Tuesday, May 1, 2018

MUHAMMAD HAKUWAI TOA UNABII WOWOTE ULE, HIVYO NI NABII BANDIA NA WAUONGO


Quran inadai kuwa Muhammad alikuwa Mtume na Nabii wa Mwenyezi Mungu. Lakini katika Quran nzima, hakuna unabii wowote ule ulio tolewa na Muhammad.

Sifa ya Nabii ni kuyoa Unabii na ukatimia, ndipo tunaamini kuwa alitumwa na Mwenyezi Mungu. Je, upo wapi unabii alio toa Muhammad na ukatimia?

Sifa ya unabii lazima utabiri mambo yajayo, na sio yalio pita. Maana jambo lilipita linajulikana teyari na sio unabii bali kunukuu historia.

Zaidi ya hapo, naweza kusema hata sifa ya utume bandia ya Muhammad ni kumpa sifa, maana hakuwai toa hata unabii mmoja ambao ulikuwa au wa kweli au uongo. He was a fake prophet.

Surat A'raaf 157. Ambao kwamba wanamfuata huyo Mtume, Nabii, asiye soma wala kuandika, wanaye mkuta kaandikwa kwao katika Taurati na Injili, anaye waamrisha mema na anawakanya maovu, na anawahalalishia vizuri, na ana waharimishia viovu, na anawaondolea mizigo yao na minyororo iliyo kuwa juu yao. Basi wale walio muamini yeye, na wakamhishimu, na wakamsaidia, na wakaifuata nuru iliyo teremshwa pamoja naye - hao ndio wenye kufanikiwa.

158. Sema: Enyi watu! Hakika mimi ni Mtume kwenu nyinyi nyote, niliye tumwa na Mwenyezi Mungu Mwenye ufalme wa mbingu na ardhi. Hapana mungu ila Yeye anaye huisha na anaye fisha. Basi muaminini Mwenyezi Mungu na Mtume wake asiyejua kusoma na kuandika, ambaye anamuamini Mwenyezi Mungu na maneno yake. Na mfuateni yeye ili mpate kuongoka.

Surat Al Ahzab 45. Ewe Nabii! Hakika Sisi tumekutuma uwe shahidi na mbashiri na mwonyaji,

Waislam wanapenda kunukuu Kumbukumbu la Torati kuwa Musa alikuwa anatabiri ujio wa Muhammad. Lakini cha kushangaza, hakuna hata unabii wowote ule ndani ya Quran. Hata maana ya neno Quran ni "ukumbusho" recital. LAKINI WAPI MUHAMMAD KABASHIRI YAJAYO NA YAKATOKEA?


Kumbukumbu la Torati 18 aya 15 Bwana, Mungu wako, atakuondokeshea nabii miongoni mwa ndugu zako kama nilivyo mimi; msikilizeni yeye.

Kumbukumbu la Torati 18:18-20
18 Mimi nitawaondokeshea nabii miongoni mwa ndugu zao mfano wako wewe, nami nitatia maneno yangu kinywani mwake, naye atawaambia yote nitakayomwamuru.
19 Hata itakuwa, mtu asiyesikiliza maneno yangu atakayosema yule kwa jina langu, nitalitaka kwake.
20 Lakini nabii atakayenena neno kwa kujikinai kwa jina langu, ambalo sikumwagiza kulinena, au atakayenena katika jina la miungu mingine, nabii yule atakufa.

Sasa tuangalie uthibitisho kutoka Quran kuwa Muhammad na au utume wa Muhammad ni bandia.

Surat Al Baqara 49. Na vile tulipo kuokoeni kwa watu wa Firauni walio kupeni adhabu mbaya, wakiwachinja wana wenu wa kiume na wakawawacha hai wanawake; na katika hayo ulikuwa ni mtihani mkubwa ulio toka kwa Mola wenu Mlezi.

50. Na tulipo ipasua bahari kwa ajili yenu na tukakuokoeni, tukawazamisha watu wa Firauni, na huku mnatazama.
51. Na tulipo muahidi Musa masiku arubaini, kisha mkachukua ndama (mkamuabudu) baada yake, na mkawa wenye kudhulumu.
52. Kisha tukakusameheni baada ya hayo, ili mpate kushukuru.
53. Na tulipo mpa Musa Kitabu na pambanuo ili mpate kuongoka.

Surat Al Imran 21. Hakika wanao zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu, na wakawauwa Manabii pasipo haki, na wakawauwa watu waamrishao Haki wabashirie adhabu kali.
22. Hao ndio ambao vitendo vyao vimeharibika duniani na Akhera. Nao hawatapata wa kuwanusuru.

Al Ankabut 28. Na pale Lut'i alipo waambia watu wake: Hakika nyinyi mnafanya uchafu, ambao hapana mmoja katika walimwengu aliye kutangulieni kwa hayo.

KWENYE AYA HIZO ZA QURAN TUNAJIFUNZA NA AU SOMA KUWA, YOTE YALIYO TAJWA NI HABARI ZILIZO PIA, YAANI HISTORIA, NA HAKUNA UNABII HATA MMOJA.

Zaidi ya hapo, Quran inathibitisha kuwa Muhammad alikuja kuthibitisha Torati, Zaburi na Injiri. Kuthibitisha yalioyo pita sio Unabii bali kunukuu HISTORIA TU.


Uislam ni dini ya uongo na Muhammad ni mtume bandia.

Shalom

Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu. Tito 2:13

No comments:

FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE

  **URGENT UPDATE**   **FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE** Shimba TV, New York has received distressing news ...

TRENDING NOW