Wednesday, August 2, 2017

KWANINI ALLAH WA WAISLAM SIO MUNGU (SEHEMU YA PILI)

No automatic alt text available.
Musa alipokea Amri Kumi katika vipande viwili vya Mawe kutoka kwa Mungu aliye jitabulisha hapo mwanzoni kwa jina la MIMI NIKO AMBAYE NIKO, soma [Kutoka Mlango wa 3]. Hizi Amriki Kumi ndio msingi wa imani ya Wayahudi na Ukristo. Yesu alisema katika Mathayo 5:17-18: 17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. 18 Kwa maana, amin, nawaambia ,Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka,yodi moja wala nukta moja ya torati haitaoondoka ,hata yote yatimie.
Lakini, SHARIA ZA ALLAH ambazo ndio za Quran na Muhammad zinapinga hizi Amri Kumi za Biblia na Musa anae daiwa kuwa ni Mtume wa Allah hakupewa Amri Kumi. Zaidi ya hapo, Muhammad alivunja Amri zote Kumi za Musa kila siku katika matendo yake na kueneza dini ya Uislam. Soma: Jake Neuman the author of "Islam and Sharia Law Are Treason: Jihad Is Treason",Quran 8.12, Quran 9:29, Quran 5:32-33, Quran 65:4.
Kama wewe unafuata Sharia za Allah, basi moja kwa moja, unavunja Amri Kumi za kwenye Biblia kila siku kwa kufuata sharia bandia za Muhammad. Mathayo 5: 19 Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni.
Hapa teyari panathibitisha kuwa Allah sio Mungu na kunampeleka Muhammad Jehannam moja kwa moja.
Kwa Kiingereza naweza kusema:
Allah’s laws are contradictory to God’s laws. Allah is not God.
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.

No comments:

WAS MUHAMMAD PROPHESIED IN THE BIBLE?

SURAH 61:6 Muslims believe that the coming of Muhammad was foretold in the Bible. For centuries, Muslims have tried to find predictions of t...

TRENDING NOW