Friday, December 7, 2018

UNAMJUA KAFIRI WA KWANZA DUNIANI?

Image may contain: one or more people and text
Je, Makafiri ni akina nani?
Je, unawafahamu makafiri wa kwanza ni akina nani?
Neno kafiri ni neno ambalo lipondani ya Biblia Takatifu, kabla hata ya Muhammad mtume wa waislamu kuzaliwa na wala uislamu haujakuwepo nawala Muhammad wala Quran haijaandikwa nawale Waarabu wa 4. Neno hilo kafiri lipo kwenye biblia kwa maana nyepesi neno hilo waislamu wamekuta likitumiwa na waliokuwa wanatumia Biblia Takatifu.
Katika Quran sijaona Wakristo wakiitwa MAKAFIRI, bali Quran nzima inawaita WAKRISTO wamchao Mungu tena wasomi, SURATUL AL-MAIDAH 5:82.
Kwa kuthibitisha kuwa neno KAFIRI limo ndani ya BIBLIA hebu tuziangalie aya chache ndani ya Biblia.
EZEKIEL 34: 28-31
Mistari hiyo ni Mungu mwenyewe anawahakikishia wana wa Israel kuwa hawatakuwa mateka wa MAKAFIRI, hivyo neno hilo hapo limetumika kabla hata uislamu haujakuwepo.
NEHEMIA 5: 8-9
NEHEMIA 5:17
NEHEMIA 6:16
MAOMBOLEZO 1:3
MAOMBOLEZO 1:10
MAOMBOLEZO 5:2
1TIMOTHEO 1:8-11
YUDA 1:4
1YOHANA 4:1-6
Maneno hayo yalisemwa kabla ya Muhammad hajazaliwa wa Quran haijaandikwa nawale waarabu wa 4 yaani Saydina Abubakar, Omar, Athumani na Ali na uislamu ulikuwa haupo.
TUANGALIE NENO KAFIRI LINAVYOTUMIKA
_________________________
Neno KAFIRI ni neno la Kiarabu lenye maana ya Mpingaji kwa kiswahili.
Yaani anaepinga maneno ya Mwenyezi Mungu neno hili lilikuwepo kwenye Biblia kama tulivyoona kwenye baadhi ya mistari ya Biblia hapo juu.
Ilikuwepo neno mpingaji KAFIRI nilazma kuwepo na kauli tangulizi iliyotangulia kusema kwahiyo kauli itakayofuata ya kupinga inaitwa kauli ya mpingaji kwa kiarabu KAFIRI.
Waislamu mara zote hukosi kuwasikia wakisema hawa MAKAFIRI wanatupa tabu au tuwakomeshe au wapigwe hawa MAKAFIRI kauli zao hizo zikitulenga sisi WAKRISTO.
SWALI LA UFAHAMU
Kati ya WAKRISTO au WAISLAMU nani MAKAFIRI?
2) Kati ya Imani ya KIKRISTO na dini ya KIISLAMU ni nani ilitangulia kuwepo duniani?
3) Kati ya YESU na Muhammad ni nani aliyepinga kauli ya mwenzake iliyotangulia?
HISTORIA FUPI KATI YA YESU NA MUHAMMAD.
Bwana Yesu ndiye mwanzilishi wa Imani ya Kikristo.
Waebrania 12:2
Huu ni mwaka 2015 tangu bwana Yesu alipopaa kurudi mbinguni na ni mwaka wa 1436 kwa mwaka wa kiislamu niandiko somo hili la KAFIRI kwani Muhammad alizaliwa mwaka wa 570 nandiye mwanzilishi wa dini ya kiislamu baada ya Yesu.
Hii inathibitisha kuwa Yesu alitangulia kuwepo duniani kabla ya Muhammad hakuna anaepinga hilo.
Kwamaana hiyo kauli za Yesu zitakuwa tangulizi na kauli za IMANI ya Kikristo zitakuwa kauli tangulizi.
Na kauli za Muhammad na Waislamu zitakuwa kauli za kupinga tangulizi.
Yohana 9:35-38
Kauli ya kusema yeye ni Mwana wa Mungu alijisema yeye mwenyewe Yesu aliitumia mwenyewe katika mistari ya sura ya hapo juu.
