Tuesday, August 2, 2016

JE, UNAFAHAMU KUWA WEWE UNAYE PINGA UUNGU WA YESU NI KAFIRI?

JE, UNAFAHAMU KUWA WANAO PINGA WOKOVU KUPITIA YESU KRISTO NI MAKAFIRI?
Ndugu msomaji,
Utawasikia wakisema, Uislam ndio dini ya haki na ya Mwenyezi Mungu. Wanaendelea kusema kuwa, hakuna kuokoka hapa dunia bali Akhera. Hii ndio sifa ya Kafiri, anapinga WOKOVU KUPITIA YESU KRISTO. ZAIDI YA HAPO WANAPINGA UUNGU WA YESU.
KAFIRI SIO TUSI BALI NI WASIFA WA MTU ANAYE PINGA UPENDO WA YEHOVA. KAFIRI NI MTU YEYOTE YULE, AU KIUMBE CHECHOTE KILE KINACHO PINGA UPENDO WA MUNGU KWA BINADAMU WA KUJA KUMUOKOA KATIKA DHAMBI.
NENO KAFIR LINAMAANISHA ASIYE AMINI. Waislamu hawaanini kuwa Yesu Kristo ni Mungu. Waislamu hawaamini kuwa Yesu Kristo anaweza kuponya dhambi za mwanadamu. Waislamu hawaamini kuwa Yesu Kristo yu hai. Hivyo waislamu ni makafiri.
NENO Kāfir INAMAANISHA MTU AMBAYE ANAJIFICHA AU ANAFICHA MABAYA. Waislamu wanaficha ajenda zao kutumia TAQIYYA NA KITMAN. Na kumbuka pia Quran inaruhusu waislamu kudanganya. Wanadanganya kuwa Yesu sio Mwokozi wa Ulimwengu.
UKIMSIKIA MTU ANASEMA MUNGU ATAWEZAJE KUJA DUNIANI KATIKA MWILI, BASI HUYO NI KAFIRI MAANA ANAFIKIRIA MUNGU HANA UWEZO WA KUFANYA ATAKALO NA ANAMLINGANISHA MUNGU NA BINADAMU.
JE, YESU NI NANI KWAKO?
Watu wengi humtambua Yesu Kristo kama mtu mzuri, Mwalimu Mkuu, au hata pia Nabii wa Mungu. Haya maelezo huenda yakawa ni kweli kabisa kuhusu Yesu, lakini hayaelezei vizuri yeye ni nani. Bibilia inatuambia yakwamba Yesu ni Mungu katika mwili, Mungu alifanyika kuwa mwanadamu (Tazama Yohana 1:1, 14). Mungu alikuja ulimwenguni kutufundisha, kutuponya, kuturekebisha, kutusamehe-na kufa kwa ajili yetu! Yesu Kristo ni Mungu, Muumbaji, Mungu Mkuu. Je umemkubali huyu Yesu?
Bibilia inatwambia yakwamba sote tumefanya dhambi, sote tumetenda maovu (Warumi 3:10-18). Kwa wajibu wa dhambi zetu, basi twastahili hasira za Mungu na pia hukumu. Adhabu ya pekee kwa kufanya dhambi kinyume chake asiye kuwa na mwisho na Mungu wa milele ni adhabu isiyokuwa na mwisho au mipaka (Warumi 6:23; Ufunuo wa Yohana 20:11-15). Hii ndio sababu tunahitaji Mkombozi!
Yesu Kristo, alikuja duniani na akatufia pahali petu. Kifo chake Yesu, kama Mungu katika mwili, ilikuwa ni malipo yasiyokuwa na mwisho kwa ajili ya dhambi zetu (2 Wakorintho 5:21). Yesu alikufa ili kutulipia mshahara wa dhambi zetu (Warumi 5:8). Yesu alitulipia deni ili tukaweze kuwa na uhuru. Kufufuka kwake Yesu katika wafu kulidhihirisha yakwamba kifo chake kilitosha kulipa mshahara wa dhambi zetu. Hii ndiyo sababu yakuwa Yesu Kristo ndiye Mkombozi tu wa pekee (Yohana14:6; Matendo 4:12)! Je, unamwamini Yesu kama mwokozi wako?
LAKINI NILIPO ISOMA QURAN NIKAGUNDUA KUWA ALLAH ANAMPINGA WOKOVU WA YESU KWASABABU YEYE ALLAH HANA UWEZO WA KUSAMEHE DHAMBI.
SASA, KWANINI WAISLAM WANAMSWALIA MUHAMMAD ALIYE KUFA NA DHAMBI?
Quran inaendelea kusema kuwa wale walio kuwa katika Umauti kamwe Allah hana uwezo wa kuwasamehe dhambi, ingawa WAISLAM bado wana utamaduni wa kuombea Maiti msamaha ili Allah aipokee roho ya marehemu.
