Friday, May 25, 2018

MUHAMMAD ALINYONYESHWA MAZIWA YA WANAUME ALIPO KUWA MTOTONAAM, NAJUA UNAFIKIRI NAMSINGIZIA NABII WA ALLAH, LAKINI USHAHID HUU HAPAA
Sahihi hadith Al Kafi Al Kukayni Volume 1 Page 284 No 27 Hadith inasema, Nabii Muhammad alipo zaliwa, alikaa muda mrefu bila ya maziwa ya mama yake, Lakini Abu Talib mwenye alimnyonyesha Nabii Muhammad maziwa yake kupitia chuchu zake yaliyo teremshwa na Allah. Hii iliendelea kwa siku kadhaa mpaka Abu Talib alipo mpata Halima Al Sadiya na kumkabidhi mtoto.
Hadithi nyingine hii hapa:
قتباس:
عن أبي عبد الله قال » لما ولد النبي صلى الله عليه وسلم مكث أياما ليس له لبن. فألقاه أبو طالب على ثدي نفسه. فأنزل الله فيه لبنا فرضع منه أياما حتى وقع أبو طالب على حليمة السعدية فدفعه إليها« (الكافي 1/373 كتاب الحجة. باب مولد النبي صلى الله عليه وسلم ووفاته).
Abu Abdullah said: When the prophet PBUH was born he remained for several days without getting Breast Milk, So Abu Talib put him on his breast and Allah granted him Milk so he fed the Prophet for several days until Abu Talib came upon Haleemah al Sa’adiyah so he handed him to her.
Source: Al Kafi 1/373 Kitab al hujjah, Chapter: The Birth of the Prophet PBUH and his death.

Uthibitisho mwengine huu hapa:
Muhammad Ibn yahya narrates from Sa’ad Ibn Abdullah from Ibrahim Ibn Muhammad al-Thaqafi from Ali Ibn al-Mu’ala from his brother Muhammad from Darast Ibn Abi Monsur from Ali Ibn Abu hazmah from Abu Basir who narrated from Imam Al-Sadiq a.s saying: when the prophet peace be upon him and his pure progeny was born, he remained few days without milk, so Abu Talib placed him on his chest, then Allah placed in the breast of Abu Talib milk, so the prophet was breastfed for few days, till Abu Talib found Halimah al-sa’diya, where he gave the prophet to her to breastfeed him.

Hadithi nyingine hii hapa:
Al-Kafi, Ch. 111, # 27
Muhammad ibn Yahya has narrated from Sa‘d ibn ‘Abdallah from Ibrahim ibn Muhammad al-Thaqafi from Ali ibn Mu‘alla from his brother, Muhammad from Durust ibn abu Mansur from Ali ibn Abu Hamza from Abu Basir from Abu ‘Abdallah (a.s.) who has said the following:
"When the Holy Prophet (s.a) was born he remained for days without milk. Abu Talib himself breastfed him and Allah sent milk through his nipples. It continued for several days until Abu Talib found Halima al-Sa‘diya and the child was given to her."

Ndugu zanguni, huyu ndie Nabii wa Allah aliye nyonya maziwa ya Mwanaume wakati wa utoto wake na kukosa maziwa ya mama.
SAYANSI INASEMA NINI KUHUSU UMUHIMU WA MAZIWA YA MAMA KWA MTOTO?
Umuhimu wa mwaziwa ya Mama kwa mtoto:
Shirika la afya duniani (WHO) linapendekeza mtoto anyonye maziwa ya mama pekee bila kupewa chakula kingine chochote hadi atakapo timiza umri wa miezi 6.
Maziwa ya mama ni chakula bora kwa mtoto kuliko chakula chochote au dawa yeyote.
Umeng'enywaji (kuyeyushwa) wa maziwa ya mama tumboni mwa mtoto ni rahisi.
Maziwa ya mama hayaleti matatizo ya mzio (allergies) kama pumu na matatizo mengine.
Maziwa ya mama yana viini lishe vyote na kwa uwiano ulio sahihi kwa ukuaji wa mtoto.
Utafiti unaonyesha kuwa watoto walionyonya maziwa ya mama huwa na ukuaji mzuri wa kiakili na kimwili ukilinganisha na ambao hawaja nyonya. www.trustytimewatches.co.uk
Kiwango cha Imunoglobilini A (IgA) katika maziwa bado huwa juu kutoka siku 10 hadi angalau baada ya miezi 7.5 baaada ya kuzaa.
Maziwa ya binadamu yana 0.8% hadi 0.9% protini, 4.5% mafuta, 7.1% kabohidreti na 0.2%(madini)[16]. kabohidarati hasa ni laktosi; lakstosi- oligasakaride kadhaa zimetabilika kuwa vipengele nadra. kipengele cha Mafuta kina trigiliseride ya palmitiki maalum na asidi ya oleiki (OPO trigiliseride) na pia kiasi kikubwa kabisa cha lipidi na vifungo trans (ona: mafuta trans)ambayo yametambulika kuwa na manufaa ya afya. Kuna asidi za vaseniki na asidi za linolekiic asidi zilizobadilishwa(CLA) huwa na hesabu ya hadi 6% ya mafuta ya maziwa ya binadamu[17][18].
Protini kuu ni kaseini (homologasi khadi bovini beta kaseini), alfa-laktalibumini, laktoferini, IgA, lisozimu na albumini seramu. Katika mazingira ya asidi kama tumbo, alfa-laktalibumini hueneza katika aina tofauti na kufunga asidi ya oleiki kuunda kipande tata kiitwacho Hamletambacho huua seli za kukua kwa uvimbe. Hii ni dhana ambayo imedhaniwa kuchangia katika ulinzi wa watoto wanaonyonyeshwa dhidi ya saratani.[19]
Ndio maana alifanya vituko vingi sana, maana alikosa maziwa ya mama yake.
Shalom
Dr. Max Shimba Mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu. Tito 2:13


No comments:

WAS MUHAMMAD PROPHESIED IN THE BIBLE?

SURAH 61:6 Muslims believe that the coming of Muhammad was foretold in the Bible. For centuries, Muslims have tried to find predictions of t...

TRENDING NOW