Friday, September 2, 2016

MUHAMAMD NA ALLAH WAVUNJA TORATI KWA KURUHUSU KULA NYAMA YA NGAMIA NA KUNYWA MIKOJO NA MAZIWA YA NGAMIA


Eti kula Nguruwe ni haram lakini wanakula Fisi na Mijusi. Eti kula nguruwe ni haram lakini wanakula NGAMIA. Huu ni msiba.
Swali la kujiuliza, kama kweli Yehova Mungu wa Musa ndie huyo huyo Allah wa Waislam, kwanini WAISLAM wanapinga aya ya kula NGAMIA? Mambo ya Walawi 7: 4 Pamoja na hayo, wanyama hawa hamtawala katika wale wenye kucheua, na katika wale walio na kwato; NGAMIA, kwa sababu yuacheua lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu.
Zaidi ya hapo, Waislam wanakunywa Mikojo ya Ngamia na maziwa ya Ngamia. Je, huko si kuvunja amri ambayo ilisemwa katika Mambo ya Walawi 7 aya ya 4?
Abdallah Ibn Umar anasema kuwa kula Nyama ya Ngamia, na kunywa Maziwa yake ni HARAM. Lakini waislam wao wanaendelea kula Nyama ya Ngamia na kunywa Maziwa na Mikojo ya NGAMIA. (‘Abdallah Ibn ‘Umar al-Baydawi, Tafsir al-baydawi)
MUHAMAMD AWARUHUSU WAISLAM KUNYWA MIKOJO NA MAZIWA YA NGAMIA AMBAYE NI HARAMU KATIKA [WALAWI 7: 4]
Hata hivyo Muhammad aliwaamuru baadhi ya watu kumfuata mchungaji wake na kunywa maziwa na mikojo ya ngamia.
Bukhari juzuu ya 7 kitabu cha 71 sura ya 6 na.589, 590 uk.398, 399 na juzuu ya 7 kitabu cha 71 sura ya 29 na.623 uk.418.
Muhammad pia alisema kuwa mkojo wa ngamia ni dawa nzuri. Ibn-i-Majah juzuu ya 5 kitabu cha 31 na.3503 uk.38.
Baadhi ya Waislam waliambiwa kunywa mkojo wa Ngamia, waliishia kuwa waasi na kumuua mchungaji. Muhammad aliamuru wakatwe miguu na mikono yao na macho yao yachomwe. Sunan Nasa’i juzuu ya 1 na.308-309 uk.255-256. Tazama pia Bukhari juzuu ya 4 kitabu cha 52 sura ya 152 na.261 uk.162.
Sasa, kama Ngamia ni haramu katika Mambo ya Walawi 7 aya ya 4, kwanini Muhammad aliruhusu Waisla wale Nyama yake na kunywa Mikojo na maziwa yake?
Mbona Muhammad na Allah wanaruhusu kula na kunywa mikojo na Maziwa ya Ngamia ambaye ni haramu kwenye Mambo ya Walawi?
Huu ni MSIBA mkubwa sana kwa Waislam na Mtume wa Muhammad kwa kuvunja sheria ya Mungu ya kuto kula nyama ya Ngamia.
Karibu kwa Yesu aliye hai na Mungu Mkuu,
Mungu awabariki sana,
Katika Huduma Yake,
Max Shimba Ministries Org.
MAX SHIMBA MINISTRIES ORG ©2016. ALL RIGHTS RESERVED
Everyone is permitted to copy and distribute verbatim copies of this license document, but changing it is not allowed.

No comments:

FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE

  **URGENT UPDATE**   **FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE** Shimba TV, New York has received distressing news ...

TRENDING NOW