Thursday, September 13, 2018

MOHAMMAD AMESEMA NI WAISLAM KUMI TU NDIO WATAKAO INGIA AKHERA, WENGINE WOTE JEHANNAMImage may contain: text
POLENI SANA WAISLAM KWA KUINGIZWA MKENGE NA MOHAMMAD.

Huu ni Msiba mzito sana kwa Waislam.

Imesimuliwa wa Said ibn Zayd: Abdur Rahman obn al-Akhanas alisemaalipokuwa Msiktini, mtu mmoja alimtaja Ali. Hivyo Said ibn Zayd alisimama na kusema: Naapa kwa Nabii wa Allah (amani iwe juu yake) nilimsikia akisema: WATU KUMI NDIO WATAINGIA AKHERA. Nabii wa Allah, Abu Bakar, Umar, Uthman, Ali, Talhah, az-Zubayr ibn al-Awwan, Sad ibn Malik na Abdur Rahman ibn Awf. Ningependa nimsema mtu wa kumi. Watu wananiuliza,, Ni nani huyo wa kumi. Lakini nilikaa kimya. Wakauliza tena ni nani huyo. Akajibu, ni Said ibn Zayd.

Isome hadith kwa Kiingereza.

Narrated Sa'id ibn Zayd:

AbdurRahman ibn al-Akhnas said that when he was in the mosque, a man mentioned Ali (may Allah be pleased with him). So Sa'id ibn Zayd got up and said: I bear witness to the Apostle of Allah (peace be upon him) that I heard him say: Ten persons will go to Paradise: The Prophet (peace be upon him) will go to Paradise, AbuBakr will go to Paradise, Umar will go to Paradise, Uthman will go to Paradise, Ali will go to Paradise, Talhah will go to Paradise: az-Zubayr ibn al-Awwam will go to paradise, Sa'd ibn Malik will go to Paradise, and AbdurRahman ibn Awf will go to Paradise. If I wish, I can mention the tenth. The People asked: Who is he: So he kept silence. The again asked: Who is he: He replied: He is Sa'id ibn Zayd.

—Collected by Abu Dawood, Sunan Abu Dawood[2]

Abdul Rahman bin `Awf said: The prophet (s) said: Abu Bakr in Paradise, Omar in Paradise, 'Uthman in Paradise, Ali in Paradise, Talha in Paradise, al- Zubair (bin al-'Awwam) in Paradise, AbdulRahman bin `Awf in Paradise, Saad (bin Abi Waqqass) in Paradise, Saeed (bin Zaid), and abu 'Ubaida bin al- Jarrah in Paradise."

—Tirmidhi[

References: Muqaddimah Ibn al-Salah, pg. 160 Dar al-Ma’aarif edition; al-Tirmithi, under #3748; al-Tirmithi, Volume 5, Page 605, Hadith 3748; Abu Daoud, #4649 and #4650

Ndugu zanguni, mmesoma hadith kwa Kiswahili na Kiingereza zikithibisha kuwa Watakao ingia Akhera ni Waislam kumi tu kama walivyo tajwa hapo juu.

Sasa kwanini mnafuata dini ya Mohammad na marafiki zake ambao ndio pekee wataingia Akhera.

Kumbe ndio maana Muhammad alisema Waislam wote kuingia Jehannam. Quran 40: 60. Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike.

Shalom

Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu. Tito 2:13

No comments:

FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE

  **URGENT UPDATE**   **FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE** Shimba TV, New York has received distressing news ...

TRENDING NOW