Friday, June 8, 2018

IWEJE MUSA ABATIZWE NA AWE MUISLAM?

Image may contain: 1 person, text
MUSA NA WANA WAISRAEL WOTE WALIBATIZWA NA HAWAKUWA WAISLAM.
1 Wakorintho Mlango 10: 1 Kwa maana, ndugu zangu, sipendi mkose kufahamu ya kuwa baba zetu walikuwa wote chini ya wingu; wote wakapita kati ya bahari;
2 wote wakabatizwa wawe wa Musa katika wingu na katika bahari;
3 wote wakala chakula kile kile cha roho;
4 wote wakanywa kinywaji kile kile cha roho; kwa maana waliunywea mwamba wa roho uliowafuata; na mwamba ule ulikuwa ni Kristo.
Aya hapo juu zinatuthibitishia kuwa wote walio kuwa na Musa, akiwemo, Haruni, Maryam, Joshua, na wengine wote walibatizwa. Sasa imani gani inabatiza watu?
Shalom,
Max Shimba Mtumwa wa Yesu Kristo, Mungu Mkuu. Tito 2:13

No comments:

WAS MUHAMMAD PROPHESIED IN THE BIBLE?

SURAH 61:6 Muslims believe that the coming of Muhammad was foretold in the Bible. For centuries, Muslims have tried to find predictions of t...

TRENDING NOW