I am a wide-eyed, sanctified, blood-bought, Spirit-taught, Bible-totin', Scripture-quotin', Satan-blastin', sin-trashin', Christ-followin' Pride-swallowin', hard-praying', truth-conveyin', faith-walking, gospel-talkin', bonafide big-time believer! And proud of it
Friday, August 26, 2016
WAKIMBIZI 80 WA KIISLAM NCHINI UJERUMANI WABATIZWA NA KUMPOKEA YESU
Mchungaji Albert Babajan alifanya ubatizo wa zaidi ya Waislam 80 kutoka Iran na Afghanistan mjini Hamburg.
Habari zainasema kuwa Mchungaji Albert anampango wa kubatiza ziaid ya Waislam Mia tano (500) mwana huu.
No comments:
Post a Comment