Sunday, May 20, 2018

MUHAMMAD ALINYONYESHWA MAZIWA YA WANAUME ALIPO KUWA MTOTO

NAAM, NAJUA UNAFIKIRI NAMSINGIZIA NABII WA ALLAH, LAKINI USHAHID HUU HAPAA

Sahihi hadith Al Kaft Al Kukaynir Volume 1 Page 284 No 27 Hadith inasema, Nabii Muhammad alipo zaliwa, alikaa muda mrefu bila ya maziwa ya mama yake, Lakini Abu Talib mwenye alimnyonyesha Nabii Muhammad maziwa yake kupitia chuchu zake yaliyo teremshwa na Allah. Hii iliendelea kwa siku kadhaa mpaka Abu Talib alipo mpata Halima Al Sadiya na kumkabidhi mtoto.

Ndugu zanguni, huyu ndie Nabii wa Allah aliye nyonya maziwa ya Mwanaume wakati wa utoto wake na kukosa maziwa ya mama.

SAYANSI INASEMA NINI KUHUSU UMUHIMU WA MAZIWA YA MAMA KWA MTOTO?

Umuhimu wa mwaziwa ya Mama kwa mtoto:

Shirika la afya duniani (WHO) linapendekeza mtoto anyonye maziwa ya mama pekee bila kupewa chakula kingine chochote hadi atakapo timiza umri wa miezi 6.

Maziwa ya mama ni chakula bora kwa mtoto kuliko chakula chochote au dawa yeyote.

Umeng'enywaji (kuyeyushwa) wa maziwa ya mama tumboni mwa mtoto ni rahisi.

Maziwa ya mama hayaleti matatizo ya mzio (allergies) kama pumu na matatizo mengine.

Maziwa ya mama yana viini lishe vyote na kwa uwiano ulio sahihi kwa ukuaji wa mtoto.

Utafiti unaonyesha kuwa watoto walionyonya maziwa ya mama huwa na ukuaji mzuri wa kiakili na kimwili ukilinganisha na ambao hawaja nyonya. www.trustytimewatches.co.uk

Kiwango cha Imunoglobilini A (IgA) katika maziwa bado huwa juu kutoka siku 10 hadi angalau baada ya miezi 7.5 baaada ya kuzaa.

Maziwa ya binadamu yana 0.8% hadi 0.9% protini, 4.5% mafuta, 7.1% kabohidreti na 0.2%(madini)[16]. kabohidarati hasa ni laktosi; lakstosi- oligasakaride kadhaa zimetabilika kuwa vipengele nadra. kipengele cha Mafuta kina trigiliseride ya palmitiki maalum na asidi ya oleiki (OPO trigiliseride) na pia kiasi kikubwa kabisa cha lipidi na vifungo trans (ona: mafuta trans)ambayo yametambulika kuwa na manufaa ya afya. Kuna asidi za vaseniki na asidi za linolekiic asidi zilizobadilishwa(CLA) huwa na hesabu ya hadi 6% ya mafuta ya maziwa ya binadamu[17][18].

Protini kuu ni kaseini (homologasi khadi bovini beta kaseini), alfa-laktalibumini, laktoferini, IgA, lisozimu na albumini seramu. Katika mazingira ya asidi kama tumbo, alfa-laktalibumini hueneza katika aina tofauti na kufunga asidi ya oleiki kuunda kipande tata kiitwacho Hamletambacho huua seli za kukua kwa uvimbe. Hii ni dhana ambayo imedhaniwa kuchangia katika ulinzi wa watoto wanaonyonyeshwa dhidi ya saratani.[19]

Ndio maana alifanya vituko vingi sana, maana alikosa maziwa ya mama yake.

Shalom

Max Shimba Mtumwa wa

No comments:

WHY CHRISTIANITY IS BETTER THAN ISLAM?

Has Islam Improved to Become Better Than Christianity? Does Muhammad fulfill and complete the mission and purpose of Christ? Muhammad emphat...

TRENDING NOW