Suratul Muuminum 101. Basi litapo pulizwa baragumu hapo hautakuwapo ujamaa baina yao siku hiyo, wala hawataulizana. ***102. Ama wale ambao mizani zao zitakuwa nzito, hao ndio wenye kufanikiwa. ***103. Na wale ambao mizani zao zitakuwa nyepesi, hao ndio walio zitia khasarani nafsi zao, na katika Jahannamu watadumu. ***104. Moto utababua nyuso zao, nao watakuwa na nyuso zilizo kunjana. ***105. Je! Hazikuwa Aya zangu mkisomewa, na nyinyi mkizikanusha? ***106. Mola wetu Mlezi! Tulizidiwa na uovu wetu na tukawa watu tulio potea. ***107. Mola wetu Mlezi! Tutoe humu Motoni. Na tufanyapo tena basi kweli sisi ni wenye kudhulumu. 108. Atasema Mwenyezi Mungu: Tokomeeni humo, wala msinisemeze. 109. Bila ya shaka lilikuwapo kundi katika waja wangu likisema: Mola wetu Mlezi! Tumeamini; basi tusamehe na uturehemu, nawe ndiwe Mbora wa wanao rehemu. ***110. Lakini nyinyi mliwakejeli hata wakakusahaulisheni kunikumbuka, na mlikuwa mkiwacheka. ***111. Hakika Mimi leo nimewalipa kwa vile walivyo subiri. Bila ya shaka hao ndio wenye kufuzu. 112. Atasema: Mlikaa muda gani katika ardhi kwa hisabu ya miaka? 113. Watasema: Tulikaa siku moja au sehemu ya siku. Basi waulize wanao weka hisabu. ***114. Atasema: Nyinyi hamkukaa huko duniani ila kidogo, laiti ingeli kuwa mnajua. ***115. Je! Mlidhani ya kwamba tulikuumbeni bure na ya kwamba nyinyi kwetu hamtarudishwa?
Katika hii suratul Muuminum tunasoma kuwa hawa ni Waislam walio zidiwa na dhanb, Allah atawakana na hato wasamehe ingawa ndugu zao waliwafanyia maombi wakati wa umauti na kuwasafisha ngama. Allah yeye anasema hato wasamehe hawa Waislam. Ushaidi mwingine unaweza upata hapa S. 35:36-37, S. 40:10-12 , S. 43:74-77, S. 67:6-11, S. 4:93
SASA, KWANINI NYIE WAISLAM MNAPINGA WOKOVU KUPITIA YESU HUKU MKIFAHAMU KUWA ALLAH HANA UWEZO WA KUSAMEHE DHAMBI?
HII SIFA YA KUPINGA WOKOVU KUPITIA YESU INAITWA UKAFIRI.
NARUDIA TENA, KAFIRI SIO TUSI BALI NI SIFA AU JINA TUU LENYE MAANA YA MPINGA IMANI AU DINI AU KUMZULIA MWENYEZI MUNGU UONGO, AU ANAE ENDA KINYUME NA AMRI ZA MWENYEZI MUNGU ZILIZO KUWEPO KABLA YA QURAN.
NENO KAFIRI KULINGANA NA KURAN NI MWABUDU SANAMU AU MCHAWI. Chimbuko la allah linatokana na kuabudu sanamu ambalo ni jiwe jeusi linaloitwa Ka'bah aka: kabah. Vilevile Waarabu walikuwa wanaabudu nyota na mwezi (Sahih al-Bukhari, Vol 5, #661.) Waislamu vilevile wanaamini majini hivyo kutumia majini kufanyia uchawi wao.
Waislam wanapinga Wokovu kupitia Yesu na wanadai kuwa ETI Yesu alikuwa Mtume tu na si chochote kile. Hii tabia ya kupinga Injili iliyo kuwepo kabla ya Quran inaitwa UKAFIRI.
Watu wengi huchukulia yakwamba Ukristo ni kuhudhuria kanisa, Kutoa makafara, kutofanya dhambi Fulani. Hiyo siyo Ukristo. Ukristo wa kweli ni ule uhusiano wa kibinafsi na Yesu Kristo. Kumkubali Yesu kibinafsi kama mwokozi wako inamaanisha kuweka imani yako kibinafsi kwake na kumwamini yeye. Hakuna aokokaye kupitia imani ya wengine. Hakuna asamehewaye kwa kutenda matendo aina Fulani. Njia ya pekee ya wokovu ni kumkubali Yesu kibinafsi kama mwokozi wa maisha yako, kuamini kifo chake kama malipo ya dhambi zako, na kufufuka kwake kama hakikisho kwako la uzima wa milele (Yohana3:16). Je, Yesu kibinafsi ni Mwokozi wako?
KAMA UMECHOKA KUWA KAFIRI NA UNGETAKA KUMKUBALI YESU KRISTO BINAFSI KAMA MWOKOZI WAKO, HEBU YASEME MANENO HAYA KWA MUNGU:
“Mungu, najua yakwamba nimefanya dhambi kinyume chako na ninastahili adhabu. Lakini Yesu Kristo aliichukua adhabu niliyostahili ili kwa kumwamini yeye, nipate kusamehewa. Ninaziacha dhambi zangu kwa kumaanisha na ninaweka imani yangu kwako ili niokolewe. Ninamkubali Yesu kibinafsi kama Mwokozi wangu! Ahsante kwa neema yako ya ajabu na kwa msamaha-karama ya uzima wa milele!
Amina!’’
Je, umefanya uamuzi kwa Kristo kwa kile ulicho soma hapa?
YESU ANAKUPENDA SANA NA HATAKI WEWE UWE KAFIRI.
Ni mimi Max Shimba, mtumwa wa Yesu Kristo

No comments:

JIWE JEUSI LA MAKKA

 

TRENDING NOW