Monday, September 10, 2018

KUMBE KIARABU NI LUGHA YA JEHANNAM


Jehannam inaanza kwa kusema " QATI QATI" inatosha inatosha. Hapa Jehannam ilikuwa inamjimu Allah kwa kutumia lugha ya Kiarabu. Soma Ushaidi zaidi: Bukhari :: Kitabu 9 :: Juzuu 93 :: Hadith 481, Bukhari :: Kitabu 6 :: Juzuu 60 :: Hadith 373
AL-KASHIF-JUZUU YA KUMI NA SITA Aya 113 – 122: Tumeitermsha Qur’an Kwa Lugha Ya Kiarabu.
Allah anaanza kwa kujigamba na kusema Koran imeteremshwa kwa Kiarabu, ingawa hatusomi Allah huyu akisema Taurat au Zaburi au Injili ziliteremshwa kwa Kiarabu.
“Quran ni Kitabu kilichopambanuliwa Aya zake, cha kusomwa kwa kiarabu kwa watu wanaojua, kinachotoa bishara na kuonya” (41:3 – 4).
Anza kujiuliza, kwanini Allah anatia msisitizo wa Lugha?
Waislamu, wafuasi wa Uislamu, wanaamini Qur'an kuwa neno kamilifu lilikueko la Allah. Zaidi ya hayo, Waislamu wengi hukataa matoleo mengine ya lugha zote za Qur'an. Tafsiri si toleo la halali ya Qur'an, ambayo ipo tu katika Kiarabu.
Ndio maana, Waislam wanapo mswalia Muhammad hutumia Kiarabu duniani kote. Je, lugha ya Allah ni ipi kama sio Kiarabu?
Na Mtume wa Allah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema:
((من قرأ حرفاً من كتاب الله فله به حسنة،والحسنة بعشر أمثالها، لا أقول: ألم حرف، ولكن ألفحرف، ولام حرف، وميم حرف))
“Yeyote mwenye kusoma herufi katika kitabu cha Allah ataandikiwa mema, na mema moja ni sawa na kumi mfano wake. Sisemi الـمA.L.M. ni herufi, lakini Alif ni herufi na Laam ni herifi na Miim ni herufi” [at-Tirmidhiy, na akasema ni Hadith Hasan Sahiih].
Lugha pekee inayo tambuliwa na Allah pamoja na mtume wake ni Kiarabu na hii ndio lugha Allah anayoitumia huko aliko.
Je, Allah anatumia lugha gani kuzungumza na Jehannam kama sio Kiarabu?
Mashetani na Majini yote yana Majina ya Kiarabu na lugha walio zungumza na Muhammad wakati wanasomewa Quran ni Kirabu. Hii ndio lugha ya Mashetani na Majini.
Sasa, kama Mashetani/Majini yote yatatupwa Jehannam, ni lugha gani watatumia kama sio Kiarabu?
AL-KASHIF- JUZUU YA ISHIRINI NA SITA Aya 29 – 32: Majini Wanasikilza Qur’an. Hapo juu tumesoma kuwa Quran iliteremshwa kwa Kiarabu, hivobasi haya Majini/mashetani yaliisikiliza Quran kwa Kiarabu.
Sasa tusome Sahih Hadith: Bukhari :: Kitabu 6 :: Juzuu 60 :: Hadith 371 Amehadithia Anas: Mtume wa Allah alisema, "watu watatupwa (Kuzimu) Jehannam na matokeo yake Jehannam itasema:" Je, kuna zaidi watu zaidi? (50.30) mpaka Allah atakapo weka mguu wake juu ya Kuzimu na Jehannam itasema, 'Qati! Qati! (Imetosha imetosha!) "
Hayo maneno ya inatosha inatosha "Qati Qati" Qati! Qati! (Enough Enough!) ni ya Kiarabu. KUMBE BASI JEHANNAM NAYO INATUMIA KIARABU.
Wakristo tunao jitambua hatuwezi kuwa Waislam maana hata lugha yao ni ya Jehannam.
Shalom.
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu. Tito 2:13

No comments:

WHY CHRISTIANITY IS BETTER THAN ISLAM?

Has Islam Improved to Become Better Than Christianity? Does Muhammad fulfill and complete the mission and purpose of Christ? Muhammad emphat...

TRENDING NOW