Wednesday, August 10, 2016

SYLVESTER STALLONE MWANA SINEMA MASHUHURI DUNIANI AMEOKOKA NA KUMPOKEA YESU KRISTO KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKESylvester Stallone amesema kuwa ameyasalimisha maisha yake kwa Bwana Yesu Kristo ambaye sasa ndie Bwana na Mwokozi wa Maisha yake.
Bwana Sylvester akizungumza na Pat Robertson kwenye TV ya 700 Club alikiri kuwa katika Yesu kuna raha sana na anamshukuru sana Mungu kwa kumwokoa.

No comments:

JIWE JEUSI LA MAKKA

 

TRENDING NOW