Sunday, February 12, 2017

ISHMAEL HAKUWA MWARABU WALA MUISLAM

Image may contain: text
UTHIBITISHO WA KIHISTORIA NA IMANI UNATHIBITISHA KUWA MUHAMMAD HANA UNDUGU NA ISHMAEL ZAIDI YA KUMPAPATIKIA TU.
ALLAH HAKUWAI ONGEA NA ISHMAEL HATA MARA MOJA
WAISLAMU WAMEKUWA WAKIMTETEA ISHMAEL KWA KUTUMIA BIBLIA!
HAKUNA AYA ALLAH ANASEMA KUWA ISHMAEL NI MUISLAM.
KUMBE UISLAM NI DINI YA KUTUNGA TUNGA TU.
Ndugu msomaji,
Waislam wamekuwa na tabia ya kumng'angania Ishmael na kudai eti ni ndugu ya Muhammad wa Waislam. Lakini tukisoma vitabu vya Mungu na historia, hakuna hata sehemu moja tunasoma kuwa Ishmael ambaye Mama yake alikuwa Mwafrika alikuwa na undugu na Muhammad wa Waislam.
Hebu tusome ushahid huu hapa:
Mwanzo 21: 14 Ibrahimu akaamka asubuhi na mapema akatwaa mkate na kiriba cha maji, akampa Hajiri akimtwika begani pake, na kijana, akamruhusu; naye akatoka, akapotea katika jangwa la Beer-sheba.
15 Yale maji yakaisha katika kiriba, akamlaza kijana chini ya kijiti kimoja.
16 Akaenda akakaa akimkabili, mbali naye kadiri ya mtupo wa mshale; maana alisema, Nisimwone kijana akifa; naye akakaa akimkabili, akapaza sauti yake, akalia.
17 Mungu akasikia sauti ya kijana. Malaika wa Mungu akamwita Hajiri kutoka mbinguni, akamwambia, Una nini, Hajiri? Usiogope, maana Mungu amesikia sauti ya kijana huko aliko.
18 Ondoka, ukamwinue kijana, ukamshike mkononi mwako, kwa kuwa nitamfanya kuwa taifa kubwa.
19 Mungu akamfumbua macho, naye akaona kisima cha maji; akaenda akakijaza kiriba maji, akamnywesha kijana.
20 Mungu akawa pamoja na huyo kijana, naye akakua, akakaa katika jangwa, akawa mpiga upinde.
21 Akakaa katika jangwa la Parani; mama yake akamtwalia mke katika nchi ya Misri.
KATIKA AYA YA 21 KITABU CHA MWANZO SURA YA 21, tunajifunza kuwa MKE WA ISHMAELI ALITOKA AFRIKA NA HAKUWA MWARABU.
Ndugu zanguni, UISLAM NI DINI YA KUTUNGWA TUNGWA TU. Haina mbele wala nyuma zaidi ya kuupapatikia Ukristo na Uyahudi.
UISLAM HAUFUNDISHIKI BILA YA UKRISTO. ALLAH HAWEZI KUWEPO BILA YA YEHOVA. MUHAMMAD HAWEZI KUJIITA MTUME BILA YA KUWEPO KWA MUNGU YESU.
ISHMAEL WA WAISLAM HAWEZI KUFUNDISHIKA BILA YA WAISLAM KUIBIA NA KUTUMIA BIBLIA ILIYO KAMILIKA NA KUKOSA SHAKA NDANI YAKE.
ZAIDI YA HAPO, hakuna ushahidi wa kuthibitishika kuwa Ishmael alimuoa Jurhumite, Biblia takatifu imetuthibitishia kuwa Ishmael alimuoa Mwanamke kutoka Misri, Afrika.
SOMA USHAHIDI MWINGINE HAPA:
Mwanzo 25: 12 Hivi ndivyo vizazi vya Ishmaeli, mwana wa Ibrahimu, ambaye Hajiri, Mmisri, mjakazi wa Sara, alimzalia Ibrahimu.
13 Na haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, kwa majina yao, na kwa vizazi vyao. Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, ni Nebayothi, na Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu,
14 na Mishma, na Duma, na Masa,
15 na Hadadi, na Tema, na Yeturi, na Nafishi, na Kedema.
16 Hao ndio wana wa Ishmaeli, na hayo ni majina yao, katika miji yao, na katika vituo vyao, maseyidi kumi na wawili kwa kufuata jamaa zao.
17 Na hii ndiyo miaka ya maisha ya Ishmaeli, miaka mia na thelathini na saba. Akakata roho, akafa, akakusanyika kwa watu wake.
18 Wakakaa toka Havila mpaka Shuri, unaoelekea Misri, kwa njia ya kwenda Ashuru. Akakaa katikati ya ndugu zake wote.
Tumesoma kuwa watoto wa Ishmael waliishi mpakani mwa Misri na sio kwenye nchi za Uarabuni au Saudi Arabia.
Sasa kwanini Waislam wanampapatikia Ishmaeli?

