Wednesday, August 10, 2016

KUMBE ALLAH ANASWALI NA KUTAWAZA KAMA VIUMBE


Jamani eeeh, huu ni MSIBA kwa ALLAH:::::
Ndugu zetu wa kambo wanasema kuwa eti Allah ni Muislam. Basi leo hii mimi nimekubali kuwa Allah ni Muislam, lakini kuna mambo machache ningependa tuyaangalie:
ALLAH ANASWALI:
Quran 33: 56. Hakika Mwenyezi Mungu na Malaika wake wanamsalia Nabii. Enyi mlio amini! Msalieni na mumsalimu kwa salamuhttp://www.quranitukufu.net/033.html
Hapo Allah na Malaika wake wanamswalia Mtume Muhammad. Kumbe Allah na yeye anaswali kama viumbe.
Sasa tujiulize swali, hivi huyu Allah na Malaika wanaswali kwa Mungu yupi?
Hebu endelea kupata darsa
KABLA YA SWALA WAISLAM WOTE LAZIMA WATAWAZE
Kumbe Allah na yeye kabla ya swala lazima afanye "Taharah" ILI ATOWE "Najas".
Katika Surat Al-Ahzaab 33: aya ya 42. Na mtakaseni asubuhi na jioni.http://www.quranitukufu.net/033.html
Jamani eeeh, Allah wa dini ya Uislam anaomba kutakwaswa, sasa huyu Allah alichafuka lini?
Kumbe ndio maana Allah na yeye kabla ya Kumswalia Muhammad lazima atawadhe kama viumbe.
KATIKA BIBLIA, HESABU 8 17-18 tunasoma kuwa Mungu ndie anaye watakasa watu kinyume na Allah wa Quran anaye omba kutakaswa na watu wenye dhambi. Ndugu msomaji, huu ni MSIBA MKUBWA SANA KWA DINI YA MUHAMMAD YENYE ALLAH ANAYE OMBA ATAKASWE NA WATENDA DHAMBI.
Je, WAISLAM, mnaweza tuambia njia ambayo mnatumia kumtakasa Allah?
Kufuatana na Surah Al Baqara, Allah anapenda watu ambao wanajisafisha. Lakini kama kukiwa hakuna maji basi Muislam anarughusiwa kufanya Tayammum ambayo ni "wudu" na au "ghusl". Si mnajua tena kule kwa Allah hakuna maji....
MASWALI:
1. Kwanini Allah aswali kama viumbe?
2. Kwanini Allah afanye "tahara" ili kutoa Najis?
3. Ni uchafu gani huo allah huwa anatoa/usafisha?
4. Allah na malaika wake wanaomba kwa Mungu yupi?
MaSwali haya yameenda shule. Nategemea wafuasi wa Allah wataleta ayat kusaidia majibu zao bila ya Matusi.
KUMBUKA MATUSI NI DHAMBI.

Max Shimba, mtumwa wa Yesu Kristo 

No comments:

FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE

  **URGENT UPDATE**   **FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE** Shimba TV, New York has received distressing news ...

TRENDING NOW