Saturday, July 23, 2016

KWANINI ALLAH ALIUMBA PEPO LA IJUMAA


Tunaendelea na kusoma kuhusu haya Mapepo ambayo yaliumbwa na Allah wa Waislam.
Leo tutajifunza kuhusu pepo la Ijumaa lijulikanalo kwa jila la PACHARD AU VENUSI.
★Katika wiki hii Sheikh Mstaafu Eden Hazard anaendelea kuelezea haya mapepo katika ulimwengu wa roho kila siku na kazi zake maana nawapa siri hii ya ulimwengu wa Roho ili muweze kumjua adui yako ni wanamna gani ili ujipange kumpigana nayee kwahyo lazimaa tuyalipue tuu maanaa tumechoka kuonaa watu wakitesekaa kwa sababu ya haya mapepo.
Pia unapopataa bahati ya kuambiwa mambo haya yote chukua hatua ya maombi.
maana imeandikwa: Wala msishirikiane na matendo ya giza,bali. ★★myakemee (Waefeso5;11)
★★Neno la Mungu linatuambiaa. tuyakemee kwahyo mimi sitanyamaza,sitaogopa lazima tukemee haya matendo ya giza na kufundisha watu wajue siri hii ili waweze kupigana na hizi ngome za mwovu.
Kumbuka kwamba Shetani anathamini sanaa watu wake kuliko Mungu unajua kwanini?
★★shetani anathamini watu wake kwa namna hii
★★shetani ameyaweka haya mapepo kila pepo na siku yake ya kuabudiwaa na kufanya kazi yake, lakini Mungu Haruhusu hata malaika au watumiashi wake kuabudiwa kwasababu gani?
Amesema
★★Usiwe na miungu mingine ila mimi. Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.(kutoka20:2-6”)
★★Kwasababu gani shetani anaruhusu wale wamfuatao kuabudiwaa??

kwasababu anajua mwanadamu anapenda kutukuzwaa sana kwa kutambuaa hilo ndyo maana amewaweka watu wake kuabudiwaa, kwa mfano hawa wasanii wakubwa ambao wamejiingiza hukoo huwaa wanaabudiwaa (nitafundisha kwenye somo lijalo)
★★Lakini Mungu anatambuaa Yeye ni Mungu muumba mbingu na nchi, yeye tu ndyo anapaswa kuabudiwa.
KAZI YA PEPO LA IJUMAA:
★★Sasa pepo hili la ijumaa ambalo linaitwaa PACHARD au kwa lugha ya kiyunani VENUSI hili ni pepo kubwa ambalo shetani amemuweka siku ya ijumaa ndiyo siku yake yakuabudiwaa na kufanya kazi yake katikaa dunia ni kumwaga damu za watu ...
★★Unakutaa ajari nyingi na vifo vingi vinatokeaa hapa duniani kwasababu huyo pepo Venusi anafanya kazi yake ya kutoa sadaka ya damu za watu.
★Kazi nyingine ya hili pepo husababisha vifo vya ghafla, unakutaa mtu leo alikuwaa mzima wa afyaa kabisa lakini baada ya masaa machache unaambiwa amekufa, kwanini kwasababu ya Venusi pepo la Mauti hupita na kuua watu.. ni pepo bayaa na hatari sana.
★Kazi nyingine hutoa mimba kwa wamama wajawazito -unashangaa wanawake wengi siku ijumaa huza watoto wamekufa au mimba kuharibika basi pepo huyu, huingiaa ndani ya tumbo la mama na kutoaa mtoto na kuacha hewa tu na husababisha mambo hayo yote, huchukua wale watoto wachanga na kwenda kuwatoa sadaka kuzimu.
★★Kwahyo siku ya ijumaa ni siku ya pepo huyo kuabudiwaa na kutoa sadaka ya damu za watu pamoja na watoto wachanga huko kuzimu.
◇◇UNAJUA KWANINI YESU ALIKUFA IJUMAA?
Mathayo Mtakatifu 15:42Mathayo
Mtakatifu 16:21 na Luka Mtakatifu 9:22 inaeleza Yesu alikufa siku ya Ijumaa!!
Katika ulimwengu wa Roho kuna mambo mengi lakini moja ya sababu Ya damu ya Yesu kumwagika ilikuwaaa kuharibu kazi ya mwovu shetani...
★kufungua vifungo kwa walio fungwa!
Damu Ya Yesu ilimwagika ili damu za watu zinazotolewa kuzimu zisitolewe tena!
imeandikwa
◆UFUNUO 12:11… [Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana Kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao; ambao hawakupenda maisha yao hata kufa. ]
☆Damu ilimwagika pale msalabani Damu hii huwashinda mashetani yote yanayopindisha mapenzi ya Mungu ili
yatimie maishani mwako.
☆☆Kwahyo ushindi wetu unapatikana kwa damu ya Yesu
Neno na ushuhuda wa maisha yetu.
Sasa wewe usiyemuamini Yesu unalindwa na nani?
☆na wewe ambaye unaishi maisha Ya usanii ndani ya kanisa unadhaniaa utakuwaa na usalama??
☆kwanini usimpokee Yesu ili uwe na uzima telee? ili uweze kushinda hizi nguvu za giza!!
☆☆kwanini ufe kabla ya siku zako?
Tafakari
Chukua hatua
itaendeleaa.......
☆☆by sheikh mstaafu

No comments:

JIWE JEUSI LA MAKKA

 

TRENDING NOW