Friday, June 8, 2018

MUSA ALIKUWA NA KANISA JANGWANI

Image may contain: ocean, text and outdoor
Kwa wale walio kuwa hawafahamu kuhusu Makanisa. Musa alikuwa analo lake Jangwani.
Matendo 7: 37 Musa huyo ndiye aliyewaambia Waisraeli, Bwana Mungu wenu atawainulieni nabii, katika ndugu zenu, kama mimi; msikieni yeye. 
38 Yeye ndiye aliyekuwa katika Kanisa jangwani pamoja na yule malaika aliyesema naye katika mlima wa Sinai, tena pamoja na baba zetu; ndiye aliyepokea maneno ya uzima atupe sisi.https://www.wordproject.org/bibles/sw/44/7.htm
Njooni Kanisani tumwabudu Yesu Mungu Mkuu. Tito 2:13
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu.

No comments:

JIWE JEUSI LA MAKKA

 

TRENDING NOW