Wednesday, June 6, 2018

QURAN NA BIBLIA VYATHIBITISHA UISLAM NI DINI YA USIKU WA GIZA

Image may contain: one or more people and text
Maana ya lailatul Qadri kisheria ni: USIKU wa cheo wenye baraka unao patikana katika siku za witri ndani ya kumi la mwisho la mwezi mtukufu wa ramadhani. Ni USIKU ambao imeshuka ndani yake Qur ani.
( إِنَّا أَنزَلْنَاهُ فِي لَيْلَةِ الْقَدْرِ )
القدر (1) Al-Qadr
Hakika Sisi tumeiteremsha Qur'ani katika Laylatul Qadri, USIKU wa Cheo Kitukufu.
Hivi kwanini Allah anapenda sana kufanya mambo yake USIKU na sio MCHANA?
Kufanya ibada ndani ya USIKU huu ni bora kulikoni miezi elfu moja: (Laylatul Qadri ni bora kuliko miezi elfu) Qur ani 97:3
Biblia inakujibu kuwa Shetani ni Mkuu wa Giza na huyo ndie aliye iteremsha Quran wakati wa USIKU/GIZA.
Waefeso 6: 12 “Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa GIZA hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.”
YESU ANASEMAJE KUHUSU NURU?
YOHANA 3:19
19: Na hili ndiyo hukumu; ya kuwa NURU imekuja ulimwenguni na watu wakapenda giza kuliko nuru; kwa maana matendo yao yalikuwa maovu. 20 Maana kila mtu atendaye mabaya uichukia nuru, wala haji kwenye nuru, matendo yake yasije yakakemewa.
WAEFESO.6:10-14
Uamuzi ni wako, kumfuata Allah anaye abudiwa USIKU au KUIFUATA NURU ambayo ni kumfuata Yesu Kristo Mungu Mkuu.
BIBLIA inatuonya kuwa watu watapenda GIZA/USIKU kuliko NURU.
IKUBALI NURU NA IKANE GIZA/USIKU AMBAO NI UISLAM.
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu. Tito 2:13

No comments:

WHY CHRISTIANITY IS BETTER THAN ISLAM?

Has Islam Improved to Become Better Than Christianity? Does Muhammad fulfill and complete the mission and purpose of Christ? Muhammad emphat...

TRENDING NOW