Wednesday, July 19, 2017

KENYA: WAKRISTO 13 WAKATWA VICHWA NA MAGAIDI WA KIISLAM BAADA YA KUKATAA KUSEMA SHAHADA

Image may contain: one or more people and outdoor
Gazeti la "Morning Star News" limesema kuwa Wakristo 13 wamekatwa vichwa na Waislam wa siasa kali baada ya kugoma kusema Shahada ya Kiislam.
Magaidi hawa wenye asili ya Somalia walivamia vijiji viwili vya Jima na Kipini Ijumaa iliyo pita na kufanya haya mauwaji mabaya huku wakisema Allahu Wakbar.
Wafuasi hawa wa Muhammad waliwauwa Wakristo hao kwasababu waligoma kata kata kujiunga na dini ya Kiislam.

No comments:

JIWE JEUSI LA MAKKA

 

TRENDING NOW