Thursday, December 14, 2017

KUMBE MASHIA NI MAKAFIRI NA SIO WAISLAM

Image result for shia vs sunni
Dini ya Waislam huwa wanajigamba wapo zaidi ya Watu Bilioni 1.6. Namba hii huwa inajumlisha dhehebu la Mashia, ambao sasa wanaitwa Makafiri na kutengwa kutoka Uislam. Mashia wapo karibia Milioni 350. Hivyo basi kwa hesabu ya haraka haraka Waislam bila ya Shia ni watu Bilioni 1.25. https://en.wikipedia.org/wiki/Islam_by_country
JE, MASHIA WANASEMA NINI KUHUSU UISLAM?
1. SHIA WANASEMA QORAN INA AYA ELFU KUMI NA SABA:
Mashia hawaikubali Qor'an bali wanadai kuwa Qor'an hii ina upungufu na imebadilishwa na ina khitilaf na shaka ndani yake, hebu tuyatazame hayo wakiyazungumza wenyewe :
يروي الكليني عن جعفر الصادق أنه قال :"إن القرآن الذي جاء به جبرائيل إلى محمد سبعة عشر ألف آية. "(الكافي 634/1).
*Amepokeya Al'kulayniy kutoka kwa Jaafar As'waadiq yakuwa kasema :"Hakika Qor'an alokuja nayo Jibriil kwa Muhammad swalallahu alayhi wasalama ina aya elfu kumi na saba *"*
*(Tizama kitabu Al'kaafii 1/634)*
Bila shaka huu ni utatanishi ukilinganisha na Sunni wanao dai kuwa Qor 'an ambayo wanayo haizidi aya elfu sita ila kidogo, sasa hiyo ya mashia ina aya elfu kumi na saba, sasa sijuwi Qoran ipi ni sahihi. Huu ni Msiba Mkubwa sana. Soma kijarida cha http://maxshimba.blogspot.com/…/allah-ateremsha-matoleo-ish…
2. MASHIA WANASEMA SUNNI NA MUHAMMAD WAMEKIPOTOSHA KITABU CHA ALLAH, JE HAYA MADAI NI KWELI?
و قال أبو جعفر الباقر :أما كتاب الله حرفوا،..."(بصائر الدرجات لمحمد الصفار 17/8).
*Na akasema imamu wao Abu Jaafar Al'baaqir :"Ama kitabu cha Allah wakakipotosha. "*
*(Tizama kitabu Baswaa'iru Ad'darajaati cha Muhammad as'swafaar 8/17)*
يروي ابن بابويه القمي :"أن يجيء يوم القيامة ثلاثة يشكون ،فذكر منها :المصحف ،يقول المصحف :يا رب حرفوني و مزقوني.. "(الخصال ص 83).
*Alipokeya ibnu Baabawaihi Al'qumiy :"Vitakuja vitu vitatu siku ya kiyama vikilalamika na kushtaki, wakataja ndani ya vitu hivyo Mus'haafu, kuwa Mus'hafu utaema :Ewe mola,wamenipotosha na wakanichana. "*
*(Tizama kitabu Al'khiswaalu UK. 83)*
و يقولون عن مصحف فاطمة ،أن فيه مثل قرآنكم هذا ثلاث مرات،والله ما فيه من قرآنكم حرف واحد. "(الكافي 329-1/340)
*Pia mashia wakasema kuusu mus'hafu wanao uwamini wao unaitwa faatwima, kuwa ndani ya mus'hafu huo kuna mfano wa mis'hafu mitatu ya kiSunni, pia wakaapa, wallah, katika mus'hafu wenu nyie waislam hamna herufi hata moja. "*
*(Tizama kitabu Al'kaafii 1/329-340)*
Angalia kijarida cha waandishi wa Quran: http://maxshimba.blogspot.com/…/kumbe-koran-haikuteremshwa-…
MAELEZO YA MWANDISHI :
Waislamu, katika mlango huu kuna hadith nyingi za Shia zinazodai kuwa Sunni wamebadili Qor an na kuipotosha pia wanadai kuwa Qor an ya ukweli ilokamilika inaitwa Faatwima alienda nayo Imamu wao wa kumi na mbili na siku atakuja ndo atakauja nayo.
Hivyo basi Qoran walio nayo Sunni haikukamilika, hivyo basi madai ya Allah kusema katika qor an kuwa hii qor an haina shaka ndani yake ni ya Uongo na Qoran ya Muhammad inakuwa Bandia.
Je tutauamini vipi Uislam unao pingana wenyewe kwa wenyewe? Kati ya Shia na Sunni ni nani mwenye haki ya kuithibitisha Quran.
SOMA:
KWANINI ALLAH ANAWAAMINI WAKRISTO KATIKA KUTHIBITISHA QURAN ZAIDI YA WAISLAM?
( فَإِن كُنتَ فِي شَكٍّ مِّمَّا أَنزَلْنَا إِلَيْكَ فَاسْأَلِ
الَّذِينَ يَقْرَءُونَ الْكِتَابَ مِن قَبْلِكَ ۚ لَقَدْ جَاءَكَ الْحَقُّ مِن رَّبِّكَ فَلَا تَكُونَنَّ مِنَ الْمُمْتَرِينَ )
يونس (94) Yunus
Na ikiwa unayo shaka katika tuliyo kuteremshia, basi waulize wasomao Kitabu kabla yako (Wakristo). Kwa yakini imekwisha kujia Haki kutoka kwa Mola wako Mlezi. Basi usiwe miongoni mwa wenye shaka.
Allah anamwambia Muhammad kama ana shaka basi awaulize wasomao Kitabu kabla yake. Yaani awaulize Wakristo wasomao Injili, Zaburi, na Torati.
Sasa wewe Muislam unatumia mamlaka gani au aya gani kubisha unayo fundishwa na Wakristo?
Shalom
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu.

No comments:

WAS MUHAMMAD PROPHESIED IN THE BIBLE?

SURAH 61:6 Muslims believe that the coming of Muhammad was foretold in the Bible. For centuries, Muslims have tried to find predictions of t...

TRENDING NOW