Friday, July 21, 2017

ALLAH NA MUHAMMAD WAMESEMA WANAWAKE WOTE WA KIISLAM WATAINGIA JEHANNAM

Image may contain: one or more people and text

Allah amejaa chuki kubwa kwa Wanawake na kuwaandalia Jehannam kama nyumba yao ya maisha baada ya kifo. Zifiatazo ni Sahih hadith ambazo Muhammad anasema aliiona Jehannam imejaa Wanawake kuliko viumbe vingine wote.
Wengi wa viumbe wa Jehannam ni Wanawake wa kiislam kwasababu walikuwa hawana shukran kwa waume zao... (Sahih Bukhari, 1.2.28)
Wanawake wengi wapo Jehannam kwasababu wana upungufu na udhaifu wa akili ... (Sahih Bukhari, 1.6.301)
Wanawake wanao kuwa uchi hata kwa waume zao na kusababisha watende dhambi, hao wote wataingia Jehannam …(Sahih Muslim, 24.5310)
Mwanamke aliye uchi anaangusha Pazia la Allah na kumfanya Allah awaone wakiwa uchi… (Sunaan ibn Majah, 5.3750)
Mwanamke lazima avae Ushungi na Hijab hata kwa mwanaume kipofu [note 3532, vol. iii, p.1147]… (Sunaan Abu Dawud, 3.32.4100)
Nawakaribisha wanawake wote wa Kiislam kwa Yesu, yeye hana chuki kwenu bali alikuja kwa ajili ya wote.
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.

No comments:

JIWE JEUSI LA MAKKA

 

TRENDING NOW