Waislam wanamlilia Ishmael ili waweze kuunganisha undugu na Ibrahim ambaye ni baba ya Isaka. Muhammad alijua kuwa, kama akisema hana undugu na Ibrahim, hakuna mtu angefuata dini yake bandia ya Uislam.
ALLAH HAKUWAI ONGEA NA ISHMAEL HATA MARA MOJA
WAISLAMU WAMEKUWA WAKIMTETEA ISHMAEL KWA KUTUMIA BIBLIA!
HAKUNA AYA ALLAH ANASEMA KUWA ISHMAEL NI MUISLAM.
WANAZIDI KUTUHAKIKISHIA KUWA QURAN NI KITABU CHENYE SHAKA!
1. Hakuna kokote kule kwenye Quran panaponyesha kuwa ALLAH alisema na Ishmael! Wala hakuna kokote kwenye kitabu hicho panaposema eti Allah alimfanya kuwa taifa kubwa na kwamba atazaa maseyyidina 12!
2. HAKUNA KOKOTE KWENYE BIBLIA PANAPOONYESHA KUWA MAREHEMU MUHAMMAD ALITOKA KWENYE UZAO WA ISHMAEL ACHILIA MBALI NA JINA LAKE KUTOTAJWA!
KWA KUWA WANATEGEMEA BIBLIA, WATUELEZE KATI YA ISAKA NA ISHMAEL NANI ALITOLEWA NA IBRAHIMU KUWA SADAKA YA KUTEKETEZWA?
(Mwanzo 22:1-18)
BILA SHETANI KUPOTOSHA MAANDIKO YA BIBLIA UISLAMU HAUHUBIRIKI!!
KUMBE UISLAM NI DINI TEGEMEZI.
Sasa Waislam. Nijibuni MASWALI YAFUATAYO:
1. Lete uthibitisho wa kihistoria kabla ya kuzaliwa kwa Muhammad kuwa Ishmael alikuwa Muislam.
2. Leteni uthibitisho ulio kuwepo kabla ya Quran na Muhammad kuwa Ishmael alikuwa Muislam.
3. Leteni uthibitisho wa Allah akiongea na Ishmael.
4. Kwanini Waislam mnatumia Biblia msio iamini kumtetea Ishmael?
MKINIPA MAJIBU KWA AYA ZA QURAN NA BILA YA MATUSI, LEO HII NITASILIMU NA KUWA MUISLAM.
Ni mimi Max Shimba, mtumwa wa Yesu Kristo
For Max Shimba Ministries Org.
Other references:
The Encyclopedia of Religion, Vol. 7, pg. 296 where the connection between the Midianites and the Ishmaelites is noted.
The Shorter Encyclopedia of Islam, pgs. 178-179.
A Popular Dictionary of Islam, p. 127.
[1][i] Halabieh, I, page 93 ; comments on Ibn Hisham, page m
[2][ii] Halabieh I, page 36
[3][iii] Masudi, Muruj al-Thahab, Beirut-Lebanon, 1991, II, pages 280-282
[4][iv] Halabieh, I, page 35, 36
[5][v] Tarikh al-Tabari, I , page 127
[6][vi] Tarikh al-Tabari, I, page 127
[7][vii] Tarikh al-Tabari, I, page 127
[8][viii] Diwan Ummiah bin Abi al-Salt, ( Beirut-1938), page 58
[9][ix] Tarikh al-Tabari, I, page 128
[10][x] Tarikh al-Tabari, I, page 128
[11][xi] Tarikh al-Tabari, I, page 516
[12][xii] K.A. Kitchen, Documentation For Ancient Arabia, Part I, pages 90-222
[13][xiii] Diwan Ummiah, page 26
[14][xiv] Tarikh al-Tabari, I, page 429
[15][xv] Sahih al-Bukhari, I, page 92
[16][xvi] Ibn Hisham, 2, page 32; Halabieh, 2, page 91
[17][xvii] Sahih al-Bukhari, 4, page 125

No comments:

 

TRENDING NOW