Sunday, September 10, 2017

UNAFAHAMU KUWA NABII WA WASABATO ELLEN G. WHITE JUMLA YA GEMATRIA YAKE NI 666?

Image may contain: text
Nini maana ya 666?
Katika Ufunuo sura ya 13, namba 666 hubainisha mtu, si tarehe. Ufunuo 13:18 inatuambia, "Hapa ndipo penye hekima. Yeye mnyama huyo; maan ni hesabu ya sita, sitini na sita. Kwa karne silizopita watafsiri wa Biblia wamekuwa wakijaribu kutambua baadhi ya watu wenye 666. Hakuna kubaliano kamili. Hiyo ndio sababu Ufunuo 13:18 inasema namba hii inahitaji hekima.
Sasa tangia 666 ni namba la jina lake huyu mnyama aliye tajwa kwenye Kitabu cha Ufunuo, hebu tuangalie kama jina la ELLEN G WHITE, nabii na mwanzilishi wa dhehebu la Wasabato anakidhi hii namba.
Sasa tuangalia GEMATRIA ya jina lake:
Ellen = L+L=100,
Gould = U+L+D = 555,
White = a double 'U' = 2 'V's +1 = 11.
Jumla ya hizo namba hapo juu tunapata 100 + 555 + 11 = 666
Hivyo basi, Ellen Gould White, mwanzilishi wa "Seventh Day Adventist" ana jumla ya namba 666. Mimi simuhukumu Ellen G White bali nawaonyesha tu wasomaji na mfanye maamuzi yenu wenyewe.
ELLEN GAULD WHITE.
L=50
L=50
E=
N=
G=
A=
U=5
L=50
D=500
W=10
H=
I=1
T=
E=
Jumla ni 666
Hebu sasa twende mbele zaidi na tuangalia kauli mbiu ya Wasabato, je, na yenyenewe inakidhi namba 666 kama ilivyo kwa Ellen G White?
CURE VITAL SEVENTH DAY.
C=100
U=5
R=
E=
V=5
I=1
T=
A=
L=50
S=
E=
V=5
E=
N=
T=
H=
D=500
A=
Y=
Jumla ni 666
Huyu ndie nabii mwanamke wa Wasabato na mmilki wa namba 666 aliyetabiriwa katika kitabu cha Daniel na Ufunuao Daniel 9:27 17:5, 13:18.
Huu ni mtindo wa manabii wa kiyahudi ujulikanao GEMATRIA yaani kukuokotia herufi kwenda namba.
Je, mnakata niweke na thibitisho la kujiita sauti ya Mungu alilo lidai Ellen G White kuwa ni 666?
USIKOSE "ELLEN G WHITE 666"
Shalom
Max Shimba mtumwa wa Yesu Krito, Mungu Mkuu na Mwokozi wetu.

4 comments:

Ellen G. White said...

Napenda sana unavyomchambua shetani ellen g white. Naomba utupatie na misalaba yao na sanamu zao ambazo wanaabudu huko makao makuu yao Amerika na picha za kahaba elle g white.

Ellen G. White said...

Napenda sana unavyomchambua shetani ellen g white. Naomba utupatie na misalaba yao na sanamu zao ambazo wanaabudu huko makao makuu yao Amerika na picha za kahaba elle g white.

Ellen G. White said...

Napenda sana unavyomchambua shetani ellen g white. Naomba utupatie na misalaba yao na sanamu zao ambazo wanaabudu huko makao makuu yao Amerika na picha za kahaba elle g white.

Ibrahim said...

Kuna kitu sijaelewa.
Ni lugha ipi hasa imetumika kuweka hizo namba hapo.
Kwanini baadhi ya herufi hazina tarakimu na nyingine zinazo?
Naomba uchanganuzi tafadhali

WHY CHRISTIANITY IS BETTER THAN ISLAM?

Has Islam Improved to Become Better Than Christianity? Does Muhammad fulfill and complete the mission and purpose of Christ? Muhammad emphat...

TRENDING NOW