Friday, September 14, 2018

ALLAH ANASEMA SABATO NI SIKU YA IBADA

No automatic alt text available.
WAISLAM ANZENI KUSALI JUMAMOSI KABLA YA SURA ZENU KUGEUZWA KISOGONI
السبت
Youmul Al sabt . Swali langu , hapa Allah anasema siku ya saba inaitwa Siku ya Sabato ,
“Week” is أسبوع (usbūʿ), from سَبَع (sabaʿ) or “seven,” and “days of the week” is أيام الأسبوع (ayām al-usbūʿ).
AN-NISAAI 47: Enyi mlio pewa Kitabu! Aminini tuliyo yateremsha yenye kusadikisha yale mliyo nayo, kabla hatujazigeuza nyuso tukazipeleka kisogoni, au tukawalaani kama tulivyo walaani watu wavunjao Sabato (Jumaamosi). Na amri ya Mwenyezi Mungu ni lazima ifanyike.
AL - BAQARA 65. Na hakika mlikwisha yajua ya wale miongoni mwenu walio ivunja Sabato,(siku ya mapumziko, Jumaa Mosi) na tukawaambia: Kuweni manyani wadhalilifu.
Sabato ni sehemu ya sheria ya Agano La Kale na Wakristo wako huru kutoka kwa mkono wa sheria (Wagalatia 4:1-26; Warumi 6:14).
Wakristo hawatakiwi kuitunza Sabato hata kama iko siku ya Jumamosi au Jumapili.
Siku ya kwanza ya juma, siku ya Bwana (Ufunuo 1:10) za sherekea kiumbe kipya Kristo aliyefufuka akiwa kiongozi wetu.
Hatujaamrishwa kiufuata sheria ya Musa ya Sabato ya kustarehe, bali tuko huru kumfuata Kristo aliyefufuka. Mtume Paulo alisema kwamba kila Mkristo amue mwenyewe kama ataifuata Sabato, “Mtu mmoja afanya tofauti kati ya siku na siku; mwingine aona siku zote kuwa sawasawa. Kila mtu na athibitike katika akili zake mwenyewe” (Warumi 14:5). Twastahili kumwabudu Mungu kila siku, si Jumamosi pekee or Jumapili pekee.
Je anasema kweli au anadanganya?
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu. Tito 2:13

No comments:

WHY CHRISTIANITY IS BETTER THAN ISLAM?

Has Islam Improved to Become Better Than Christianity? Does Muhammad fulfill and complete the mission and purpose of Christ? Muhammad emphat...

TRENDING NOW