Tuesday, July 3, 2018

WAPAGANI WA KALE WALISWALI HUKU WAKIANGALIA MNARA WA NEBUKADREZA

Image may contain: one or more people, crowd and outdoor
UNAJUA KWANINI WAISLAM WAKISWALI WANAAGALIA QIBLA?
Huu utamaduni ulianzishwa na Mfalme Nebukadneza wa kusujudu sanamu, Muhammad na yeye akaendeleza utamaduni wa Wapagani wa Kikureshi wa kusujudu Jiwe la Aswad.
Msingi wa hili somo ni Daniel 3:1-30.
Siku Moja Mfalme Nebukadneza alitengeneza sanamu kubwa sana ya dhahabu ambayo urefu wake ulikuwa ni dhiraa sitini, na upana wake dhiraa sita; akaisimamisha katika uwanda wa Dura, katika wilaya ya Babeli. Kisha akatuma watu kuwakusanya maamiri, na manaibu, na maliwali, na makadhi, na watunza hazina, na mawaziri, na mawakili, na wakuu wa wilaya zote, ili wahudhurie wakati wa kuizindua ile sanamu, ambayo aliyoisimamisha.
Akamwamuru mpiga mbiu kwamba awapigie kelee watu wa kabila zote na taifa na lugha kwamba wakati watakapoisikia sauti ya panda, na filimbi, na kinubi, na zeze, na santuri, na zomari, na namna zote za ngoma, lazima kuanguka na kuiabudu sanamu ya dhahabu, ambayo mfalme Nebukadreza ameisimamisha. Ikatolewa tangazo kwamba kila mtu asiyeanguka na kuabudu atatupwa saa iyo hiyo katika tanuru ya moto uwakao. SOMA DANIEL 3: 4-7
Hivyo Basi watu wote chini ya Mbingu walipoisikia sauti ya panda na filimbi, na kinubi na zeze na namna zote za ngoma wakaanguka kuisujudia ile sanamu ambayo Mfalme aliisimamisha. Lakini Marafiki zake Daniel ambao ni Shedrak na meshak na Abednego walikataa kuisujudia ile sanamu ya mfalme wakawa wakali wamesimama. Ndipo wakaldayo wakawashtaki hao wayahudi watatu kwamba wameikaidi amri ya Mfalme. https://www.facebook.com/MaxShimbaMini…/…/kitabu-cha-daniel-(sehemu-ya/696429353840003/
ALLAH ANAWAAMRISHA WAISLAM WOTE WAANGALIE QIBLA KAMA AMBAVYO NEBUKADREZA ALIVYO FANYA KWA WABABILONI. ALLAH YEYE ANATUMIA ADHANA KUWAKUMBUSHA WAISLAM, KAMA AMBAVYO NEBUKADREZA ALITUMIA KENGERE NA TARUMBETA. HUU NI UPAGANI WA KISHETANI.
Anasema tena Allaah (Subhaanahu wa Ta‘ala):
“Na popote unapoanza (kwa Swalah), geuza uso wako kuelekea Masjidul-Haraam, na popote mutakapo kuwa elekezeni nyuso zenu huko (Makkah mutakapo kuwa mnaswali)… ” (2: 150).
LAKINI WATU WENYE AKILI WALISEMA HIVI KWA MUHAMMAD:
“Bila shaka, Swalah za Waislamu kwa miaka yote iliyopita zimepotea na hawatapata thawabu zozote, kwani hazikufanywa kwa kuelekea katika Qiblah kilicho sahihi”. Akajibu Allaah (Subhaanahu wa Ta‘ala): “Na Allaah hatazifanya imani zenu kupotea bure”. (2: 143)
Waislam hawapati thawabu yeyote ile kusujudia Qibla kila siku, maana huo ni utamaduni wa WAPAGANI tokea wakati wa Nebukadreza Mflame wa Babiloni.
Shadraka, na Meshaki, na Abednego walikataa kusujudia mnara wa dhahabu kama ambavyo Wakristo wa leo tumekataa kuswali huku tunaangali Qibla. Huu utamaduni ni wa Kipagani na kamwe hautoki kwa Mwenyezi Mungu.
Hakika Uislam ni upagani ulio boreshwa na mwisho wake ni Jehannam.
Mungu yupo kila mahali na kamwe haishi Makka. Daudi anamtaja Mungu na au anamwita Mungu kuwa ni Roho. Hii sifa ya kuwa kila mahali ni ya Mungu pekee, na katika Zaburi 139: 7-8, tumesoma kuwa, Roho Mtakatifu yupo kila mahali. Tuendele na ushahidi zaidi wa kuwa kila mahali; katika Wakorintho wa Kwanza, hapa Mtume Paulo anasema yafuatayo 1 Wakorintho 2 aya ya 10 Lakini Mungu ameyajulisha kwetu kupitia Roho wake mtakatifu.
YESU YUPO KILA MAHALI ,KOTEKOTE DUNIANI
MATHAYO 18:20 “Kwa kuwa walipo wawili watatu,wamekusanyika kwa jina langu,mimi nipo papo hapo katikati yao”. Mwenye uwezo wa kukaa mahali pote ni Mungu.
NDIO MAANA UKRISTO NI ZAIDI YA UISLAM WENYE ALLAH ANAE ISHI QIBLA PEKE YAKE, LAKINI YESU MUNGU MKUU YUPO KILA MAHALI.
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu. Tito 2:13

No comments:

WHY CHRISTIANITY IS BETTER THAN ISLAM?

Has Islam Improved to Become Better Than Christianity? Does Muhammad fulfill and complete the mission and purpose of Christ? Muhammad emphat...

TRENDING NOW