Tuesday, August 22, 2017

SINAGOGI KWA KIARABU NI KANIS "كنيس" NA SIO MSIKITI

Image may contain: text and indoor
Huu ni Msiba Mkubwa sana kwa Waislam.
Ili kujua tafsir ya neno au maana ya neno fulani, ni bora basi ukatumia utaalam wa kutafsir lugha katita utafiti wako.
Leo naendelea kubomoa dai dhaifu la Waislam kuwa, eti SINAGOGI NI MSIKITI WA WAYAHUDU.
Bila ya kupoteza muda, tuanze na utafiti wetu.
Tafsir ya neno au Jina Sinagogi:
TAFSIR YA NENO SYNANGOGUE:
1. KIEBRANIA: בית כנסת = synagogue
2. KIINGEREZA: Synagogue au ˈsinəˌgäg
3. KIARABU: كنيس AU Kanis
4. KISWAHILI: Sinagogi au Hekalu.
Wayahudi hutumia pia neno la Kiyiddish "shul" (=shule שול) kutajia Sinagogi.
Ndugu msomaji,
Bila kumuonea huruma huyu Muhammad muongo muongo, tumeweka tafsir ya hilo neno "SYNAGOGUE" kwa kiarabu na umesha pata maana yake ni KANIS au كنيس .
Huu ni MSIBA MKUBWA SANA KWA WAISLAM ambao wanafuata mkumbo na dini za wazazi wao bila ya utafiti.
SASA TUMSOME NA ALLAH:
Suratul Hajj 40. Wale ambao wametolewa majumbani mwao pasipo haki, ila kwa kuwa wanasema: Mola wetu Mlezi ni Mwenyezi Mungu! Na lau kuwa Mwenyezi Mungu hawakingi watu kwa watu, basi hapana shaka zingeli vunjwa nymba za wat'awa, na MAKANISA, na MASINAGOGI, na MISIKITI, ambamo ndani yake jina la Mwenyezi Mungu linatajwa kwa wingi. Na bila ya shaka Mwenyezi Mungu humsaidia yule anaye msaidia Yeye. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu Mtukufu. http://www.quranitukufu.net/022.html
AYA HAPO JUU INATAJA MAJENGO TOFAUTI TOFAUTI YA IBADA IKIWEMO, SINAGOGI, KANISA, MISIKITI.
KWANINI ALLAH AMEYATENGANISHA MAJENGO YA SINAGOGI NA MISIKITI KIMAJINA?
NDIO MAANA HUWA NASEMA UISLAM NI DINI YAKUTENGEZA TU NA WALA HAIKUWEPO KABLA YA MUHAMMAD.
Leo tumejifunza kuwa Sinagogi SIO Msikiti kwa kutumia aya na tafsir ya neno Sinagogi.
Shalom.
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo, Mungu Mkuu na Mwokozi wetu.

No comments:

HOW MUSLIMS ARE PROVING THEIR QUR’AN IS FALSE

  Many are unaware of the fact that Muslims themselves invalidate the Qur’an by rejecting some of the most essential verses of the Qur’an. T...

TRENDING NOW