Wednesday, May 16, 2018

KWANINI WAISLAM WANAABUDU MWEZI?

Image may contain: text
KWANINI MFUNGO WA RAMADHANI UNATEGEMEA KUANDAMA KWA MWEZI?
Mwanzo 13
Miaka ipatayo 2000 kabla ya kuzaliwa kwa Yesu, aliishi mtu mmoja aliyeitwa Abram, anayezungumziwa katika Biblia kuwa alikuwa ‘rafiki wa Mungu’ (Isaya 41:8). Aliishi Uru, mji uliokuwa katika Mesopotamia, katika nchi tunayoiita leo Iraki, kama maili 800 mashariki ya nchi ya Israeli.
Wapagani wa Uru hawakujua lolote kumhusu Mungu wa Kweli; waliabudu miungu mingi ya uongo, mkubwa kati yao akiwa ni mungu-mwezi (Mke wa Allah/mungu jua) anaye abudiwa na Waislam. Mabaki ya hekalu alilojengewa yamegunduliwa katika eneo hilo.
Alama ya nyota na mwezi ni alama ambayo inatumka sana katika alama ya kuwakilisha uislamu. Alama hii ipo kwenye Misikiti ya Waislam duniani kote. Mwezi mchanga ukikaa kulia na nyota kushoto maana yake ni imani ya kimashetani. Ukikaa mwezi kushoto na nyota kulia maana yake ni uchawi. Naam, huu ndio Uislam, dini ya kimashetani na uchawi.
Alama ya mwezi mpevu na nyota ni alama ya uislamu, vilevile hii ni alama ya kimashetani na Freemason. Alama ya nyota na mwezi mpevu ni misingi ya alama (ishara) zilizokuwa zinapatikana katika ulimwengu wa kipagani kale pamoja na mifano ulioshuhudiwa kutoka Bahari ya Mashariki, Uajemi na Asia ya Kati. Alama hii ilitumiwa na wapagani na walimuabudu mungu Mwezi ambaye ni mke wa mungu Jua.
Mwezi mpevu umekuwa kawaida kuhusishwa na mungu mwezi Sin (Nanna kwa Wasumeri) na nyota (mara nyingi kutambuliwa kama Venus) na Ishtar (Inanna kwa Wasumeri). Na hii ilikuwa ikitumika mashariki ya zamani katika bara Asia, hii miungu mwezi na nyota (nanna , inanna ,sin au ishtari) ni miungu ya kipagani karne za kale huko mashariki ya kati.
Hivyobasi, leo ningependa kuwafahamisha kuwa, Allah na Waislam wote wanaabudu Mwezi ambaye ni mke wa mungu Jua! Unaweza kuniuliza kivipi hawa Waislam wanaabudu Mwezi.
Qurani 91:1-2 Suratul Ash-Shams (Jua)
Naapa kwa jua na kwa mwangaza wake. Na kwa mwezi unapoliandama.
Bila kupoteza wakati, Allah amesha apa kwa mwezi unao andama. Allah ameapa katika uumbwaji, huku ikifahamika kuwa hakuna aliye mkuu kuliko Mungu ambaye kwa huyo angeweza kuapa. Waebrania 6:13
Hivi kati ya Allah na Mwezi nani mwenye mamlaka? Nafahamu bado hujanipata nasema nini na ua nauliza nini. Hilo ni swali ambalo wengi wanaweza kukurupuka na kukosa kusema jibu sahihi. Jibu lake ni hili. MWEZI UNA MAMLAKA ZAIDI YA ALLAH.
Ngoja nikufungue macho.
Waislam wanapofunga Saumu/Ramadahani, kabla ya hiyo shughuli ya mfungo wanasubiri mwezi. Hilo ni la kwanza. Cha ajabu hata siku ya kufungua, dini hii ya Allah bado inategemea MWEZI, ni kimaanisha kuwa, ni MWEZI NDIO WENYE MAMLAKA YA MWISHO YA KUSEMA KUWA, HAWA WAISLAM WAFUNGUE MFUNGO. Kama bado hujanipata, basi ngoja nikufungue zaidi macho. Waislam wanafungua na kusherehekea Iddi baada ya MWEZI KUANDAMA.
Sasa kama kufunga ilikuwa ni kwa ajili ya ALLAH, kivipi ALLAH ashindwe kuwapa tarehe ya kufungua? Kwanini Mwezi ndio unakuwa na Mmlaka zaidi ya Allah? Kumbe basi, Mwezi ndio Allah mwenyewe. Wataalam wa dini wanasema kuwa Allah ni Mungu Mwezi (Allah is a God Moon).
Hakika leo tumejifunza kuwa kumbe Mwezi na Allah ni kitu mimoja na au Mwezi Unanguvu kuliko Allah.
Nategemea hili somo fupi limekufumbua macho kuhusu Uislam.
Allah si Mungu bali ni Mwezi.
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo, Mungu Mkuu. Tito 2:13

No comments:

WHY CHRISTIANITY IS BETTER THAN ISLAM?

Has Islam Improved to Become Better Than Christianity? Does Muhammad fulfill and complete the mission and purpose of Christ? Muhammad emphat...

TRENDING NOW