Hiyo ni kauli tangulizi ikipatikana kauli inasema Yesu sio Mwana wa Mungu hiyo ni kauli inayopinga maanayake ni KAFIRI?
JE NI NANI ALIEANZA KUSEMA YESU NI MWANA WA MUNGU?
LUKA 1:26-35
Hivyo kwa kauli ya mistari ya hapojuu hakuna mwanadamu alieanza kutamka kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu bali ni Mungu mwenyewe kupitia malaika gabriel alietumwa ndie aliyesema Yesu ni Mwana wa Mungu.
MATHAYO 3:13-17
MATHAYO 17:1-15
Hii ni kauli tangulizi iliyotoka kwa Mungu mwenyewe inasema YESU ni mwanae kabla ya Muhammad kuzaliwa wala Quran haijaandikwa nawala uislamu haujaanzishwa kwani uislamu umeanza mwaka 610.
Hii ni kauli tangulizi inatoka kwa Mungu na ikapatikana kauli toka kwa nduguzetu waislamu Yesu sio Mwana wa Mungu huyo atakuwa ni mpingaji kwa kiarabu ni KAFIRI.
JE KAFIRI WA KWANZA NI NANI?
Mungu alipoumba vitu vyoote kisha akamuumba mwanadamu na kumpa maagizo.
MWANZO 2:16-17
Hii kauli tangulizi ya Mwenyezi Mungu kauli itakatopinga kauli hii ni ya mpingaji ambae ni KAFIRI.
Tuangalie kauli iliyopinga kauli ya Mwenyezi Mungu tangulizi ni ya nani?
MWANZO 3:1-4
MUNGU amesema ukila matunda utakufa hakika, anakuja nyoka Shetan Ibilisi anasema HAKIKA HAMTAKUFA. hii ni kauli ya kupinga huyu ni KAFIRI.
Hivyo ukimsikia mtu anasema Yesu sio Mwana wa Mungu huyo ni KAFIRI.
QURAN INASEMAJE?
Surat an- Anaam 6:101 Yeye ndie muumba wa mbingu na ardhi inamkinikaje awe na mwana hali ana mke?
Kauli hii ya Quran ni ya ajabu inamaana Quran nikuwa Mungu awe na mke ndio awe na mtoto? Mawazo yao yakimwili ya kibinaadamu basi Quran inapinga kauli ya kwanza inayosema sisi ni wana wa Mungu si kimwili wala kidamu bali wote waliompokea walifanywa kuwa wana wa Mungu.
Lakini NENO la Mungu linasema.
YOHANA 3:10 KATIKA HILI WATOTO WA MUNGU NI DHAHIRI, NA WATOTO WA IBILISI NAO.
Mstari ukowazi kwamba wewe ukikataa kuwa si Mwana wa Mungu. Basi unae baba yako kwani ibilisi nae ana watoto.
Katika kitabu cha hadithi sahihi Muslim Vol 4. Wake wa Muhammad khadija, zainabu na salama wote hao wanaitwa "Ummul muuminun" yaani MAMA WA WAISLAMU. Inamaana waislamu wote wanawajibu wa kuwaita wa za Muhammad mama zao?
SWALI LA UFAHAMU?
Je Waislamu kwa kuwaita wake za Muhammad mama zao inamaana ndio waliowazaa Waislamu wote?
___________________________
Ukristo ulitangulia kuwepo duniani kabla ya uislamu kwa maana hiyo kauli za uislamu ni kupinga kauli tangulizi za Ukristo yaani wapingaji kwa kiarabu ni KAFIRI.
KUMBE BASI WAISLAM, ALLAH, MUHAMMAD NA JIBRIL NI MAKAFIRI.
Tafakari chukua hatua.
Barikiwa sana
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu. Tito 2:13

No comments:

WHY CHRISTIANITY IS BETTER THAN ISLAM?

Has Islam Improved to Become Better Than Christianity? Does Muhammad fulfill and complete the mission and purpose of Christ? Muhammad emphat...

TRENDING NOW