Friday, August 4, 2017

ALLAH KASEMA NGONO INAONDOA DHAMBI ZAKO

Image may contain: one or more people and indoor
HUU NI MSIBA MKUBWA SANA.
ETI, TENDO LA NDOA LINATO DHAMBI ZAKO, HAYA KASEMA ALLAH NA MTUME WAKE MUHAMMAD
Bila ya kupoteza muda, soma ushahid huu hapa:
Katika kitabu kiitwacho Mkweli Mwaminifu juzuu 1-2 cha Mohammed al-Kindy uk 206 Hadith 467 inasema
“ Hakika Mwanamme akimtazama mkewe (kwa matamanio ya kuingiliana) nae (mke) akamtazama mumewe (kwa ajili hiyo) basi anawatazama Mwenyezi Mungu utazamaji wa rehema, (mume) akimshika mkewe kwa mkono wake ( kwenda kutimiza haja yao) basi yanadondoka (yanatoka) madhambi yao kwenye vidole vyao”.
Ndio maana Muhammad kawaambia Waislam waoe wake wanne wanne. Kisa, wanafutiwa dhambi wanapo jamiiana.
Hakika kuna viroja na vihoja kwenye dini hii ya bandia.
YESU NI MUNGU NA ANASAMEHE WATU DHAMBI
Katika tukio moja ambalo Yesu alionesha mamlaka yake ya Uungu kwa kusamehe dhambi na wakuu wa dini walioina hiyo kama kufuru kwani mwenye uwezo wa kusamehe dhambi ni Mungu pekee kwa vile hata wao hawakufahamu mamlaka ya Yesu ni Mungu.
Marko.2:5-11
Naye Yesu, alipoiona imani yao, akamwambia yule mwenye kupooza, Mwanangu, umesamehewa dhambi zako. Na baadhi ya waandishi walikuwako huko, wameketi, wakifikiri mioyoni mwao, Mbona huyu anasema hivi? Anakufuru. Ni nani awezaye kusamehe dhambi isipokuwa mmoja, ndiye Mungu? Mara Yesu akafahamu rohoni mwake kwamba wanafikiri hivyo nafsini mwao, akawaambia, Mbona mnafikiri hivi mioyoni mwenu? Vyepesi ni vipi, kumwambia mwenye kupooza, Umesamehewa dhambi zako, au kusema, Ondoka, ujitwike godoro lako, uende? Lakini mpate kujua ya kwamba Mwana wa Adamu anayo amri duniani ya kusamehe dhambi, (hapo amwambia yule mwenye kupooza), Nakuambia, Ondoka, ujitwike godoro lako uende nyumbani kwako.
Hili ni mojawapo ya matendo ya Yesu kusamehe dhambi aliyotenda kuonesha Uungu wake na mamlaka yake.
HAKIKA YESU NI MUNGU.
Shalom,
Max Shimba, mtumwa wa Yesu Kristo.

No comments:

HOW MUSLIMS ARE PROVING THEIR QUR’AN IS FALSE

  Many are unaware of the fact that Muslims themselves invalidate the Qur’an by rejecting some of the most essential verses of the Qur’an. T...

TRENDING NOW