Friday, September 14, 2018

KUMBE ALLAH NA MUHAMMAD NI WASABATO

Image may contain: one or more people, text, nature and outdoor

WAISLAM WANAO VUNJA SABATO NI WADHALILIFU NA WATAGEUZWA MANYANI

Tusome aya ya Allah: 

AL - BAQARA 65: Na hakika mlikwisha yajua ya wale miongoni mwenu walio ivunja Sabato,(siku ya mapumziko, Jumaa Mosi) na tukawaambia: Kuweni manyani wadhalilifu.

Kama Allah anajua kuwa Siku ya Jumamosi ni ya mapunziko, iweje Waislam wa leo hawapumziki siku ya Jumamosi?

Kumbe Uislam ni USABATO na wanatakiwa kiutinza Jumamosi.

Kwanini Waislam wamekataa kuitunza Jumamosi?

Je, kuna ubaya wowote wa kuabudu siku ya Jumamosi, Sabato ya Wayahudi? La hasha! Tunapaswa kumwabudu Mungu kila siku, si tu Jumamosi au Jumapili! Makanisa mengi leo hii yana ibada ya Jumamosi na Jumapili. Kuna uhuru katika Kristo (Warumi 8:21; 2 Wakorintho 3:17, Wagalatia 5:1).

Yakobo 2:10 inasema mtu akiishika sheria yote, akajikwaa katika neno moja tu, amekosa juu ya yote.

NDIO MAANA YESU ALIIVUNJA SABATO: Wapendwa! hii ndiyo sababu iliyompelekea Bwana Yesu kuivunja sabato, baadhi ya sheria na hukumu zote; kwa kuwa ilikuwa ni huduma ya mauti (2 Wakorintho 3:7).

Shalom,

Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu. Tito 2:13

No comments:

WHY CHRISTIANITY IS BETTER THAN ISLAM?

Has Islam Improved to Become Better Than Christianity? Does Muhammad fulfill and complete the mission and purpose of Christ? Muhammad emphat...

TRENDING NOW