Tuesday, August 22, 2017

YESU ALIKUWEPO KABLA YA KUUMBWA KWA VITU VYOTE DUNIANI NA MBINGUNIWakolosai 1:17 “Naye amekuwako kabla ya vitu vyote; na vitu vyote hushikamana katika yeye”.

Yesu Kristo alikuwako kabla ya Ibrahimu kuwako (Yohana 8:52-58).
Watu walioambiwa maneno hayo na Yesu mwenyewe waliokota mawe ili kumpiga Yesu wakisema kuwa anakufuru. Hawa ni watu wa tabia ya mwilini wanaotumia akili kupambanua mambo ya Mungu (mambo ya kiroho huwezi kuyatambua kwa akili maana Mungu ni Roho. (Yohana 4:24).Yohana 17:5,24.Waebrania 7:3.
Yesu ni Alfa na Omega, wakwanza nawa mwisho kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu yeye alikuwako (Ufunuo 22:13).
Shalom
Dr. Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu.

No comments:

HOW MUSLIMS ARE PROVING THEIR QUR’AN IS FALSE

  Many are unaware of the fact that Muslims themselves invalidate the Qur’an by rejecting some of the most essential verses of the Qur’an. T...

TRENDING NOW