Friday, August 4, 2017

KWANINI ALLAH WA WAISLAM SIO MUNGU (SEHEMU YA NNE)

Image may contain: one or more people
Ndugu msomaji,
Leo tutaangalia nyama zinazo liwa na Waislam ambazo ni haram na Najisi kutokana na Biblia.
Mambo ya Walawi 7: 4 Pamoja na hayo, wanyama hawa hamtawala katika wale wenye kucheua, na katika wale walio na kwato; NGAMIA, kwa sababu yuacheua lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu. 6 Na SUNGURA, kwa sababu hucheua, lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu.
Lakini nilipo soma vitabu vya Kiislam, nikagundua kuwa, wao wana chuki kubwa na Nguruwe tu, huku wakila kwa furaha nyama ya Ngamia pamoja na kunywa mikojo yake na maziwa yake.
ALLAH KARUHUSU WAISLAM KULA NYAMA YA NGAMIA
Surat Al Hajj 36 Na ngamia wa sadaka tumekufanyieni kuwa ni kudhihirisha matukuzo kwa Mwenyezi Mungu; kwa hao mna kheri nyingi. Basi litajeni jina la Mwenyezi Mungu juu yao wanapo simama kwa safu. Na waangukapo ubavu kuleni katika hao na walisheni walio kinai na wanao lazimika kuomba. Ndio kama hivi tumewafanya hawa wanyama dhalili kwenu ili mpate kushukuru.
Swali la kujiuliza, kama kweli Yehova Mungu wa Musa ndie huyo huyo Allah wa Waislam, kwanini WAISLAM wanapinga aya ya kula NGAMIA? Mambo ya Walawi 7: 4 Pamoja na hayo, wanyama hawa hamtawala katika wale wenye kucheua, na katika wale walio na kwato; NGAMIA, kwa sababu yuacheua lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu.
Zaidi ya hapo, Waislam wanakunywa Mikojo ya Ngamia na maziwa ya Ngamia. Je, huko si kuvunja amri ambayo ilisemwa katika Mambo ya Walawi 7 aya ya 4?
Abdallah Ibn Umar anasema kuwa kula Nyama ya Ngamia, na kunywa Maziwa yake ni HARAM. Lakini waislam wao wanaendelea kula Nyama ya Ngamia na kunywa Maziwa na Mikojo ya NGAMIA. (‘Abdallah Ibn ‘Umar al-Baydawi, Tafsir al-baydawi)
MUHAMAMD AWARUHUSU WAISLAM KUNYWA MIKOJO NA MAZIWA YA NGAMIA AMBAYE NI HARAMU KATIKA [WALAWI 7: 4]
Hata hivyo Muhammad aliwaamuru baadhi ya watu kumfuata mchungaji wake na kunywa maziwa na mikojo ya ngamia.
Bukhari juzuu ya 7 kitabu cha 71 sura ya 6 na.589, 590 uk.398, 399 na juzuu ya 7 kitabu cha 71 sura ya 29 na.623 uk.418.
Muhammad pia alisema kuwa mkojo wa ngamia ni dawa nzuri. Ibn-i-Majah juzuu ya 5 kitabu cha 31 na.3503 uk.38.
Baadhi ya Waislam waliambiwa kunywa mkojo wa Ngamia, waliishia kuwa waasi na kumuua mchungaji. Muhammad aliamuru wakatwe miguu na mikono yao na macho yao yachomwe. Sunan Nasa’i juzuu ya 1 na.308-309 uk.255-256. Tazama pia Bukhari juzuu ya 4 kitabu cha 52 sura ya 152 na.261 uk.162.
Sasa, kama Ngamia ni haramu katika Mambo ya Walawi 7 aya ya 4, kwanini Muhammad aliruhusu Waislam wale Nyama yake na kunywa Mikojo na maziwa yake?
Mbona Muhammad na Allah wanaruhusu kula na kunywa mikojo na Maziwa ya Ngamia ambaye ni haramu kwenye Mambo ya Walawi?
Huu ni MSIBA mkubwa sana kwa Waislam na Mtume wao Muhammad kwa kuvunja sheria ya Mungu Mkuu ya kuto kula nyama ya Ngamia.
Ndio maana Allah sio Mungu,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.
MAX SHIMBA MINISTRIES ORG ©2016. ALL RIGHTS RESERVED
Everyone is permitted to copy and distribute verbatim copies of this license document, but changing it is not allowed.

No comments:

 

TRENDING NOW