YEYE NI MWANA WA MUNGU.
Luka 1:30-31,35
“Malaika akamwambia usiogope Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu. Tazama utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake utamwita Yesu. Malaika akajibu akamwambia, Roho Mtakatifu atakujilia juu yako, na nguvu zake Aliye juu zitakufunika kama kivuli; kwa sababu hiyo hicho kitakachozaliwa kitaitwa kitakatifu Mwana wa Mungu.
Umesoma mwenye kuwa Mtoto aliye tabiriwa kuzaliwa ataitwa Mwana Wa Mungu. Cha ajabu Allah hakupinga hilo. I wonder why hawa Waislam wanadai Allah ni Yehova, huku ikifahamika kuwa Yehova anamwita Yesu Mwana wa Mungu.
Sasa baada ya kuisoma Biblia nikaamua kufungua Quran iliyo kuja baadae. Nikimaanisha, miaka karibia 632 baada ya kuwepo kwa Biblia. Hebu tuisome Quran:
Sasa basi Waislam wao wanasema kuwa Isa ndie Yesu na hakuwa Mwana wa Mungu:
ISSA A.S: YEYE SIYO MUNGU ALIYEFANYIKA MWILI.
Suratul Al- Maidah (meza) 5:72-73
Bila ya shaka wamekufuru wale waliosema, “Mwenyezi Mungu ni Masih (issa) bin Maryam”.(Na hali ya kuwa) Masihi alisema “Enyi wana wa Israel! Mwabuduni Mwenyezi Mungu, Mola wenu. Kwani anayemshirikisha Mwenyezi Mungu, hakika Mwenyezi Mungu atamharimishia Pepo, na mahali pake (patakuwa) ni Motoni. Na madhalimu hawatakuwa na wasaidizi (wa kuwasaidia siku ya Kiama) “Kwa hakika wamekufuru wale waliosema mwenyenzi Mungu ni mmoja katika (wale waungu) watatu (yeye ndiye watatu wao ) hali hakuna mungu ila Mwenyezi Mungu mmoja ( tu peke yake) na kama hawataacha hayo wasemayo kwa yakini itawakamata wale wanaoendelea na ukafiri miongoni mwao adhabu iumizayo”.
Qur’an katika Suratul Al-Maidah, 5:75 “ Masihi mwana wa Maryam si chochote ila ni Mtume. Wamekwisha pita Mitume kabla yake. Na mama yake ni mwanamke mkweli. Wote wawili walikuwa wakila chakula. Angalia jinsi tunavyo wabainishia Aya, kisha angalia vipi wanavyo geuzwa.http://www.quranitukufu.net/005.html
Eti, Isa Bin Maryam si chochote na anageuzwa. Hivi kuna aya gani zingine kwenye Quran zinaita mitume wengine si chochote na wanageuzwa? Zaidi ya hapo, KWANINI ALLAH AMEPINGA KUWA YESU SI MWANA WA MUNGU HUKU AKIFAHJAMU KUWA YEHOVA AMBAYE NDIE MWENYEZI MUNGU KESHA MUITA YESU NI MWANA WA MUNGU MIAKA 632 KABLA YA YEYE ALLAH KUTEREMSHA QURAN? HUYU ALLAH ALIKUWA WAPI MIAKA YOTE HII? Hakika Kafiri ni Kafiri tu.
WARAKA WA KWANZA WA YOHANA 4:1-6
Wapenzi msiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho kwamba zimetokana na Mungu, kwa sababu manabii wa uongo wametokea duniani. Katika hili mwamjua Roho wa Mungu , kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu. Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya Mpinga Kristo, ambayo mmeisikia kwa yaja , na sasa imekwisha kuwako duniani, ninyi watoto wadogo mwatokana na Mungu nanyi mmewashinda kwa sababu yeye aliye ndanii yenu ni mkuu kuliko yeye aliyeko katika dunia.hao ni wa dunia , kwa hiyo wanena ya dunia na dunia huwasikia. Sisi twatokana na Mungu . yeye amjua Mungu atusikia na yeye asiyetokana na Mungu hatusikii. Katika hili twamjua Roho wa kweli, na roho ya upotevu.
Kwanza: Biblia inatufundisha kuwa Mpinga Kristo ni yule ANAYEKATAA KUWA YESU KRISTO HAJAJA KATIKA MWILI…YANI SIYE MWANA WA MUNGU, Soma (2 Yohana 1:7) na hapa tunawaona Waisilamu ndiyo namba moja wa kukataa hilo, sasa je, ni nani ni Mpinga Kristo kama si nyinyi waislamu? Isitoshe bado mnakazania kuwa YESU SIYE KRISTO Kwa madai kuwa eti huyo Kristo ni wa Paulo, na hapo pia Biblia inatuthibitishia kuwa nyinyi waislamu ndiyo haswa ni Wapinga Kristo…tazama na uthibitishe mwenyewe kwenye (1 Yohana 2:22).
NARUDIA TENA KUWA KAFIRI SIO TUSI BALI NI JINA TUU LENYE MAANA MPINGA IMANI AU DINI AU ANAEENDA KINYUME NA AMRI ZA MWENYEZI MUNGU ZILIZO KUWEPO KABLA YA QURAN.
NI KAMA VILE MTU AKUITE MCHAMUNGU, MZINZI AU MCHEZA MPIRA YAANI NI JINA LINALOELEZEA WASIFU FLANI. SASA WASIFU WA WAISLAM WANAO PINGA KUWA YESU SIO MWANA WA MUNGU NI MAKAFIRI.
Natanguliza pole zangu kwa wanao Pinga kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu maana hao sasa tunawatambua kuwa ni Makafiri.
Mungu aendelee kutufundisha kweli yake.
Max Shimba Mtumwa wa Yesu Kristo

No comments:

FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE

  **URGENT UPDATE**   **FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE** Shimba TV, New York has received distressing news ...

TRENDING NOW