Sunday, January 16, 2022

VITUKO KWENYE UISLAM SEHEMU YA TATU

 


VITUKO KWENYE UISLAM
SEHEMU YA TATU


Ibn Abbas (ra) aliamini kwamba kulikuwa na makosa katika Surah Ra’ad kwa sababu ya mwandishi aliyekuwa na ugonjwa wa Malale alikuwa anasinzia wakati anaandika hiyo Surah (Na’uzubillah). [Fatah al Bari, Juzuu ya 8 ukurasa wa 373]

Wachamungu Tabayin na Swahaba waliamini kwamba kulikuwa na kosa katika Surah Aal e Imran aya ya 81 (Na’uzubillah). [Tafsiir Tabari, Juzuu ya 6 ukurasa wa 554]

Neno katika Surah Bani Israil aya ya 23 lilibadilishwa kwa sababu ya waandishi na utumiaji mbaya wa wino (Na’uzubillah). [Al-Itqan, Juzuu 1 ukurasa wa 542]

Umar na baadhi ya Masahaba walikariri neno lisilo sahihi katika Surah Juma aya ya 9 kwa maisha yao yote (Na’uzubillah). [Tafseer Dur e Manthur, Juzuu ya 6 ukurasa wa 219]

Sahabi Ibn Masud aliamini kwamba Tahreef ilifanyika katika Surah Zukhraf aya ya 45 (Na’uzubillah). [Tafseer Dur al Manthur, Juzuu ya 7 ukurasa wa 382]

Ibn Abbas (ra) na Saiyd bin Jubayr walibainisha kosa katika Surah Nur aya ya 27 (Na’uzubillah). [Tafsiir Tabari, Juzuu ya 18 ukurasa wa 146]

Ibn Abbas (ra) aliashiria kosa katika Surah Nur, aya ya 35 (Na’uzubillah). [Tafsiir Ibn Abi Hatim, Juzuu ya 8 ukurasa wa 2595]

Aisha alikataa usahihi wa Quran kwa kuashiria makosa manne ndani yake (Na’uzubillah). [Tafseer Thalabi, Juzuu ya 6 ukurasa wa 250]

Uthman alishuhudia kwamba baadhi ya maneno ya Quran yalinakiliwa kimakosa (Na’uzubillah). [Tafseer Ma'alam al Tanzeel, Juzuu ya 3 ukurasa wa 361]

Shalom

Dr. Max Shimba for Max Shimba Ministries

No comments:

THE SEVEN PROPOSALS OF MUHAMMAD THAT WERE REJECTED

  1. Why did some women reject Muhammad's proposals? 2. Why did Muhammad continue to propose despite the rejections? Dear reader, Today ...

TRENDING NOW