Tuesday, May 29, 2018

USTAADH AMOUD KYABUSHUKURU AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 60 KWA KULAWITI MTOTO MSIKITINI


Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Bukoba imemuhukumu Ustaadh Amoud Kyabushukuru kifungo cha miaka 60 baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka na kumlawiti mtoto mdogo wa kike aliye kuwa akimfundisha Quran Msiktini.
Je, tuendelee kuwaamini hawa viongozi wetu wa dini wanao lawiti watoto wetu?

No comments:

WAS MUHAMMAD PROPHESIED IN THE BIBLE?

SURAH 61:6 Muslims believe that the coming of Muhammad was foretold in the Bible. For centuries, Muslims have tried to find predictions of t...

TRENDING NOW