Friday, June 22, 2018

MUHAMMAD ALIKUWA AMEPAGAWA NA MAJINI 80,000 MWILINI MWAKE

Image may contain: text
Na Daniel Mwankemwa
MUHAMMAD ALIKUWA AMEPAGAWA NA MAJINI 80,000 MWILINI MWAKE
"MAJINI 80,000 MWILINI MWA MUHAMMAD S.A.W"
Kwa bahati mbaya ni kwamba, watu wengi sana wakiwemo Waislamu, hawajui kwamba katika maisha yake Muhammad s.a.w, Mtume wa Waislamu, alikuwa amepagawa na majini yapatayo 80,000 yaliyokuwa yakimtawala, yakimuongoza, yakimuamuru na kumuelekeza.
Imeandikwa,
“Waanazuoni hao wanaendelea kusema kwamba Muhammad alipohubiri Uislamu, Mungu akamtumia Jibrili kwa sababu aliona anafanya kazi mbaya. “Uende kwa Wakristo kujifunza uwe Mkristo.” Alikataa kwa sababu ndani yake majini walimkataza kwenda kuokoka, yaani, kuwa Mkristo.
Ujumbe wa Jibril haupati nafasi kumwingia Muhaamd kwa sababu majini walikuwa wameziba kila sehemu. Rohoni walikaa majini 40,000 asipokee ujumbe na maneno ya Mungu; akilini walikaa majini 30,000 na machoni majini 10,000. Baada ya kutawaliwa sehemu hizo Muhammad hakuwa tayari kusikiliza ujumbe wowote kutoka kwa Mungu.”
-UTUOKOE NA YULE MWOVU, ULIMWENGU WA MAJINI, JOSHUA KANANI CHABU-GRADUATED FROM AL-AZHAR UNIVERSITY CAIRO, UK.28
Je vipi kuhusu waumini kuingiliwa na majini!
Kwa mujibu wa Kitabu hicho hicho,Waumini wanawake wa Kiislamu wanapokwenda msikitini huungiliwa na majini hayo.
Katika ukurasa wa 34 kinaeleza kazi mojawapo ya jinni aitwaye Arafu.
Imeandikwa,
“Kazi ya kufurahisha akina mama
Akina mama Mwislamu akishika sawasawa imani yake ya Kiislamu anaweza kuingiliwa na ‘jini mwanamume’ anafurahi sana, hata siku 30 hatamani mume wake. Jini huyu ndiye mmojawapo wa wale waliomwingia wakati wa kusilimishwa. Mwanamke akisali msikiti anakaa bila chupi. Desturi hiyo imetoka zamani kabisa na ina masimulizi yake, kwa mfano Aish aliizungumza. Baba amheshimu mwanamke ambaye aliingiliwa na jinni. Majini wanawake pia wapo kwa ajili ya kuwafurahisha wanaume.”
Muhammad s.a.w na Waislamu wameishi/wanaishi kipindi cha baada ya Yesu Kristo (570-632 (B.K).
Yesu Kristo alipokuwa hapa duniani moja ya utume aliowapa Mitume wake ni kutoa watu majini (mapepo). Imeandikwa,
“Pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure.” (Math 10:8)
Tena imeandikwa,
“1 Wakafika ng'ambo ya bahari mpaka nchi ya Wagerasi.
2 Na alipokwisha kushuka chomboni, mara alikutana na mtu, ambaye ametoka makaburini, mwenye pepo mchafu;
3 makao yake yalikuwa pale makaburini; wala hakuna mtu ye yote aliyeweza kumfunga tena, hata kwa minyororo;
4 kwa sababu alikuwa amefungwa mara nyingi kwa pingu na minyororo, akaikata ile minyororo, na kuzivunja-vunja zile pingu; wala hakuna mtu aliyekuwa na nguvu za kumshinda.
5 Na sikuzote, usiku na mchana, alikuwako makaburini na milimani, akipiga kelele na kujikata-kata kwa mawe.
6 Na alipomwona Yesu kwa mbali, alipiga mbio, akamsujudia;
7 akapiga kelele kwa sauti kuu, akasema, Nina nini nawe, Yesu, Mwana wa Mungu aliye juu? Nakuapisha kwa Mungu usinitese.
8 Kwa sababu amemwambia, Ewe pepo mchafu, mtoke mtu huyu. 9 Akamwuliza, Jina lako nani? Akamjibu, Jina langu ni Legioni, kwa kuwa tu wengi.10 Akamsihi sana asiwapeleke nje ya nchi ile.11 Na hapo milimani palikuwa na kundi kubwa la nguruwe, wakilisha.12 Pepo wote wakamsihi, wakisema, Tupeleke katika nguruwe, tupate kuwaingia wao. 13 Akawapa ruhusa. Wale pepo wachafu wakatoka, wakaingia katika wale nguruwe; nalo kundi lote likatelemka kwa kasi gengeni, wakaingia baharini, wapata elfu mbili; wakafa baharini.” (Marko 5:1-13)
Ninajiuliza, ilikuwaje Muhammad s.a.w alikubali kuendelea kuteseka na majini hayo 80,000 mpaka anakufa badala ya kwenda kwa Wakristo kuombewa ili yamtoke na kuwa huru?
Tena inakuwaje Waislamu wanawake wanamkataa Yesu wakati wako katika hatari ya kuingiliwa na majini? Je, wanapovua nguo zao za ndani msikitini, wanajua wanamvulia nani?
Ninajiuliza sana, na ninapenda na wewe ujiulize sana kuhusu hali hii.
Shalom
Max Shimba Ministries Org.

No comments:

WHY CHRISTIANITY IS BETTER THAN ISLAM?

Has Islam Improved to Become Better Than Christianity? Does Muhammad fulfill and complete the mission and purpose of Christ? Muhammad emphat...

TRENDING NOW