Wednesday, August 16, 2017

USIOGOPE, SIMBA WA KABILA LA YUDA YUPO PAMOJA NAWE

Image may contain: text
Ufunuo 5:5 Na mmojawapo wa wale wazee akaniambia, Usilie; tazama, Simba aliye wa kabila ya Yuda, Shina la Daudi, yeye ameshinda apate kukifungua kile kitabu, na zile muhuri zake saba.
Mungu ni wa ajabu sana nilipokuwa najisomea Biblia na kufika katika Mstari wa tano nikayaona maneno hayo Simba aliye wa
Kabila la Yuda! Maneno hayo yalinishangaza sana ni wazi kuwa Simba anayetajwa hapo ni Yesu Kristo hilo halina mjadala, ni
wazi kuwa Yesu ni Masihi na masihi alikuja kupitia ukoo wa Yuda hilo pia halina mjadala, Daudi pia alitokea ukoo huu wa kabila la Yuda hilo halikuwa na mjadala, Jambo kubwa lililovuta hisia kwangu ni kutajwa kwa Yuda mwenyewe hapa ndipo penye mjadala.,
Mkabidhi maisha yako Simba wa Yuda.
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo, Mungu Mkuu na Mwokozi wetu.

No comments:

FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE

  **URGENT UPDATE**   **FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE** Shimba TV, New York has received distressing news ...

TRENDING NOW