Friday, July 14, 2017

MUHAMMAD ALIPAKA WANJA KAMA WANAWAKE


Image may contain: 1 personSunan Ibn Majah, Hadith Na 309 Muhamad pia alikuwa anatembea Na KIOO Na WANJA,
Ukisoma maisha ya Muhamad kipengele cha Mavazi Na 26 "Muhammad alikuwa na Kitana Cha Pembe Akichania Nywele Zake, alikuwa na Mafuta Na ALIKUWA NA KIOO akijitazama na KICHUPA CHA WANJA ambao akijitia usiku usiku kabla ya kulala na alipenda sana kutumia Manukato..."
Sio Kawaida Mwanaume KUJIPAKA WANJA
MSIBA MZITO SANA HUU KWA MWANAUME KUJIPAKA WANJA NA PODA.

No comments:

 

TRENDING NOW