Wednesday, July 11, 2018

DADA ZANGU NI VIZURI KAMA MKIYAFAHAMU HAYA..!

Image may contain: 2 people, people smiling, people standing


👉 Mwili wako sio Maonesho, kila mwanaume auone.
👉 Mwili wako sio Mdoli kila mwanaume Auchezee.
👉 Mwili wako sio dampo, upokee kila uchafu wa mwanaume.
👉 Mwili wako sio Mali ya umma kila mwanaume akutumie.
👉 Mwili wako sio kiburudisho, kila mwanaume Ajiridhishe.
👉 Mwili wako sio pazia la Sebuleni, kila mwanaume Akufunue.
👉 Mwili wako sio karanga za kutembezwa mtaani kila mwanaume
Akuonje Utamu wako.
******************************************************
🔹 Mwili wako ni wa Thamani sana. Mwili wako ndio utu wako.
🔹 Ebu Tunza Mwili wako nao Ukutunze. Uheshimu Mwili wako nao Utakuheshimisha.
🔹 Si kila mtu wa kuushika Mwili wako. Usitumie Mwili wako kama kitega uchumi, Usitumie Mwili wako kama dhamana ya kupata vile unavyohitaji.
🔹 Usitumie Mwili wako kama Njia ya kupata Mume Atakayekuoa. Kama Mungu amepanga Uolewe utaolewa tu
dada yangu hata bila ya kufunua Sketi yako. Muamini Mungu Yeye ndiye aliyeshikilia maisha yako.
🔹 Kuna mtu mmoja tu anayestahili kuugusa Mwili wako, kuuona Mwili wako, kuujua Uzuri wako.. Msubiri, Usiwe na Haraka, Mungu atamleta kwako. Endelea Kusubiri.
🔹 JITUNZE, JITHAMINI, JIKUBALI NA JIAMINI..!
SHARE NA WENGINE

No comments:

JIWE JEUSI LA MAKKA

 

TRENDING NOW