Friday, August 4, 2017

KUMBE MUHAMMAD HAKWENDA MSIKITI WA AL AQSA

No automatic alt text available.
MUHAMMAD ASEMA UONGO KUHUSU SAFARI YA KWENDA MSIKITI WA AL AQSA
Ndugu zanguni,
Leo ningependa tujifunze kidogo kuhusu utata na uongo ulio wekwa kwenye Quran kuhusu safari ya Muhammad, Mtume wa Allah ambaye sio Yehova ya kwenda Msikiti wa Al Aqsa ambao upo Jerusalem. Hebu kwanza angalia aya wanayo itumia kusaidia madai yao.
Sura Al israai 1. SUBHANA, Ametakasika aliye mchukua mja wake usiku mmoja kutoka Msikiti Mtukufu mpaka Msikiti wa Mbali, ambao tumevibariki vilivyo uzunguka, ili tumuonyeshe baadhi ya Ishara zetu. Hakika Yeye ni Mwenye kusikia na Mwenye kuona.
Historia inatuambia kuwa Jeshi la Waislam liliuchukua Mji wa Jerusalem panapo Mwaka 637 AD na Msikiti wa Al Aqsa ulimalizika kujengwa takribani mwaka 705 AD.
https://en.wikipedia.org/wiki/Al-Aqsa_Mosque na
http://www.sacred-destinations.com/…/jerusalem-al-aqsa-mosq…
Tatizo linaanza namna hii: Inafahamika kuwa Muhammad Mtume wa Allah alifariki Mwaka 632 AD tarehe ya 8 na Mwezi wa 6, ambao ni Miaka 5 kabla ya Jeshi la Waislam kufika Jerusalem na ni miaka 73 kabla huo Msikiti wa Al Aqsa kujengwa. Jamani huu ni uongo wa wazi kabisa unao semwa kila siku na hawa Waislam kwa kupitia Allah wao ambaye sasa tunaweza sema kuwa ndie baba wa uongo.
Ndugu wasomaji, hivi ni kwanini Allah ambaye sio Yehova anashindwa kuziweka hesabu zake vyema mpaka asema uongo wa namna hii?
Kama kweli Allah alimtuma Muhammad kwenda Jerusalem katika Msikiti wa Al Aqsa, kwanini alishindwa kuutengeneza huo Msikiti kabla ya kufariki kwa Muhammad?
Hakika kuna sababu nyingi sana ambazo zilimfanya Allah akiri katika Quran kuwa, Wakristo na Wayahudi ni watu wa Kita’ab, akimaanisha kuwa ni watu wenye elimu kuliko Waislam wote na Waarabu.
Surat Yunus 94. Na ikiwa unayo shaka katika tuliyo kuteremshia, basi waulize wasomao Kitabu kabla yako. Kwa yakini imekwisha kujia Haki kutoka kwa Mola wako Mlezi. Basi usiwe miongoni mwa wenye shaka.
MASWALI:
1. Kwanini Allah alidanganya kuhusu safari ya Mtume Muhammad ya kwenda Al Aqsa?
2. Kwanini Waislam wanashindwa kufanya hesabu rahisi za tarehe ulio jengwa huo Msikiti wa Al Aqsa?
Hakika Msingi wa Dini ya Uislam ni Allah ambaye amesha pokea sifa ya kuwa ni Baba wa Uongo. Hebu rejea na soma hii aya kutoka Biblia kitabu cha Mungu:
Yohana 8: 44 Ninyi ni watoto wa baba yenu Ibilisi, nanyi mnataka kutimiza matakwa ya baba yenu. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo, wala hakushikana na kweli maana hamna kweli ndani yake. Asemapo uongo husema yaliyo yake mwenyewe kwa maana yeye ni mwongo na baba wa huo uongo.
Biblia imesha kujibu kuwa baba wa Uongo ni Ibilisi na husema yaliyo yake mwenyewe. Kumbe basi, ndio maana Allah wa Waislam nayeye anasema yaliyo yake.
Nakukaribisha kwa Mungu Mkuu ambaye yeye sio Baba wa Uongo bali ndie Muumba wa kila kitu na alikufa kwa ajili ya dhambi zako.
Mpokee Yesu leo na upate Uzima wa Milele.
Mungu awabariki sana.
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo
MAX SHIMBA MINISTRIES ORG ©2015. ALL RIGHTS RESERVED
Everyone is permitted to copy and distribute verbatim copies of this license document, but changing it is not allowed.

No comments:

FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE

  **URGENT UPDATE**   **FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE** Shimba TV, New York has received distressing news ...

TRENDING NOW